Who is the coolest guy in JF?

Who is the coolest guy in JF?

min -me yupo cool ila ukimkuta bange zipo kumkichwa ukimzingua anakuzingua .

Hanaga uchokozi wa kiduwanzi bila sababu za msingi.

Shadeeya : kwa Wanawake namba moja , mstaraabu ,mchangamfu , hanaga mabifu , ugomvi , kujibizana na mtu vibaya wala humkuti kwenye Mada za fujo.

Pascal Mayalla ni hazina ya Jf sijawahi kushudia akimjibu mtu vibaya akimtukana na kumchukia . Yaani hata umtukane na kunishambulia vibaya yeye anatanguliza upole.

Mohamed Said . Hata uje kwa matusi na ukali.yeye ana stick kwenye hoja bila kudeal na wee personally

Selikavu : Mwanadiplomasia Bora wa Jf

Razorblade : Mzee wa kutuliza ghasia.

adriz : hapendi ugomvi ila jinsi utakavyokuja ndivyo atakavyokupokea.
 
min -me yupo cool ila ukimkuta bange zipo kumkichwa ukimzingua anakuzingua .

Hanaga uchokozi wa kiduwanzi bila sababu za msingi.

Shadeeya : kwa Wanawake namba moja , mstaraabu ,mchangamfu , hanaga mabifu , ugomvi , kujibizana na mtu vibaya wala humkuti kwenye Mada za fujo.

Pascal Mayalla ni hazina ya Jf sijawahi kushudia akimjibu mtu vibaya akimtukana na kumchukia . Yaani hata umtukane na kunishambulia vibaya yeye anatanguliza upole.

Mohamed Said . Hata uje kwa matusi na ukali.yeye ana stick kwenye hoja bila kudeal na wee personally

Selikavu : Mwanadiplomasia Bora wa Jf

Razorblade : Mzee wa kutuliza ghasia.

adriz : hampendi ugomvi ila jinsi utakavyokuja ndivyo atakavyokupokea.
Mimi sivuti bangi bwashee ni pombe tu .
 
raraa reree hata ukimtukana analike mitusi yako ukafie mbele 😹😹😹

min -me yeye hata akijobolewa na manzi anayempenda hajali anafocus na kupewa kitumbua 🤣😹😹

Smart911 yeye concubines wake wapigane, watupiane vijembe watajiju muhimu anawapelekea moto kila mmoja kwa wakati wake 😹

cocastic yeye hata mkimuita shoga anawachekea sio shida zake muhimu anapewa dyudyu na baba tamu wake kwa wakati..!! 😹

Lamomy 😜
Huyu ni bampa to bampa unavyokuja ndo utakavyopokewa haijalishi wewe ni nani JF 😹😹
 
min -me yupo cool ila ukimkuta bange zipo kumkichwa ukimzingua anakuzingua .

Hanaga uchokozi wa kiduwanzi bila sababu za msingi.

Shadeeya : kwa Wanawake namba moja , mstaraabu ,mchangamfu , hanaga mabifu , ugomvi , kujibizana na mtu vibaya wala humkuti kwenye Mada za fujo.

Pascal Mayalla ni hazina ya Jf sijawahi kushudia akimjibu mtu vibaya akimtukana na kumchukia . Yaani hata umtukane na kunishambulia vibaya yeye anatanguliza upole.

Mohamed Said . Hata uje kwa matusi na ukali.yeye ana stick kwenye hoja bila kudeal na wee personally

Selikavu : Mwanadiplomasia Bora wa Jf

Razorblade : Mzee wa kutuliza ghasia.

adriz : hampendi ugomvi ila jinsi utakavyokuja ndivyo atakavyokupokea.
Appreciate sana brother one love...

Ila hapo kwa Razorblade huyo tapel toa😃😃😃kila sehemu yeye ndo muanzisha ugomvi 😃😃
 
raraa reree hata ukimtukana analike mitusi yako ukafie mbele 😹😹😹

min -me yeye hata akijobolewa na manzi anayempenda hajali anafocus na kupewa kitumbua 🤣😹😹

cocastic yeye hata mkimuita shoga anawachekea sio shida zake muhimu anapewa dyudyu na baba tamu wake kwa wakati..!! 😹

Lamomy 😜
Huyu ni bampa to bampa unavyokuja ndo utakavyopokewa haijalishi wewe ni nani JF 😹😹
Nina fokasi na nini vile?
 
Back
Top Bottom