Who were the men behind the "Kikwete project"?

Kwanini hawapi watoto wawili wabunge wa Kawawa Uwaziri wale kama kina Makamba?

nngu007.............kwani keshamaliza ngwe yake........bado anaomwanya wa kutoa shukrani
 
Last edited by a moderator:
Nani yuko nyuma ya Mradi wa Kikwete? Sijui zaidi lakini i'm not convinced kuwa Mwinyi na Kawawa ndio Masterminds wa kila kitu. Nafikiri baadhi ya mambo yametokea by chance, along the way watu wamejikuta wanaingia katika mradi huu kutokana na wakati husika. Mfano labda Kawawa alicheza nafasi yake kutoka na uzito au nafasi yake wakati huo ambapo Kikwete hitaji lake lilikuwa ujumbe wa kamati kuu and soforth naye Kingunge na wengine walifanya the same.
Utaona hata Lowassa na Rostam waliingia vipi na wakati gani.
Maybe the mastermind ni Kikwete mwenyewe? Maybe alikuwa anaplot mradi wake every step of the way? Maybe he knew how to play his cards right? Maybe....

lemonade upo sahihi uliposema hujui nani wamiliki wa mradi wa JK.....ila kusema yeye mwenyewe ndiye mmiliki wakati kwenye hadhara ya Mkutano Mkuu wa CCM uliompitisha mwaka 2005 alikiri ya kuwa alibebwa na Kawawa na baadaye Mwinyi itakuwa hatumtendei haki kwa kumkatallia kuwamilikisha swahiba zake hao tajwa.......................kuhusu Kingunge hilo anaweza kulikataa kwa sababu JK mwenyewe hajawahi kukiri.............JK angelikuwa is the man determining his own destiny angelikuwa na sauti ya maamuzi yake lakini JK anabainika ni mtu ambaye anasubiria aelekezwe na wengineo nini cha kufanya.............He has never been a man behind his own life let alone over sensitive national matters............
 
Last edited by a moderator:
Nani yuko nyuma ya Mradi wa Kikwete? Sijui zaidi lakini i'm not convinced kuwa Mwinyi na Kawawa ndio Masterminds wa kila kitu. Nafikiri baadhi ya mambo yametokea by chance, along the way watu wamejikuta wanaingia katika mradi huu kutokana na wakati husika. Mfano labda Kawawa alicheza nafasi yake kutoka na uzito au nafasi yake wakati huo ambapo Kikwete hitaji lake lilikuwa ujumbe wa kamati kuu and soforth naye Kingunge na wengine walifanya the same.
Utaona hata Lowassa na Rostam waliingia vipi na wakati gani.
Maybe the mastermind ni Kikwete mwenyewe? Maybe alikuwa anaplot mradi wake every step of the way? Maybe he knew how to play his cards right? Maybe....

Lemonade upo sahihi uliposema hujui nani wamiliki wa mradi wa JK.....ila kusema yeye mwenyewe ndiye mmiliki wakati kwenye hadhara ya Mkutano Mkuu wa CCM uliompitisha mwaka 2005 alikiri ya kuwa alibebwa na Kawawa na baadaye Mwinyi itakuwa hatumtendei haki kwa kumkatalia kuwamilikisha swahiba zake hao tajwa.......................kuhusu Kingunge hilo anaweza kulikataa kwa sababu JK mwenyewe hajawahi kukiri.............JK angelikuwa is the man determining his own destiny angelikuwa na sauti ya maamuzi yake lakini JK anabainika ni mtu ambaye anasubiria aelekezwe na wengineo nini cha kufanya.............He has never been a man behind his own life let alone over sensitive national matters............
 
Rutashubanyuma i know Kikwete hayuko in control of his own destiny, all i'm saying is maybe the opportunity presented itself but that does'nt mean kuwa he did everything mwenyewe thats why sasa anashindwa hata kuwa na authority.
I agree that Mwinyi, Kawawa and everybody else played their part what i dont i agree is that they plan everything accordingly, kwasababu if they did walifanya a very poor job.
 
