Lile ni flyover au daraja?halafu anatudanganyia na ma flyover kama tulivyodanganywa utotoni kwa pipi....
utaitwa mchochezi.watakupima mkojoLile ni flyover au daraja?
Wakinikamata watanichinja nyama watengenezee mishikaki.utaitwa mchochezi.watakupima mkojo
Noooo!!Mpeni sifa zake.Ni mpigaji taaanguuu.Hukumbuki nyumba za umma kugawiwa hawara na ndugu?Mambo ya Tanroads?Ataweka historia ya ukwapuaji katika shamba la bibi
Lile ni flyover au daraja?
Lile limejengwa kwa Msaada wa JICA-JAPAN kwa zaidi ya 98%tehe tehe...ni daraja mkuu,ni mimi ndio nimekosea..lol
Unaweza kuthibitisha ulichoandika?Kwamba yule aliyeanza uongozi wake kwa kutumbua mafisadi,yeye ndio kinara wa ufisadi
Halafu asivyo 'smart' hajui kuiba ..
Yaani kaacha mpaka mtu wa kawaida asiyejua lolote kama mimi kuona hapa kuna wizi sio bure...
Sijui kwa nini hakuwa 'consult' kina Chenge amfundishe jinsi ya kuiba….
ila sijui ni yeye kutokua smart kwenye wizi au Assad ni mtu makini??
Bado najiuliza WHY...?????
kutoka mtumbua mafisadi mpaka kuwa fisadi papa..
Labda aliona watanzania hatu appreciate mambo anayofanya,hivyo kuamua kufanya yanayomuhusu tu..
wanajamii embu tuelezane nini kinaweza kuwa sababu kutoka mtumbuaji mafisadi mpaka kuwa fisadi mkuu??
Labda kama unapenda ubishani?Nikuulize?Jana ulikula matonge mangapi ya chakula mchana?Ukiweza,I will surely give the whole world to you!😂😂😂😂Unaweza kuthibitisha ulichoandika?
Yaani mtu anakwiba kijinga, halafu watu wakimchana anakuwa MKALIII mpaka anapiga watu risasi.Kwamba yule aliyeanza uongozi wake kwa kutumbua mafisadi,yeye ndio kinara wa ufisadi
Halafu asivyo 'smart' hajui kuiba ..
Yaani kaacha mpaka mtu wa kawaida asiyejua lolote kama mimi kuona hapa kuna wizi sio bure...
Sijui kwa nini hakuwa 'consult' kina Chenge amfundishe jinsi ya kuiba….
ila sijui ni yeye kutokua smart kwenye wizi au Assad ni mtu makini??
Bado najiuliza WHY...?????
kutoka mtumbua mafisadi mpaka kuwa fisadi papa..
Labda aliona watanzania hatu appreciate mambo anayofanya,hivyo kuamua kufanya yanayomuhusu tu..
wanajamii embu tuelezane nini kinaweza kuwa sababu kutoka mtumbuaji mafisadi mpaka kuwa fisadi mkuu??
Duh si kila unachokijua na mimi takijua, thibitisha tujue wote mkuuMapenzi yako kwa Raisi wako yasikufanye uwe blind
aaah we vipi 'umekula maharage ya wapi' asubuhi yote hii yanayokufanya kutema pumba humu jamvini au umelala nayo? hivi huyu baba wa watu afanye nini ili muone kuwa ni la maana? hivi ni kweli hamuoni jinsi anavyojitahidi kutujengea misingi imara ya maendeleo kwa kuanzisha na kuisimamia miradi mbalimbali inayoendelea hivi sasa ambayo hakuna yeyote aliyepita aliyethubutu japo kuvizungumzia? MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI.Kwamba yule aliyeanza uongozi wake kwa kutumbua mafisadi,yeye ndio kinara wa ufisadi
Halafu asivyo 'smart' hajui kuiba ..
Yaani kaacha mpaka mtu wa kawaida asiyejua lolote kama mimi kuona hapa kuna wizi sio bure...
Sijui kwa nini hakuwa 'consult' kina Chenge amfundishe jinsi ya kuiba….
ila sijui ni yeye kutokua smart kwenye wizi au Assad ni mtu makini??
Bado najiuliza WHY...?????
kutoka mtumbua mafisadi mpaka kuwa fisadi papa..
Labda aliona watanzania hatu appreciate mambo anayofanya,hivyo kuamua kufanya yanayomuhusu tu..
wanajamii embu tuelezane nini kinaweza kuwa sababu kutoka mtumbuaji mafisadi mpaka kuwa fisadi mkuu??
Kama huappreciate anachofanya ni wewe, usiongee kwa ujumla maana kuna watu kwa mahaba tuliyonayo kwa rais wetu ukiongea kishamba shamba unaweza kujisababishia matatizoKwamba yule aliyeanza uongozi wake kwa kutumbua mafisadi,yeye ndio kinara wa ufisadi