Who knows this??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Who knows this???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tumain, Jan 19, 2010.

 1. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Naomba kwa wanaofahamu wanifahamishe nchi yenye sifa zifuatazo ili nianze utaratibu wa kuhamia huko na kuwalea watoto wangu waige utamaduni ninaoutamani

  1. Nchi ambayo hawaombi msaada wala kuchukua misaada kutoka kwa nchi zingine

  2. Nchi ambayo haipokei mikopo ya kinyonyaji kutoka WB au IMF; badala yake inakopa kutoka kwa wananchi wake kwa miradi yenye tija kwao wenyewe.

  3. Nchi ambayo wananchi wanaishi kwa jasho la mikono yao na kurizika, sipendi watu wanaokula wasichokizalisha, wasichonacho, na kujiona wa maana eti wame win!

  4. Nchi ambayo wahalifu, wezi, wazinifu, mafisadi hushughulikiwa kwa nguvu zote na huaibishwa mbele ya kadamnasi bila kujali cheo, rangi, dini na kabila lake.

  5. Nchi ambayo watu wake hawapendi kupendelewa, kupendelea na wanapopendelewa nafasi, elimu, biashara, etc..kutokana na sababu yoyote ile, aliyependelewa na aliyependelea wanajisikia vibaya na kuacha haki itendeke. zaidi hupewa adhabu kwa aibu hiyo.

  6. Nchi ambayo supermarket zinauza bidhaa za ndani na si bidhaa za nje, mfano sipendi supermarket zinazouza machungwa kutoka SA wakati kuna machangwa kutoka Tanga.

  Who knows this country on the planet earth???
   
 2. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mh! Sijui kama ipo....
  Labda tusubiri watafiti wetu wa baraza
   
 3. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Karibu sifa zote (isipokuwa ya mwisho) zimepoint singapore
   
 4. The Spit

  The Spit JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Japan na China zinaweza kutimiza zaidi ya 60% ya mahitaji yako i guess!...you can put them into consideration!
   
 5. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,012
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama ipo. Lakini zinazokaribia kukidhi matakwa yako ni nchi za Scandnavia.
   
 6. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Israel
   
 7. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwa hapa sijui lbd mbiguni kama kupo
   
 8. amba.nkya

  amba.nkya JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 431
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Jaribu kwenda kuishi Botswana
   
 9. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  United Arab Emirates is the closest you will get. Hawanyonyi kwa mtu wala hawamnyonyi mtu.
   
 10. a

  achiwalila Member

  #10
  Jan 19, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi naona ni nchi yoyote hata hapa tanzania. unapaswa wewe na familia yako mka-anzishe makazi yenu pekee bushi saanaa na mkaishi kama bush man kama walivyokuwa wale wa pori la kati ya babati na singida. Kamwe msitamani maendeleo,msitamani radio, magazeti, TV na mkiona wageni kimbilieni bush zaidi, ukaanzishe taratibu hizo huko. Vinginevyo sidhani kama ipo inchi ya wakazi wenye hulka tofauti inaweza kukidhi hayo kiukwelikweli. kwa maana hivyo vyote lazima viwepo ndio challengi ya maisha na kuishi hadi karne kadhaa zijazo ndipo zitaisha au kupungua kama sio kuzidi. Chemsha ubongo popote yote yatajipa utaona fresh.
   
 11. Guyana Halima

  Guyana Halima Member

  #11
  Jan 19, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Saudia..!
   
 12. Shagiguku

  Shagiguku JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 400
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  hii nchi mimi naifahamu sana IPO, tena kunamengine zaidi ya hayo yaliyo mazuri zaidi, ndugu zangu, marafiki zangu wengi wamekwishakwenda ktk nchi hiyo!!
  tatizo ni njia ya wewe kwenda ktk hiyo nchi maana sharti la kwanza ni kifo...!! je upo tayari kufa ili uingie ktk nchi itililishayo maziwa na athari..???
  kama upo tayari basi mwamini YESU KRISTO AWE MWOKOZI WA MAISHA YAKO NA UTAINGIA KTK NCHI HIYO BURE....!!!
   
 13. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #13
  Jan 19, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Bado.. Dunia hii hakuna, wote tunategemeana.. Kama huna hiki, mwenzako anacho!
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Jan 19, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Tanzania inakaribia kwa 5%
   
 15. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  No! wanaua wapalestina na wauaji hawafanywi kitu wabaguzi
   
 16. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #16
  Jan 20, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nasikia wafalme wako above the law, wanaendeshwa na American military
   
 17. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Good idea, in case kama nitashindwa kupata nchi ambayo tayari watu wake wako hivyo..
   
 18. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #18
  Jan 20, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,200
  Trophy Points: 280

  Israel wanachukua msaada kutoka nje sana tu, hususan USA.

  Hii nchi kama ya Shaban Robert katika "kufikirika" vile.
   
 19. B

  Bull JF-Expert Member

  #19
  Jan 20, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  IRANI.....Ni nchi isyopokea misaada WB, IMF wala kwa wengine, waalifu, wenzi wazinzi wanaadhibiwa bila kujali. wananchi wanakula jasho lao hakuna benefit wala NGOs.

  IRANI ni nchi ya pekeeeee ya pekeeeee tena ya pekeeeeeee.
   
 20. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Ahera,
   
Loading...