Hii mada imekaa kinafiki sana kwa sababu tunajua JK aliingia vipi CCM na nani alikuwa nyuma yake. La kushangaza ni kwamba wamechukuliwa majina ya watu kuonyesha kwamba kulikuwa na Udini fulani wa kujuana JK na waislaam zaidi ya Kwamba Nyerere mwenyewe alimbeba kama viongozi wa kesho. Mkapa alimpa nyadhifa kubwa zaidi na alianza mpango wa kuutaka Uraia akiwa na kundi la kina Lowassa ambao walitupwa wote na Nyerere kila walipotaka madaraka makubwa haraka.Utanisamehe mwandihisi hii habari inawavutia wale wanaopenda sana kukwepesha ukweli lakini JK aliwekwa na watu ambao tayari waliisha penyeza ktk ngazi zote za kiutawala na ndio wanaopeta leo hii. Kawawa, Mwinyi na Kingunge ni wastaafu walisahaulika ktk uongozi wa JK kuliko wakati wa Mkapa, maana hawa wote walinufaika na mali nyingii za serikali baada ya Mkapa kuingia madarakani.i.

Mkandara tatizo lako unaenda kwa pupa mno hata inatisha sana..................kiini ya hii mada ni kauli yake mwenyewe JK ndani ya Mkutano wa CCM wa 2005 baada ya kushinda kura za kugombea uraisi. Hivyo kama ni unafiki basi uwe wazi ya kuwa JK ni mnufaika wa udini na wala siyo mwandishi wa makala hii .............mjumbe hauwawi hata siku moja.....kazi kwenye hii makala ni kuonyesha JK alisema lini wakati ule na sasa anafanya nini, that is all hakuna udini wala cha ndugu yake unafiki hapo!!!!..kuhusu kunufaika na utawala wa JK yuko Mwinyi ndani ya nyadhifa kuu ikiwemo waziri wa zamamni wa ulinzi na saa kapewa wizara ya afya ndani ya serikali ya JK......Kama ingelikuwa JK hakubebwa na mstaafu Mwinyi mabomu ya Gongo la Mboto na yaliyofuatia kule kwingineko yalitosha kumfuta kazi Mwinyi juniour.......na yupo Mwinyi mwingine Mbunge wa Afrika Mashariki akimalizia kipindi cha pili.............watoto wa Kawawa wawili wako bungeni......mwingine viti maalumu!......kwa hiyo malalamishi yako hayaungwi mkono na historia yetu labda una ajenda nyingine...........Be open, please...........
 
Rutashubanyuma i know Kikwete hayuko in control of his own destiny, all i'm saying is maybe the opportunity presented itself but that does'nt mean kuwa he did everything mwenyewe thats why sasa anashindwa hata kuwa na authority.
I agree that Mwinyi, Kawawa and everybody else played their part what i dont i agree is that they plan everything accordingly, kwasababu if they did walifanya a very poor job.
[MENTION]
Lemonade[/MENTION], kilichofanyika ni kuwaanda vijana wengi bila ya kujua nani kati yao atafanikiwa...................baadhi ya waliojaribu kuwaandaa ni pamoja na Professa Kighoma Malima, Dr. Idrisa Rashid n.k ambao hawakwenda mbali kwa sababu ya mapungufu yao mengineo au kukutwa na mauti kabla ya wakti...............ulaini wa kulielezea hili jambo ni JK mwenyewe is on record at Dodoma Mkutano Mkuu wa 2005 uliomptitisha ya kuwa bila ya kawawa kumwajiri ndani ya TANU/CCM na Mwinyi kumteua kuwa mbunge wa Taifa na naibu Waziri asingeweze kuwa na nyenzo za kufika hapo alipofikia......................kwa hiyo JK anajua mbeleko zilizombeba hadi akafika hapo alipo lakini ninashangaa wapambe wake nuksi wanapingana naye humu ndani ya huu uzi....inashangaza kama akina Mkandara.............ought to be ashamed of themselves...............
 
Last edited by a moderator:
Well, I understand why Kingunge was then appointed a cabinet member! But why investing a lot for a project that wont be of any advantage to the country? I thought such project should be taken in favour of those competent candidates who may really take us somewhere, not this guy for sure! They missed a point in their project, big one!

