Who will bring Kagame to Justice???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Who will bring Kagame to Justice????

Discussion in 'International Forum' started by bornagain, Sep 26, 2012.

 1. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Kila kitu kiko wazi kwamba Kagame ndo muanzilishi wa mauaji ya kimbari but the world is silent but I dont know for how long
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Justice for what? Habyarimana was killed by the military guys who started the interahamwe war.
   
 4. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135


  Hii hapa na nyingine sasa mujionee wenyewe
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Interahamwe were Hutu and Habyarimana was a hut so how come Hutu to kill Hutu so what, don't please confuse and dot get it twisted
   
 6. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mbona jibu ni rahisi? Interahamwe hawakukubaliana na makubaliano yaliyofikiwa Tanzania ya kuwaingiza Kagame na kundi lake katika serikali ya ushirikiano. I am not twisting anything. Why is it that on the day Habyarimana was killed the Tutsi pogrom started? Who was broadcasting about inyenzi on that radio and calling on all Hutus to use matchetes and shokas to kill the Tutsis? Habyarimana was killed by his own military for signing a peace accord with Kagame.
   
 7. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #7
  Nov 14, 2012
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Tatizo damu ya binadamu huwa haimwagiki bure. Kila chenye mwanzo kina mwisho na kabla hujafa hujaumbika.
   
 8. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #8
  Nov 14, 2012
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Who will bring GW to justice? Until that happens, th world must leave Kagame alone
   
 9. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #9
  Nov 14, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Who is GW by the way? time is a good teacher and always time heal all the wounds so lets wait because time will tell the truth
   
 10. KABAVAKO

  KABAVAKO JF-Expert Member

  #10
  Nov 14, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kagame akiwa kamanda msaidizi wa vikosi vya RPF aliongoza kikozi kidogo kilichopenya mpaka jirani ya uwanja wa ndege na hivyo kuilipua ndege iliyokuwa imemsafirisha Mh. Habyarimana. Utakumbuka kuwa baada ya kuawa Rais tu vita vikaanza moja kwa moja. Kama RPF hawakujua kinachotokea ilikuwa wajibu mapigo kwa haraka sana. Kwa kuwa Kagame yuko madarakani ataficha kila ukweli lakini siku moja utajulikana tu.
   
 11. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #11
  Nov 14, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 4,125
  Likes Received: 1,726
  Trophy Points: 280
  na ndo maana anasita sana kuachia madaraka kipoa,anajua yatakayomfika baada ya hapo,ni mkono wa chuma tu,hutaki unafutwa duniani,ila jamaa chapakazi kama adili vile
   
 12. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #12
  Nov 14, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Naona wazungu wameshamshtukia, wamesitisha financial aid,wanaelekea kumwekea vikwazo!!!Jamaa kamwaga damu sana,na hyo damu lazima tu imcost,time will tell
   
 13. Niwemugizi

  Niwemugizi JF-Expert Member

  #13
  Nov 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Acha kupotosha watu wewe, RPF chini ya uongozi wa Kagame na marehemu Fred Rwigema ndo walioitungua ndege iliyokuwa imewabeba maraisi wawili wa Rwanda - Habyarimana na wa Burundi - Cyprian Ntadyamira. Cha kusikitisha zaidi ndo mauaji ya Kimbari yakaanzia hapo lakini kila mwaka Wanyarwanda wanaadhimisha kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari na hakuna anaethubutu kuelezea chanzo chake ni nini hasa.Uongozi ni mtamu asikuambie mtu, Kagame na RPF walikuwa wanajua kabisa kuwa kwa kupiga kombora ndege ya rais Habyarimana alikuwa anahatarisha maisha ya watusi waliokuwa wanakaa ndani ya Rwanda, lakini kwa kuwa ndugu zake wote na wanafamilia zake na wakubwa wa RPF walikuwa zao Uganda so wakaona hawana cha kukosa kwa hiyo watutsi waliokuwa ndani ya Rwanda ikabidi wapay the price. Na ikumbukwe watusi waliokuwa ndani ya Rwanda walikuwa wengi kuliko waliokuwa Tanzania na Uganda so in short yeye Kagame na wakubwazake akina Alex Kanyarengwe walikuwa hawana cha kupoteza.

