Who were the men behind the "Kikwete project"?

Kikwete kawasaidia sana watoto wa Kawawa; huyo Vita mbunge wa Namtumbo bila Mkweree kuwapa vyeo potential rivals wake leo hii asingekuwa Mbunge. Amemsaidia pia yule binti mbunge wa viti maalum anaelialia kwenye vikao vya ccm akiona jinsi magamba yanavyoichuna nchi!!
 
Ruta,
JMK aliukosa Urais wa 1995 kwa kura kutotosha baada ya komandoo kuwaghilibu WaZanzibar ambao unadai walifahamiana vema na JMK. Hii Kikwete project ilitengenezwa kwa pesa tena pesa chafu kwelikweli. Katiba mpya ina la kufanya juu ya hili?
 
Huyu Vita Kawawa yuko Bungeni kipindi cha pili sasa. Hata ka-Unaibu Waziri kameshindikana kama akina Adam Malima na sasa January Makamba? Jana wabunge wa VITI MAALUM kibao wameukwaa u-DC. Ameshindwaje kumkumbuka huyu binti wa Kawawa?
 
Well done Rutashubanyuma for this revelation. I was not aware that Kingunge and the Late Kawawa were behind this.

Though you have mentioned that you are a CCM insider, I think this thread could have got more contributions if it could have been commenced in Swahili. You know what Ruta, we could have even secured more info from other insiders relating to the project you are referring to. Otherwise You are right if you intended to record the heavy weight customers of English language.
 
Last edited by a moderator:
jk-miwani.jpg

Rais Jakaya Kikwete

The then CCM presidential flag seeker, Jakaya Mrisho Kikwete, in 2005 nominations acceptance speech made a rare revelation of how the "Kikwete project" was hatched and nurtured. Kikwete was nostalgic but economical with the truth when he tapped only two CCM national stalwarts namely Rashid Mfaume Kawawa (now deceased) and former president Ali Hassan Mwinyi as the founders of the "Kikwete project."

According to Kikwete, Kawawa had parlayed his Secretary General portfolio not only to employ him in CCM district and later Regional secretary dockets but Kawawa had also exposed him to top CCM power environment. Through those interactions, the "Kikwete project" was launched and sustained over the years by the election of president Mwinyi in 1985 who singlehandedly breathed life into Kikwete's political life when he nominated him as a national MP and a deputy Minister in 1987.

During Kikwete's early political ascension, Kawawa meticulously arranged to parade him to a CCM vote rich of Zanzibar where he was appointed as Regional Secretary popularizing him as a future leader in waiting. Ironically, though Kikwete was a political scion being pampered with plenty of goodies CCM could offer, he was smart enough to twist facts and painted himself as a selfless leader who sacrificed high paying jobs after he had finished his University studies to serve CCM! But history will note that in CCM, Kikwete was far from being an average employee with godfathers of Kawawa and later Mwinyi caliber at his disposal rendering his cries for mercy being only a political gimmick to earn votes of sympathy.

Positions of CCM Regional Secretary General provides the holder with non-elective post at the most senior CCM organs of NEC where policy issues were being hatched and decided but also far more important the opportunity to rub shoulders with "who is who" in the CCM pecking order. Regional Secretaries were known to either build or shatter blossoming careers of CCM new top job aspirants. It was the Regional Secretaries who were entrusted to count votes up to 2005 CCM presidential and other party senior positions whereby if a candidate was not preferred choice of the incumbents then his votes were slimmed intentionally to show that he was not popular! This is why when it comes to CCM top jobs before 2005, few can argue with certitude who were the real winners when even Frederick Sumaye was rumoured to have been rejected by CCM National Convention of 1997 only to have his stakes being revived by no one but the then president Mkapa who ordered Sumaye's name to top the 20 CCM mainland NEC positions in order to lend credence that his leadership was still popular! Nobody of the aspirants was allowed to have the opportunity to verify the vote-counting process in those days akin of one party rule.

Exposure of Zanzibar politics via a Regional Secretary appointment there ensured Kikwete had an access to almost a third of CCM voting bloc in National Convention politics. Little can be further from the truth that concerted efforts of both Kawawa and Mwinyi ensured Kikwete floored not only the then first Vice President and Premier David Msuya but also devoured the candidacy of Mkapa in 1995 CCM National Convention in the presidential nominations. Had Nyerere not interfered on grounds that the nation was not ready for a playboy in Kikwete he would have gone to face Mrema and we all know what TISS and the electoral body of NEC would have done to upstage the true wishes of voters as they have always been doing since 1995. This helped to cement Kikwete's political career in 1997 when he featured among the top votes sweepers in mainland 20 NEC positions, and later on paved the way for ending the political career of Frederick Sumaye in 2005 CCM presidential nominations.

