Sifa kubwa ya Bakhresa hana mkopo katika benki zetu za tanzania!!dini haimruhusu kula riba!!baada ya TBL,TCC,Coca Cola,yeye ndiye anufuata kwa kulipa kodi TRA!!ana viwanda Msumbiji,Malawi na mashamba ya ngano,Rwanda,Uganda.Kenya watu wabaya sana hawataki bidhaa za tanzania ziuzwe kwao wanataka tuwape mali ghafi tuu!!wao watuuzie finished items!!!Ndiye mwenye kiwanja cha mpira cha kisasa Chamanzi Mbagala!!yani ile Nyerere road(Pugu road) plots karibu zote ni zake na Manji.juzi juzi kazindua Azam cola,jamaa wa Coca cola wakalalamika maana bei yake ilikua chinish 500 kuliko coca cola,wiki hii imebidi bei ipande kufikia sh 600.