Kwa mtizamo wangu kwa yeyote atakayesimamishwa kati ya Lowasa na Magufuli upinzani utakuwepo lakini sio waliobaki hakuna upinzani wowote.
...strength kiutendaji,kwenye kuuza sera compared to Dr Slaa wakoje...Sita hana kashifa nyingi, kwa hiyo atakuwa mpinzani
...strength kiutendaji,kwenye kuuza sera compared to Dr Slaa wakoje...
...dah mkuu huyu dogo wakimsimamisha nachukua form maana najua nitamtoa tu,anyway sidhani kama ni tishio kwa cdm maana sera na mfumo wa siasa zake ni za matukio na unazi sana hazilengi hoja, kifupi ni mwanasiasa asiye na sifa za uongozi. ni mtazamo wangu..Mwigulu
...nakubaliana na wewe Dr yuko juu sana, lakini sitaki watu sapraizi, Sita nahisi ana maadui wengi ndani ya chama, Magufuli hatabiriki na haangalii kushoto wala kulia yeye mbele daima...Muulize Prof. Mbele aliyeshauri video ya mdahalo wa Dr. Slaa ITV wa mwaka 2010 upelekwe kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ili kuwajengea uzalendo. Sina uhakika kama kuna uwezekano wa mtu yoyote hapa Tanzania kushauri video za mdahalo wa kiongozi mwingine anayeishi zipelekwe kwa wanafunzi
Threat kubwa ya CHADEMA ni washabiki wake wasiopiga kura!(NA WAKO WENGI SANA)...otherwise its a FREE walk on a red carpet to MAGOGONI[/Q100% right
Fedrick Tluway Sumay