Whtz up?

Whtz up?

Festor

New Member
Joined
Jan 11, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Hey hope mko poa xna, jaman naomben ushrkiano wenu! Much lve
 
Karibu sana ndugu, hongera kwa kujiunga!
Utakapo kua unachangia, tafadhali, jaribu kuandika maneno sawa sawa, wengine hatuelewi sana hizo xna na lve...
 
Karibu sana jamvini, kujifunza lugha ya uandishi humu muone Mwali akufundishe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom