Why are married men more hungry than single ones

PRECIOUSDOE

Senior Member
Feb 3, 2009
114
12
Wenzangu recently tulikuwa tuna discuss wanaume tunaofanya kazi nao na inaonekana kwamba wale ambao wamesha oa ndiyo husumbua warembo ofisini sana tena hata mukienda trip official na mwanamume single utakuwa kwa safe hands but married atakusumbua sana akitaka mfanye kazi ya ziada if u know wot I mean.

Ninge expect iwe the opposite manake wale married wako na sex availlable anytym lakini ndiyo wasumbufu mbona hivi lakini?
 
Wenzangu recently tulikuwa tuna discuss wanaume tunaofanya kazi nao na inaonekana kwamba wale ambao wamesha oa ndiyo husumbua warembo ofisini sana tena hata mukienda trip official na mwanamume single utakuwa kwa safe hands but married atakusumbua sana akitaka mfanye kazi ya ziada if u know wot I mean.Ninge expect iwe the opposite manake wale married wako na sex availlable anytym lakini ndiyo wasumbufu mbona hivi lakini?

Hii huenda ikawa kweli...!

Ukiona nyani kazeeka ujue kakwepa mishale mingi!...Mtu alieoa anajua mbinu mingi na janja za wanawake zaidi kuliko single!..
Single ataogopa kufikia hatua fulani, wakati married anajua hadi risks na advantages za hatua hiyo, so anapopiga saundi anamaanisha!
Lakini pia single anaogopa kubebershwa mzigo wa kuoa pindi akikaliwa kooni na msichana(supposing msichana ni single), maana huenda bado yupoyupo kwanza, kitu ambacho kwa married yeye anajulikana kuwa ana mke, kwahiyo whether atakubaliwa au kukataliwa haina ishu!

Hey men..naongea kwa xperience ninazoona, not myself!
 
mi nadhani ni kwa kuwa married men wana mazoea ya kufanya mara kwa mara na hivyo akiwa mbali tu na partner wake anaishia kutamani and hence usumbufu
 
You are too general pre, wapo waliooa nikiwepo mie mmoja wao tunaweza kukaa mwaka mzima bila kugusa. Kwa mfano ukiwa masomoni si razima sana kufanya ngono. mara nyingi hivi vitu vinategemea na mazoea ya mtu tu. mfano nilikuwa na rafiki mmoja askari polisi alikuwa na wanawake wanne lakini kila siku lazima alale na mwanamke tofauti, yeye alikuwa anasema labda awe anaharisha ndo hatafanya. Je hii inatokana na kuwa na mke au ni tabia tu mbaya?
 
mi nadhani ni kwa kuwa married men wana mazoea ya kufanya mara kwa mara na hivyo akiwa mbali tu na partner wake anaishia kutamani and hence usumbufu

:coffee::coffee::coffee::coffee:
 
Wenzangu recently tulikuwa tuna discuss wanaume tunaofanya kazi nao na inaonekana kwamba wale ambao wamesha oa ndiyo husumbua warembo ofisini sana tena hata mukienda trip official na mwanamume single utakuwa kwa safe hands but married atakusumbua sana akitaka mfanye kazi ya ziada if u know wot I mean.Ninge expect iwe the opposite manake wale married wako na sex availlable anytym lakini ndiyo wasumbufu mbona hivi lakini?
Ni tabia tu ya hao unaosafiri nao si wote. Halafu ni mwiko kabisa kutembea na mtu unayefanya nae kazi inapunguza sana ufanisi na confidence na inaongeza wivu wa kijinga kazini bora utafute ofisi tofauti lakini si ofisi moja
 
Married men are starved and not hungry....imagine eating the same food everyday...ugali,ugali,ugali...suerly you will loose appetite and starve in the process....bachelors...they can change their meals at will!!!...they follow their appetite...BTW the ugali gets colder by the day too...20 years same woman?
 
Wenzangu recently tulikuwa tuna discuss wanaume tunaofanya kazi nao na inaonekana kwamba wale ambao wamesha oa ndiyo husumbua warembo ofisini sana tena hata mukienda trip official na mwanamume single utakuwa kwa safe hands but married atakusumbua sana akitaka mfanye kazi ya ziada if u know wot I mean.

Ninge expect iwe the opposite manake wale married wako na sex availlable anytym lakini ndiyo wasumbufu mbona hivi lakini?

Ni kujiendekeza tu na kujipa ukame usio na lazima.
Kama mkeo akiwa mbunifu wala huna haja ya kutoa mimacho kwa wadada wengine kana kwamba una ukaame.
 
Wenzangu recently tulikuwa tuna discuss wanaume tunaofanya kazi nao na inaonekana kwamba wale ambao wamesha oa ndiyo husumbua warembo ofisini sana tena hata mukienda trip official na mwanamume single utakuwa kwa safe hands but married atakusumbua sana akitaka mfanye kazi ya ziada if u know wot I mean.

Ninge expect iwe the opposite manake wale married wako na sex availlable anytym lakini ndiyo wasumbufu mbona hivi lakini?

They got married by chance and not choice - and therefore they will always keep on looking for "better choices"! Single (or unmarried) are busy hoping for "better choices" to come along - they tend to stick with their "gf" (at least for while) until they come to realize that "better choices" are hard to get
 
Married men are starved and not hungry....imagine eating the same food everyday...ugali,ugali,ugali...suerly you will loose appetite and starve in the process....bachelors...they can change their meals at will!!!...they follow their appetite...BTW the ugali gets colder by the day too...20 years same woman?

if you love her/him, you will be free to express yourself. you will be able to change styles of cooking that ugali/meat and always you will be enjoying the meal. It's just a matter of desicion bwana, surely you wont loose appetite. Otherwise tabia ya ukicheche ni ya mtu binafsi!!:A S 8:
 
Kuna wengi wanaoonekana wameoana lakini kiukweli ni watalakwa (divorced) muda mrefu sana. Zimebaki picha za sherehe ya ndoa na pete kama hawajatupa
 
Is it true that watu wengi wakika kwa ndoa kwa muda hata sex inapotea yani wengi nina wajuwa hawalalli kitanda kimoja,wengine hata rooms tofauti mbona hivi? zamani mabibi na mabwana walikuwa walikuwa wakilala room tofauti ili wasizoeane na kuboeshana sana.je huenda wakawa walikuwa na hekima ambayo sisi tunaowaiga wazungu kwa kulala room moja na kitanda kimoja.Walikuwa wakionana wakati wa ngono peke yake.Munaonaaje?
 
Wenzangu recently tulikuwa tuna discuss wanaume tunaofanya kazi nao na inaonekana kwamba wale ambao wamesha oa ndiyo husumbua warembo ofisini sana tena hata mukienda trip official na mwanamume single utakuwa kwa safe hands but married atakusumbua sana akitaka mfanye kazi ya ziada if u know wot I mean.

Ninge expect iwe the opposite manake wale married wako na sex availlable anytym lakini ndiyo wasumbufu mbona hivi lakini?

Sio hilo tu madam, lakini pia, akina dada wa kisasa (wa siku hizi walio wengi) hupenda wanaume waliooa, kwa sababu wanatumia na kuacha, hawawang'ang'anii wala kuwafuatilia sana, hivyo wana uhuru mwingi.
Tafuta hiyo topic katika jukwaa hili
 
Back
Top Bottom