You are the one who ve missed the point, these puppeteers (project kikwete leaders and funders), viewed him as a charismatic enough to win the elections inside and outside the party, and soft enough to control once he is in the top seat. No other candidate had these qualities than JK. Remember they had to fight the party machinery and Mkapa Pragmatists who knew that JK was bogus and a project for the few.
 
All has been said. It might be speculations truth even lies. To me if there is any Godfather Kikwete will nary forget is none other than Benjamin Mkapa who enabled him to rob our BoT under EPA project that generated money for bribing our holloi polloi. Had it not been EPA's loot Kikwete would not have been able to buy all party delegates to vote for him massively and blindly. Again all mentioned people played different roles the cardinal one being Mkapa's who always has been swooning for aiming higher especially when he needed a protege to protect him in his all messies the most dangerous being Kiwira.

well mpayukaji.................kweli umeamua kupayuka lakini ukweli wabakia be4 Mkapa came in with his dirty laundered money...........there were men behind a guy in the throne today whom even himself has acknowledged in public that they carried him all the way to the where he is. Those guys at least from JK's own mouth were Kawawa and thereafter Mwinyi..............Kingunge is debatable if he was really the founder of "Wanamtandao"
 
Last edited by a moderator:
Hakuna cha mtandao wala nini 2015 mwisho dakika 90. Magamba hawatakuwa na uwezo wa kwenda extra time na M4C. Tusubiri tu time will only tell.

IKHOIKHOI........................tuombe iwe hivyo kama sala zako zinavyotushawishi iwe...........
 
Last edited by a moderator:
mharakati.....hao hawakuwa vinara bali walikuwa ni kwato za JK.............na ndiyo maana kawasaliti baada ya kutimiza haja zake za kuwa mkaazi wa Ikulu................Lowassa kwa uroho wake wa madaraka alipewa U-PM na Rostam alitoa hela kwa maana ni mkpo ambao marejesho yake ni Richmond/Dowans na mengineyo...........upson huyu simjui....................who is he?

Apson Mwang'onda former tiss boss. Huyu jamaa alimtisha Mkapa kua CCM inaweza kushindwa na nchi inaweza kua haitawaliki kama JK hapitishwi... Mkapa akaogopa na akaruhusu uchafu wa kuwatukana akina SAS, Kitine, Mnagula etc sasa hivi tunajua Apson alikua karibu na EL na RA (inasemekana alivuta $3 mil kwenye mkwapuo wa EPA kama ahsante ya kufanyikisha project kikwete kupitia chombo muhimu cha TISS)
 
[MENTION]
Lemonade[/MENTION], kilichofanyika ni kuwaanda vijana wengi bila ya kujua nani kati yao atafanikiwa...................baadhi ya waliojaribu kuwaandaa ni pamoja na Professa Kighoma Malima, Dr. Idrisa Rashid n.k ambao hawakwenda mbali kwa sababu ya mapungufu yao mengineo au kukutwa na mauti kabla ya wakti...............ulaini wa kulielezea hili jambo ni JK mwenyewe is on record at Dodoma Mkutano Mkuu wa 2005 uliomptitisha ya kuwa bila ya kawawa kumwajiri ndani ya TANU/CCM na Mwinyi kumteua kuwa mbunge wa Taifa na naibu Waziri asingeweze kuwa na nyenzo za kufika hapo alipofikia......................kwa hiyo JK anajua mbeleko zilizombeba hadi akafika hapo alipo lakini ninashangaa wapambe wake nuksi wanapingana naye humu ndani ya huu uzi....inashangaza kama akina Mkandara.............ought to be ashamed of themselves...............

Ok, i get you on that, so Mwinyi na Kawawa ndio walifanya maandalizi hayo single handledly? did they carry through na mpango wao hadi Kikwete anakuwa Rais?
 
Last edited by a moderator:
Ruta,
Hadi mwaka 1995 hata Kikwete mwenyewe hakuwa na wazo kwamba angeweza kuwa Rais. Mwaka huo aliingia kinyang'anyiro( sijui kama unaweza kulitamka vizuri hili!) dakika za mwisho na kama kujaribu hivi. Akapata uungwaji mkono na UVCCM na baadae Mzee Mwinyi. Kumbuka hata Lowasa aliutaka na bado anaendelea kuutaka Urais huu. Vikao vya juu vya CCM na hasa Mkutano Mkuu ulimpa matumaini mapya kabisa JMK. Bado hakukubalika sana ndani ya uongozi wa juu wa CCM. Kumbuka ugomvi wake na Mzee Gama ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa CCM wakati huo.
Mafisadi wakubwa wa nchi hii wakagundua tamaa ya Urais aliokuwa nayo JMK na vikwazo alivyokuwa akikumbana navyo ndani ya CCM. Wakajipanga mapema tu baada ya uchaguzi mkuu wa 1995. Ukaundwa MTANDAO wa nguvu nchi nzima. Zikatafutwa fedha kwa kila njia. Nguvu ya mtandao huu ikaongezeka maradufu Mwalimu alipofariki mwaka 1999. Kila kitu kilipangwa na kuratibiwa kwa usiri na umakini wa hali ya juu. Yaliyobaki sasa ni historia.
Nisilolifahamu ni namna ya kuiandika KATIBA yetu mpya ya JMT izuie Urais wetu usipatikane kwa namna JMK alivyoupata mwaka 2005.
 
All has been said. It might be speculations truth even lies. To me if there is any Godfather Kikwete will nary forget is none other than Benjamin Mkapa who enabled him to rob our BoT under EPA project that generated money for bribing our holloi polloi. Had it not been EPA's loot Kikwete would not have been able to buy all party delegates to vote for him massively and blindly. Again all mentioned people played different roles the cardinal one being Mkapa's who always has been swooning for aiming higher especially when he needed a protege to protect him in his all messies the most dangerous being Kiwira.
well said!
 
Kawawa? Hapana. Mbona sioni akilipa fadhila kwa namna yoyote kwenye familia hii kama anavyofanya kwa Mwinyi? Watoto wa Kawawa wako Bungeni, kwenye NEC ya CCM kwa kujihangaikia wenyewe na JMK hajawahi hata kufikiria kumteua mmoja wao kwa lolote.
Kuna hadithi moja ilikuwepo enzi hizo kuwa Mzee Kawawa alikuwa mtu wa vibinti sana tu na mara kadhaa aligongana na JMK na ndio maana alimweka mbali na makao makuu ya CCM. Hilo la kumpeleka Zanzibar na hata kule Masasi alikoibuliwa na Mzee Mwinyi lilitokana na misuguano hii. JMK wetu ukishamtenda hasahau wala kusamehe.

I agree with you, that nothing has been done by Kikwete to support Kawawa Family, though I 100% agree that Mkapa made eough efforts to make the Kawawa's prosperity....nakumbuka Prof. Mbilinyi alipata shida sana kurudi mbugeni katika jimbo la Namtumbo 2005, Mkapa himself came to assist Vita Kawawa during "kura za maoni" time
 
Ruta,
Hadi mwaka 1995 hata Kikwete mwenyewe hakuwa na wazo kwamba angeweza kuwa Rais. Mwaka huo aliingia kinyang'anyiro( sijui kama unaweza kulitamka vizuri hili!) dakika za mwisho na kama kujaribu hivi. Akapata uungwaji mkono na UVCCM na baadae Mzee Mwinyi. Kumbuka hata Lowasa aliutaka na bado anaendelea kuutaka Urais huu. Vikao vya juu vya CCM na hasa Mkutano Mkuu ulimpa matumaini mapya kabisa JMK. Bado hakukubalika sana ndani ya uongozi wa juu wa CCM. Kumbuka ugomvi wake na Mzee Gama ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa CCM wakati huo.
Mafisadi wakubwa wa nchi hii wakagundua tamaa ya Urais aliokuwa nayo JMK na vikwazo alivyokuwa akikumbana navyo ndani ya CCM. Wakajipanga mapema tu baada ya uchaguzi mkuu wa 1995. Ukaundwa MTANDAO wa nguvu nchi nzima. Zikatafutwa fedha kwa kila njia. Nguvu ya mtandao huu ikaongezeka maradufu Mwalimu alipofariki mwaka 1999. Kila kitu kilipangwa na kuratibiwa kwa usiri na umakini wa hali ya juu. Yaliyobaki sasa ni historia.
Nisilolifahamu ni namna ya kuiandika KATIBA yetu mpya ya JMT izuie Urais wetu usipatikane kwa namna JMK alivyoupata mwaka 2005.