One of the lynchpin of Kikwete presidential aspirations in 2005 was no other than Kingunge Ngombale Mwiru; an atheist, who is deceptively nondescript but yet the most enduring powerbroker since the inception of multipartyism in 1995. Where Nyerere determined two presidential transitions of 1985 and 1995 but even there Kingunge's footprints could easily be traced and documented. After the demise of Nyerere in 1999, Kingunge was the most respected CCM mandarin whose idea of forming an unofficial vanguard sect within CCM behind the watchful eyes of Mkapa redefined how presidential campaigns inside CCM were conducted.

The Kingunge wing of CCM party regarded Mkapa with suspicions particularly when he indicated that CCM ought to sponsor one of his Ministers who were conversant with the effects of globalization and not internal party politics. Those globalization knowhow qualifications were in synch with Professor Mark Mwandosya and Dr. Abdallah Kigoda but Kikwete's political career seemed to have hit a dead wall. But through the promises of phantom posts and cashing in on the covetousness of its ardent followers, Kingunge established "Wanamtandao" sect that turned out to be Kikwete's successful launchpad to power.

But when Kikwete came to power and unveiled his long list of inner circle that left many of his erstwhile supporters in "wanamtandao" orphans and in search for a new unifying leader, it is only a matter of time before a voracious suitor in Chadema swoops and elopes with them denting CCM's 2015 chance of staying in power!

where is rostam, lowassa and upson?
 
Hata mie nina wasiwasi na Kawawa kuwa Godfather wa Kikwete.

Labda kama huko nyuma walikwaruzana na mwisho ingawa Kawawa alimsaidia Kikwete, jamaa badi alibaki na usongo wa zamani wa kuchukulia vitu fulani au kupelekwa sehemu fulani kama adhabu.

Kama mnakumbuka, hata wakati Kawawa amekufa, jamaa aliendelea na shughuli zake hadi kwenda kuangalia mpira uwanja wa Taifa na siku hizo, sijui ni Drogba na kundi lake walikuja?
Wengi ilitushangaza hiyo hali na hata kusema, aliweza kabisa kuingalia kwenye TV nyumbani na washikaji na si uwanjani.

Nilidhania taifa liko kwenye maombolezo ya aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais na muasisi wa taifa hili kwa siku saba. Aliyetutangazia maombolezo hayo yuko mpirani kuhamasisha ushindi.. hivi alishindwa hata kujibanza Ikulu kuangalia kwenye big screen na kumtuma waziri mmoja hivi..kweli ilimpasa kwenda?

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/48910-maombolezo-ya-kawawa-na-rais-mpirani-2.html
 
Hata mie nina wasiwasi na Kawawa kuwa Godfather wa Kikwete.

Labda kama huko nyuma walikwaruzana na mwisho ingawa Kawawa alimsaidia Kikwete, jamaa badi alibaki na usongo wa zamani wa kuchukulia vitu fulani au kupelekwa sehemu fulani kama adhabu.

Kama mnakumbuka, hata wakati Kawawa amekufa, jamaa aliendelea na shughuli zake hadi kwenda kuangalia mpira uwanja wa Taifa na siku hizo, sijui ni Drogba na kundi lake walikuja?
Wengi ilitushangaza hiyo hali na hata kusema, aliweza kabisa kuingalia kwenye TV nyumbani na washikaji na si uwanjani.

quote_icon.png
By Mzee Mwanakijiji
Nilidhania taifa liko kwenye maombolezo ya aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais na muasisi wa taifa hili kwa siku saba. Aliyetutangazia maombolezo hayo yuko mpirani kuhamasisha ushindi.. hivi alishindwa hata kujibanza Ikulu kuangalia kwenye big screen na kumtuma waziri mmoja hivi..kweli ilimpasa kwenda?

Maombolezo ya Kawawa na Rais Mpirani

Sikonge Jk hata kama hana shukrani lakini bila ya mbeleko za mzee Kawawa asingeliweza kufikia hiyo hatua aliyofikia.........
 
