Yeah wewe pia ni mpole ila personality yako uliyojijengea humu inamuonya mtu kutokuchokoza hata bila wewe kuongea.Kama mimi tu π
Yeah wewe pia ni mpole ila personality yako uliyojijengea humu inamuonya mtu kukuchokoza hata bila wewe kuongea.
Yeah hauwezi kufanya kitu , hiyo ni image yako ya ndani kabisa , hata kwenye maisha ya huko duniani lazima uwe na personality inayosema na kuonya kabla haujaongea.Nilipobold nimecheka!
Hiyo personality imejijenga hivyo automatically...mie sijafanya kitu
Thanks alot man. Sometimes i can't even explain how it feels being sorrounded by positive energies ila tuko pamoja sana.
Kabisa naunga mkono hojafinancial services mdada mpole sana ....heshima , adabu vimetamalaki
Hata wewe sijawahi kukuona umegombana.financial services mdada mpole sana ....heshima , adabu vimetamalaki
Ngumu sana πNgoja uchezee leo ndio utajua!
Yes babe.
Nitaanza na hawa dosho12 Vincenzo Jr
Hawa jamaa wapo active ila sijawah kuona wanafanya ukorofi humu.
Wataje wengine
Yeah hauwezi kufanya kitu , hiyo ni image yako ya ndani kabisa , hata kwenye maisha ya huko duniani lazima uwe na personality inayosema na kuonya kabla haujaongea.
Mimi si bidada ni babaKwa hali hiyo mchumba anaweza kukukaribia kweli bi dada?!
Bangi unayovuta huwezi tajwa sehemu peaceful kama hizi Jo...
Wewe upo cool kwangu tu π