quite right, well said..RA,EL walikua opportunists, ila Mwinyi alimjenga JK pale alipompa rungu la kuwafukuza watu waliokula chini ya Prof K Malima wizara ya fedha pale mwaka 93 kama nakumbuka vizuri. Ile ndiyo POWER MOVE ya kisiasa aliyofanya kikwete kujulikama kitaifa na kuonekana makini. Mwinyi akamrudisha Nishati kumuhifadhi na dhoruba za wizara kali ya Fedha. watu walijua JK rais atakua huyu wa kipindi hiki kifupi cha 93' kumbe.....
 
You are the one who ve missed the point, these puppeteers (project kikwete leaders and funders), viewed him as a charismatic enough to win the elections inside and outside the party, and soft enough to control once he is in the top seat. No other candidate had these qualities than JK. Remember they had to fight the party machinery and Mkapa Pragmatists who knew that JK was bogus and a project for the few.

mharakati..............hizo sifa za kununulia madafu JK anazo hatukatai...........lakini kauli zake ndizo zinamtia kitanzini kuwa yeye he is a project of Kawawa and Mwinyi........
 
Last edited by a moderator:
quite right, well said..RA,EL walikua opportunists, ila Mwinyi alimjenga JK pale alipompa rungu la kuwafukuza watu waliokula chini ya Prof K Malima wizara ya fedha pale mwaka 93 kama nakumbuka vizuri. Ile ndiyo POWER MOVE ya kisiasa aliyofanya kikwete kujulikama kitaifa na kuonekana makini. Mwinyi akamrudisha Nishati kumuhifadhi na dhoruba za wizara kali ya Fedha. watu walijua JK rais atakua huyu wa kipindi hiki kifupi cha 93' kumbe.....

mharakati hizo ndizo mbeleko zenyewe..........
 
Last edited by a moderator:
I agree with you, that nothing has been done by Kikwete to support Kawawa Family, though I 100% agree that Mkapa made eough efforts to make the Kawawa's prosperity....nakumbuka Prof. Mbilinyi alipata shida sana kurudi mbugeni katika jimbo la Namtumbo 2005, Mkapa himself came to assist Vita Kawawa during "kura za maoni" time

bdo..........hivi mnataka JK atoe msaada upi wa ziada na watoto wawili wa kawawa wako bungeni?
 
Last edited by a moderator:
Ruta,
Hadi mwaka 1995 hata Kikwete mwenyewe hakuwa na wazo kwamba angeweza kuwa Rais. Mwaka huo aliingia kinyang'anyiro( sijui kama unaweza kulitamka vizuri hili!) dakika za mwisho na kama kujaribu hivi. Akapata uungwaji mkono na UVCCM na baadae Mzee Mwinyi. Kumbuka hata Lowasa aliutaka na bado anaendelea kuutaka Urais huu. Vikao vya juu vya CCM na hasa Mkutano Mkuu ulimpa matumaini mapya kabisa JMK. Bado hakukubalika sana ndani ya uongozi wa juu wa CCM. Kumbuka ugomvi wake na Mzee Gama ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa CCM wakati huo.
Mafisadi wakubwa wa nchi hii wakagundua tamaa ya Urais aliokuwa nayo JMK na vikwazo alivyokuwa akikumbana navyo ndani ya CCM. Wakajipanga mapema tu baada ya uchaguzi mkuu wa 1995. Ukaundwa MTANDAO wa nguvu nchi nzima. Zikatafutwa fedha kwa kila njia. Nguvu ya mtandao huu ikaongezeka maradufu Mwalimu alipofariki mwaka 1999. Kila kitu kilipangwa na kuratibiwa kwa usiri na umakini wa hali ya juu. Yaliyobaki sasa ni historia.
Nisilolifahamu ni namna ya kuiandika KATIBA yetu mpya ya JMT izuie Urais wetu usipatikane kwa namna JMK alivyoupata mwaka 2005.

WildCard.............kwa hiyo unataka niaamini ya kuwa JK alipochukua fomu mwaka 1995 alikuwa anataniatania tu na hata kama angelishinda kinyang'anyiro angelisema hataki...............be serious, man!
 
Last edited by a moderator:
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom