Who r better in personal Hygiene men vs women | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Who r better in personal Hygiene men vs women

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Binti Maringo, Feb 4, 2010.

 1. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Lets discuss this!....Me personally as a woman nawapa cons wanaume...Men are better personal hygiene than women....Mfano right kwenye public bathrooms hizi....Jesus christ ukiingia kwenyebathrooms za wanawake unaweza hata kutapika and also when it comes to usafi wa mwili....wanawake wengine hata hawajui hata kama kuna pembe 19 za mwili unatakiwa lazima ujisugue .......a pia as a woman consider kuoga kwa maji ya baridi maana sisi wnawake tuna bacteria wengi sana ili kuwez akuwauwa hao bacteria inabidi uoge na maji ya baridi na pia kuingiza vidole huko chini na kujisafisha na siyo kujisafisha juu juu tuu ndiyo matokeo yake utakuta mwanamke mtu mzima anatoa harufu kali sana.....imagine alafu unalala kitanda kimoja na mwanaume!....Na pia kunywa maji sana at leats a gallon per day inasaidia kuondoa BO.....

  Anyways hiyo mtazamo wangu kama kuna mwingine ana mtazamo tofauti kuwa wanaume are worse than wanawake atoe point zake hapa....

  let us debate the following...
  1)Women are cleaner than men. vs. Men have better personal hygiene habits.
  2) Men are more intelligent than women. vs. Women are more intelligent.
  3)Women are funnier than men. vs. Men are much better at telling jokes.
  4)Men are more honest than women. vs. Women are more honest than men.
  5)Women are better dressed than men. vs. Men have a better sense of style.
  6)Men are more interesting than women. vs. Women are more interesting.
  7)Women are more sensible than men. vs. Men have more common sense.
  8)Men are kinder than women. vs. Women are kinder than men
   
 2. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,734
  Likes Received: 251
  Trophy Points: 180
  ...haki ya nani vile inabidi muingize Syllabus hii kwenye 'kitchen parties'...
   
 3. Natty Bongoman

  Natty Bongoman JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2010
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 273
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kujisafisha na vidole, huh? mnavofuga makucha marefu, basi wengi hamjisafishi, ama? Lord haf mercy! sa ntajihadhari kubusu vidole na mikono...
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 80,498
  Likes Received: 117,186
  Trophy Points: 280
  Binti Maringo it depends...I have seen worse on both genders. Therefore, IMHO it is very difficult to give an accurate conclusion in regards to cleanliness.
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 80,498
  Likes Received: 117,186
  Trophy Points: 280
  Nimeshaona baadhi ya njembas wanalambalamba mpaka vidole vya miguu na kuvinyonya....mhhhhh! inahitaji moyo sana na wanawake wengi wanadai wanaenjoy sana hiyo kitu....sasa kama usafi wenyewe wa miguu hauridhishi itabidi ufikirie mara mbili mbili namna ya kumridhisha mwenzio kama anapenda kufanyiwa shughuli hiyo ;)
   
 6. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kwanza naomba utusaidie kutaja hizo kona 19 za mwili nadhani itatusaidia,

  pili topic zimekuwa nyingi mpaka tunachanganyikiwa, ungeleta moja moja inekuwa effective zaidi!

  nisamaraizi kwamba hakuna tathmini ya haki nayoweza kufanywa comparatively as far as the two poles have different hygienic needs and standards.

  kama ulivyosema wanawake waingize vidole in an attempt to be more hygienic, lakin mwanaume hahitaji hiyo practice, ndio sasa utaona any comparison of the two in total disregard to their diverting physiological characteristics is unfair
   
 7. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,852
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,860
  Likes Received: 22,911
  Trophy Points: 280
  it all depends..
   
 9. kui

  kui JF-Expert Member

  #9
  Feb 5, 2010
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 6,478
  Likes Received: 5,147
  Trophy Points: 280
  They say Dog's paws are cleaner than a woman hand when it comes to number of bacterias we carry with us.
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,834
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Thanks Boss...
   
 11. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #11
  Feb 6, 2010
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,148
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Binti Maringo nakubaliana nawe kuwa wanaume ni wasafi zaidi
   
 12. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #12
  Feb 6, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 0
  Sistah Binti Maringo...
  naogopa hii generalisation. Kuna wanawake wachafu kupindukia kama ambavyo wapo wanaume wachafu kupitiliza.Wapo wanawake wasafi mno na kadhalika wapo wanaume ambao usafi wao unatisha!
  Naweza kukubaliana nawe kwenye point kuwa, kimaumbile wanawake wameumbwa katika namna ambayo kuwa wachafu inazidi uchafu wa mwanaume kama mwanamke husika atashindwa kujiswafi na kujitunza. Wanaume maumbile yao kidogo yanawasitiri zaidi lakini haina maana wasijijali usafi.

  Wapo wanaume ambao hudhania hawapaswi kuoga mara angalau mbili kwa siku.Huku ni kupotoka. Wanasahau kuwa uchafu wa bacteria juu ya ngozi nao ni kero. Mijasho ya siku nzima iliyochanganyika na polution - vumbi na moshi wa magari na sources nyingine si mchezo.
  Bottomline..both men and women need to take care of themselves.
   
 13. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #13
  Feb 6, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,755
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Unafaa kuwa kungwi je unafanya shughuli hizo? kama bado basi nakushauri ufikirie unaweza ukatubadilishia hawa atu
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Feb 6, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 42,478
  Likes Received: 26,041
  Trophy Points: 280
  even biologicallz we ar nt the same.
   
 15. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #15
  Feb 6, 2010
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,876
  Likes Received: 457
  Trophy Points: 180
  What hell are you talking about? Women dirtier than dogs? A Big No, over my dead body!!!!
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Feb 6, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,834
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Hapo ndipo the boss alisema... it all depends!!
   
 17. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #17
  Feb 18, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  I second you my sister!....
   
 18. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #18
  Feb 19, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,292
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  hehehe!homegirl bana!unajua nilikuwa sijasoma umeandika nin...!lol
  INATEGEMEA
   
 19. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #19
  Feb 20, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Sisi wanaume tunashek well after use....
   
 20. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #20
  Feb 20, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 0
  Asante kwa kutusafishia jukwaa MKUU!
  Mada ni nzuri lakini ilishaanza kwenda kusiko!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...