  In short Kagame knows what he has done for the plane to clash na ipo siku atakuja kulipa damu ya Wanyarwanda wa Kitusi ambao alisababisha wafe ili yeye awe kiongozi kwa damu za ndugu zake watusi ambao alikuwa anajua kuwa akianzisha chokochoko wangeuliwa wote, huyu jamaa ana roho mbaya sana maana alishindwa hata kumstua waziri mkuu wa rais Habyarimana ambae alikuwa ni mtusi mwenzake alikuwa anaitwa mama Agotho Uwilingiyeimana.Aliona angemstua kuwa mwisho wa siku angeonekana ni hero kwa kuwa yeye alikuwa ni mtusi aliekuwa anafanya kazi na utawala wa kihutu wa Habyarimana so Kagame alihali akijua kua kuanzisha chokochoko kungeleta maafa kwa watusi wenzake waliokuwa ndani ya Rwanda wala hakujali maana yeye alichokuwa anawazia ni kuwa rais kwa udi na uvumba
   
 14. Niwemugizi

  Niwemugizi JF-Expert Member

  #14
  Nov 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Wazungu unawachezea wanakutumia kama kondom maana ukishamwaga shahawa na kazi yake inakuwa kwisha bana
   
 15. Niwemugizi

  Niwemugizi JF-Expert Member

  #15
  Nov 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Well said mkuu
   
 16. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #16
  Nov 14, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Naona mpotoshaji ni wewe. Kwanza kabisa Fred Rwigema never made it to Kigali. Aliuawa msituni. Ni nani aliyeanzisha Redio Inyenzi? Radio Mille Collines, na walikuwa wanahubiri kitu gani? Umelipwa na Wahutu?
   
 17. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #17
  Nov 14, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kagame hakuwa na sababu ya kumuua Habyarimana. Habyarimana alikuwa ameshasaini mkataba wa kuishirikisha RPF kwenye serikali ya umoja wa kitaifa. Wahutu jeshini hawakukubaliana na mkataba huo. Kagame had more to lose than the Interahamwes for the killings of Habyarimana. And who killed the prime minister? And why? Stop the spinning.
   
 18. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #18
  Nov 15, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Ni kweli Fed Rwigema aliuwawa kwa bahati mbaya na Watutsi wenzake wakati walipo anzisha vita dhidi ya Serikali ya Rwanda ya wakati huo, mauaji yenyewe yalitokea karibu na mpaka wa Uganda na Rwanda kama sikosei wakati huo Kagame alikuwa masomoni Merikani, alikatiza masomo yake akaja kuchukua nafazi ya hayati Fred ya kuongoza mapigano. Lakini ukweli unabaki pale pale: Nani alitoa amri ya kutungua ndege ya Habyarimana ambacho kilikuwa ni chanzo cha mauuaji ya kutisha. Mkuu redio haiwezi kuua WATU.
   
 19. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #19
  Nov 15, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Now we are getting somewhere. Ni kweli redio haiwezi kuua watu. Lakini inaweza kutumiwa kuchochea mauaji ya watu.
  Yale mapanga, mashoka, na visu vilivyotumiwa na Interahamwe kuwaua Watusi ni kazi iliyopangwa zamani. Ilipangwa na nani? That is a million dollar question. Wafaransa waliisapoti serikali ya Wahutu. They share the blame. Yule mama wa Kihutu aliyekuwa Prime Minister aliuawa siku hiyo hiyo. Ni kwa nini? Aliunga mkono upatanishi na RPF. Ni nani aliyepinga mapatano na RPF? Ni jeshi la Kihutu. Nani aliyekuwa amedhibiti uwanja wa ndege? Ni jeshi la Kihutu. Nani alikuwa na more to lose kutokana na mapatano kati ya Habyarimana na RPF? Ni jeshi la Wahutu. Now we are getting somewhere. Nchi za magharibi zimekata misaada kwa Kagame, si kwa sababu ya kutunguliwa kwa ndege ya Habyarimana, lakini kwa sababu Kagame anaunga mkono kundi linaloongozwa na Watusti mashariki mwa Congo, M23.
   
 20. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #20
  Nov 15, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu hivi yale mabox yaliyo kuwa yamajaa mapanga mapya kutoka uchina yalikuwa yamenunuliwa kwa madhumuni gani? Hivi kweli hile ilikuwa a true story au adithi za kutunga, kusema ukweli mapanga niliyo yaona kwenye video clip ile sikuamini kama kweli Serikali ya Habyarimana ilikuwa imepanga mauaji before hand - kwa nini wafanye hivyo! Kama shida ilikuwa kuuua watu emass kwa nini wasitumie machine gun, hand granade na explosive charges!!!

  Kwani upatanishi na RPF ulikuwa una entail vitu gani ambavyo wahutu walikuwa hawa hafikiani navyo, mbona waziri mkuu alikuwa ni mwana mama Mtutsi, kwani ni kitu gani kingebadilika drastically katika utawala wa Habyarimana mpaka kiwafanye Wahutu wa-revolt against Raisi wa kabila lao - it doesn't add UP mkuu.

  Ni kweli sehemu nyingi zilikuwa zinadhibitiwa na majeshi ya Habyarimna lakini na majeshi yenu yalikuwa yamekwisha inflitrate mji mzima, mlicho kuwa mna subiri ni tukio la ghafla ambalo lingewafanya jeshi la Habyarimana liamaki liwe in disarry ili nyinyi muweze kutimiza malengo yenu, hamkujali maisha ya Watutsi wenzenu ambao walikuwa Serikalini na vijijini (I am sorry kusema hilo) Si amini kama mlikuwa na nia thabiti ya kuwa na Serikali ya mseto na Habyarimana - ingekuwa vurugu tupu.

  Nyinyi watu si rahisi kupatana, tangu nikiwa mtoto mdogo tulikuwa tunapokea wakimbizi kutoka Rwanda, tunaishi nao kama ndugu, wengine wali ishi kwetu zaidi ya miaka 45+ wengi wao walikuwa wanazunguma kilugha chetu wala usingejuwa kama ni Wanyarwanda and besides we gotta lot in common, walipo kuwa wanatusimulia atrocities walizo wahi kukumbana nazo nchini mwao tulikasirika sana, ndio maana wakati mwingine unaniona nakuwa mkali sana linapokuja suala la RWANDA.

  Nyie wote are equally guilty - mtu akiwasikiliza hawezi kujuwa nani anasema ukweli nani ni Muongo, mpunguze tabia ya kuwakumbusha wenzenu kwamba "Ujuhi mimi Mtutsi" hii ina set a very bad precedence, kwa nini umfanye mwenzako aji-feel inferior! Bila ku-address mind set zenu hamtaweza kukaa kwa amani kwa muda mrefu, we fikilia nchi yenu ina makabila matatu tu:Watutsi, Wahutu na Batwa mnashindwa kuelewana je mgekuwa makabila 120+ kama Tanzania si ndio ingekuwa balaa! mkiona vipi basi unganeni na Tanzania iwe nchi moja kama ilivyo kuwa wakati wa enzi za Wajerumani, oh yes msabazwe Tanzania nzima na Watanzania wengine wapelekwe Rwanda hiyo ndio ingekuwa final solution.

  La mwisho ni kweli saction kutoka nchi za magharibi linatokana na matatizo ya Congo specifically M-23, lakini usije ukajidanganya kwamba suala ya kutunguliwa ndege ya Habyarimana will go away any time soon. Tunaitakia mema RWANDA, nimalizie kwa kusema msipende pende kupigana vita, vita havilipi.
   
Loading...