Last edited by a moderator:
muafrica ni muafrica tu ,ata aishi nchi za kigeni ,but utajua tabia yake,

wahida yabidi sasa nasi tubadilike tuacxhe kusingizia ya kuwa siye ni weuai na akili zetu ni nyeusi............
 
Last edited by a moderator:
where is rostam, lowassa and upson?
[MENTION]
mharakati[/MENTION].....hao hawakuwa vinara bali walikuwa ni kwato za JK.............na ndiyo maana kawasaliti baada ya kutimiza haja zake za kuwa mkaazi wa Ikulu................Lowassa kwa uroho wake wa madaraka alipewa U-PM na Rostam alitoa hela kwa maana ni mkpo ambao marejesho yake ni Richmond/Dowans na mengineyo...........upson huyu simjui....................who is he?
 
Huyu Vita Kawawa yuko Bungeni kipindi cha pili sasa. Hata ka-Unaibu Waziri kameshindikana kama akina Adam Malima na sasa January Makamba? Jana wabunge wa VITI MAALUM kibao wameukwaa u-DC. Ameshindwaje kumkumbuka huyu binti wa Kawawa?

WildCard.........hayo ni majibu ambayo JK anapaswa kuja humu jamvini na kujielezea.................yawezekaa kasahau au ana donge na kawawa............pengine anamlaumu kwa kutompigia debe 1995 na kuacha Mkapa kumpiku.............lakini Jk alivyo anaamini hata huo ubunge ni yeye kawasaidia watoto wa kawawa hata kama sivyo........
 
Last edited by a moderator:
Ruta,
JMK aliukosa Urais wa 1995 kwa kura kutotosha baada ya komandoo kuwaghilibu WaZanzibar ambao unadai walifahamiana vema na JMK. Hii Kikwete project ilitengenezwa kwa pesa tena pesa chafu kwelikweli. Katiba mpya ina la kufanya juu ya hili?

WildCard kura zinavyopigwa na kuhesabiwa ndani ya CCM ni kitendawili na huwa ninawashangaa ambao hugombea nafasi mle ndani ambako hakuna uhakiki wa wagombeaji........................hakuna anayeweza kukuthibitishia kama kweli Jk alishindwa kura baada ya kuongoza mara ya kwanza......na ashindwe kama walivyoonyesha........haiingii akilini
 
Last edited by a moderator:
Well, I understand why Kingunge was then appointed a cabinet member! But why investing a lot for a project that wont be of any advantage to the country? I thought such project should be taken in favour of those competent candidates who may really take us somewhere, not this guy for sure! They missed a point in their project, big one!
 
WildCard kura zinavyopigwa na kuhesabiwa ndani ya CCM ni kitendawili na huwa ninawashangaa ambao hugombea nafasi mle ndani ambako hakuna uhakiki wa wagombeaji........................hakuna anayeweza kukuthibitishia kama kweli Jk alishindwa kura baada ya kuongoza mara ya kwanza......na ashindwe kama walivyoonyesha........haiingii akilini

If my memory is still clear, I think these guys always bark telling us their mother of Democracy in Tanzania! Its easier said than done!
 
Last edited by a moderator:
Ruta,
JMK aliukosa Urais wa 1995 kwa kura kutotosha baada ya komandoo kuwaghilibu WaZanzibar ambao unadai walifahamiana vema na JMK. Hii Kikwete project ilitengenezwa kwa pesa tena pesa chafu kwelikweli. Katiba mpya ina la kufanya juu ya hili?

WildCard kura zinavyopigwa na kuhesabiwa ndani ya CCM ni kitendawili na huwa ninawashangaa ambao hugombea nafasi mle ndani ambako hakuna uhakiki wa wagombeaji........................hakuna anayeweza kukuthibitishia kama kweli Jk alishindwa kura baada ya kuongoza mara ya kwanza......na ashindwe kama walivyoonyesha........haiingii akilini
 
Last edited by a moderator:
Kikwete kawasaidia sana watoto wa Kawawa; huyo Vita mbunge wa Namtumbo bila Mkweree kuwapa vyeo potential rivals wake leo hii asingekuwa Mbunge. Amemsaidia pia yule binti mbunge wa viti maalum anaelialia kwenye vikao vya ccm akiona jinsi magamba yanavyoichuna nchi!!

[MENTION]Ndinadi[/MENTION]........hata mie ninaamini hivyo........
 
If my memory is still clear, I think these guys always bark telling us their mother of Democracy in Tanzania! Its easier said than done!

Ronn M..........yeah upo unafiki mkubwa sana kwenye siasa...........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom