Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,277
Alikuwa Mgonjwa hajiwezi, akihutubia mikutano ya Kampeni siku 2 wanarudi gereji kukarabati, Kampeni zenyewe walikuwa wanatembea na Ile mitungi ya kumpepea Upepo..hata wakati wa kampeni Magufuli alikuwa anaumwa.
..Lissu akafanyiwa hujuma ili asimame kampeni wakati Magufuli anauguzwa.
..kwasababu Magufuli hakuweza kwenda mikoa ya Kusini, basi Lissu akaanza kupigwa mabomu alipokuwa kusini, na helikopta yake ikawa inazuiwa kutua maeneo maeneo alipopangiwa kukampeni.
..kwa jicho langu la udadisi Magufuli alikuwa na hali mbaya tangu wakati wa msiba wa Mzee Mkapa au kabla ya hapo.
NB:
..pia nahisi Magufuli aliwahi kuugua akiwa ktk ziara nchini Uganda.
cc tindo, Mag3
Mmmh, hiki Kiingereza naona Umeamua kumuenzi Marehemu, broken kama zote!That person who facilitated the process to feed Lissu that information was traced and found in Arusha.
He's been looked after since.
But you seems to be right on our security system especially cyber security.
I think we have cyber security centre but I don't think is well equipped (or is in the process) enough to stop these leaks.
Lissu sasa hivi hafanyi kazi yoyote zaidi ya kukaa mitandanoni na kutafuta innuendo.May be he even knows who was behind the 16 bullets.It should be a matter of time, I suppose things will begin to unfold
Alishawahi kusema anawafahamu wote na ni kweli aliwaona kwakua alishajua anafuatiliwa kabla hajapark gari lake... ni suala la muda tuu.Lissu sasa hivi hafanyi kazi yoyote zaidi ya kukaa mitandanoni na kutafuta innuendo.
Kwa vile Magufuli alikuwa na afya dhaifu ya moyo ambayo Lissu alishaijua siku nyingi sana hata kabla Magufuli hajawa rais, ndiyo maana kila mara Magufuli alipokuwa anachukua mapumziko au kwenda akuchekiwa hospitali, Lissu alikuwa anafanya ni issue. Hii ya kusikia rais amepelekwa hospitali, anaweza hata kuipata kwa walizni wa mlangoni mwa pale hospitali, halafu yeye anafanya extrapolationa kufit agenda yake. Amefanya hivyo mara kadhaa bila kufanuikiwa, unfortunately safari hii kafanikiwa- yaani ilikuwa ni pata potea tu. Kama kweli ana informers wazuri na anaamini kuwa Magufuli alituma assasins kumwua kwa nini hajasema hao waliomminia risasi hizo ni nani, bali naye huwa anakwoti generically tu kuwa ni "wasiojulikana."!
Sehemu kubwa ya maneno ya Lissu ni speculations tu!
Na Waziri Mkuu aliyesema Rais yupo busy anapitia mafaili yake inakuwaje, ndo alikuwa na correct information?
The benevolent and patriotic tanzanian was doing this noble and blessed work of feeding Lisu with sweet information of dictator's illness and consequent death.Who was feeding Lisu with information?
This is my plain english.Mmmh, hiki Kiingereza naona Umeamua kumuenzi Marehemu, broken kama zote!
Alishawahi kusema anawafahamu wote na ni kweli aliwaona kwakua alishajua anafuatiliwa kabla hajapark gari lake... ni suala la muda tuu.
Wengi kama si wote ni wendazao!!I believe he (Lissu) ako katika fasi nzuri and well protected kwa sasa, so it’s obvious the best time to give us their names! Hao wasiojulikana!
Mi nadhani wewe ndo umespeculate, Uhalisia ni kuwa ikulu ya Tanzania inavuja Sana,kumbuka tangia enzi za dr.Slaa alivyokuwa akipata taarifa nyeti,hata zitto kabwe huwa anakuwa ahead katika vitu vingi vya nchi.Halafu kea Lissu kupata siri ni rahis kea sababu ashakuwa presidential candidate,anaconnection kila mahali,kuanzia jeshini,mahakamani n.k.hata yeye kuondoka ghafla nchini ni kea sababu alishapenyezewa kuwa zile kesi zako dhidi ya serikali zitakuweka gerezani kwa amri toka juu.pia kipindi Cha uchaguzi pale Kawe alisema kuwa Nose amepewa na NEC kura Mil 12 na yeye mil.1 na kweli ikawa hivyo,walau NEC wangepika upya zile data Ili kummislead,lakini walichelewa.Lissu sasa hivi hafanyi kazi yoyote zaidi ya kukaa mitandanoni na kutafuta innuendo.
Kwa vile Magufuli alikuwa na afya dhaifu ya moyo ambayo Lissu alishaijua siku nyingi sana hata kabla Magufuli hajawa rais, ndiyo maana kila mara Magufuli alipokuwa anachukua mapumziko au kwenda akuchekiwa hospitali, Lissu alikuwa anafanya ni issue. Hii ya kusikia rais amepelekwa hospitali, anaweza hata kuipata kwa walizni wa mlangoni mwa pale hospitali, halafu yeye anafanya extrapolationa kufit agenda yake. Amefanya hivyo mara kadhaa bila kufanuikiwa, unfortunately safari hii kafanikiwa- yaani ilikuwa ni pata potea tu. Kama kweli ana informers wazuri na anaamini kuwa Magufuli alituma assasins kumwua kwa nini hajasema hao waliomminia risasi hizo ni nani, bali naye huwa anakwoti generically tu kuwa ni "wasiojulikana."!
Sehemu kubwa ya maneno ya Lissu ni speculations tu!
Unarudia speculations zaidi. Ingawa nakubaliana nawe kuwa Ikulu siku hizi ina uvujaji sana, hilo la kura ni speculations tupu, kwani Kura zilihesabiwa kutoka vituoni, siyo kuwa NEC ilitoa tanganzo la moja kwa moja. Hakuna aliyewahi kuja na ushahidi kuwa NEC ilitangaza kura tofauti na zilizotoka vituoni. Halafu ufujaji mwingi Ikulu hutoka kwa watu wadogo sana, kwa hiyo siyo kuwa kila ufujaji na taarifa sahihi.Mi nadhani wewe ndo umespeculate, Uhalisia ni kuwa ikulu ya Tanzania inavuja Sana,kumbuka tangia enzi za dr.Slaa alivyokuwa akipata taarifa nyeti,hata zitto kabwe huwa anakuwa ahead katika vitu vingi vya nchi.Halafu kea Lissu kupata siri ni rahis kea sababu ashakuwa presidential candidate,anaconnection kila mahali,kuanzia jeshini,mahakamani n.k.hata yeye kuondoka ghafla nchini ni kea sababu alishapenyezewa kuwa zile kesi zako dhidi ya serikali zitakuweka gerezani kwa amri toka juu.pia kipindi Cha uchaguzi pale Kawe alisema kuwa Nose amepewa na NEC kura Mil 12 na yeye mil.1 na kweli ikawa hivyo,walau NEC wangepika upya zile data Ili kummislead,lakini walichelewa.
Na aliposema Amekufa je hakufa kweli?Lissu kasema Magufuli amelazwa hospitalini Nairobi Kenya. Baadaye kaseme serikali ya JMT ilimuondoa na kumpeleka China. Inaonyesha huyo informer ni boya kama boss wake tu.
Lini hyo Lissu aliwahi ongelea afya ya JPM? hadi kuspeculate kifo?halafu yeye anafanya extrapolationa kufit agenda yake. Amefanya hivyo mara kadhaa bila kufanuikiwa,
Hii Ni Kama assassination ya Ouko yule former foreign minister wa Kenya. Waliomuua wote walikufa kiajabu ajabu kuzuia habari kuvuja.Lini hyo Lissu aliwahi ongelea afya ya JPM? hadi kuspeculate kifo?
Lissu anawajua waliohusika thou most of them waliuawa kuepuka loose ends......
Issue yake ni NANI ALIWATUMA? Nadhani hili jibu kila mtu analo kwa ushahidi wa kimazingira tu.
Traces suggest at least four access codes may be facilitating the flow of the information with high pay and safety assuranceLisu Started questioning whereabouts of the president on March 7th 2021. As per the Vice President our President Dr. John Magufuli was hospitalized on 6th march 2021.
This clearly shows Lissu was fed information about the health of our President by his sources which he claims are reliable from the government.
Remember we normal citizens and the rest of the world were never notified on the Presidents illness till his demise on the 17th March 2021.
Who was feeding Lisu with information?
.... And who was playing a snake game by saying the president is well and healthy fulfilling his presidential duties?Lissu was playing a poker game! He claimed JPM was hospitalized somewhere outside the country....
How certain are you that he died on March 17th?Remember we normal citizens and the rest of the world were never notified on the Presidents illness till his demise on the 17th March 2021.