Sasa kwa nini akubaki huko huko Merikani na kuendela na masomo yake, kwa nini alirudi kuongoza jeshi ambalo alikuwa anajuwa halina uwezo 4 the time being, kisaikolojia naona unamlahumu FRED karibu kwa kila jambo kuanzia:Kufanya vitu kwa papala, kutokuwa level headed and what have you!! Eti jaribio lake la kwanza lili shindwa na majeshi ya Serikali, mbona hilo ni jambo la kawaida kwenye medani za vita mbona Castro Fidel alishindwa katika jaribio lake la kwanza, alikuja kufanikiwa mara ya pili alipo shirikiana na Comrade Che Guaverra - why pick on FRED(R.I.P) if I may ask? Umemsema sema sana FRED kwani aliwahi kukukwaza nini katika maisha yako, hutaki kabisa watu watoe maoni yao ambayo hayarandani na ya kwako, actually unaonekana ni wewe peke yako (lone Ranger) mwenye kumjuwa vizuri FRED like back of your HAND sijuhi kama kuna ukweli wowote katika hilo!! - kwa nini wewe ujione ndio mwenye factual history na a MEGA SMART reasoning capacity wengine vichwa vyao viko kwenye vegetative state, oh yes watu wengine wasizungumze chochote kuhusu Rwanda kwa kuwa wewe ni Encyclopaedia RWANDANICA. Nimejaribu kuangalia kwa umakini majibu jibu yako, nikisema na wewe huko kwenye group ya wale wenye tabia ya kukumbusha watu kwa kutamka unnecessarily kwamba: "UJUHI MIMI MTUTSI" je, nikikuweka kwenye kundi lenye trait kama hiyo ntakuwa nimekosea? Eti watu wanameza udaku, yaani unataka kutwambia information zako zinatoka kwenye respectable source, au mwenzetu uliwahi kuwa platoon commander au Brigedia wa jeshi la RPF - wacha kudhalau watu bwana - hapa kila mwana JF ana uhuru wa kutoa maoni yake bila ya kuomba kibali kutoka kwa any SOUL. CHEERS.