Hiyo assertion haina ukweli, ifute.Najua ni nadra sana kwa nchi yoyote kuwa na mtu ambaye ni tycoon na such a biggest business man kama bakhresa

hiyo assertion haina ukweli, ifute.
una maana gani ni nadra kwa nchi kuwa na tajiri mkubwa kama bakhresa, duniani bakhressa tajiri?
Mkuu, unaposema tajiri wa kizamani unamahanisha nini?Kimsingi bakhresa ni tajiri wa kizamani
elimu yake iko limited.
Biashara zake bado hazijakuwa za kisasa sana
hajui wala hana interest ya ku inluence watu kama mengi mfano...
Sura yake inafahamika kwa viongozi wote na wadau wake
na wale wanao mjua toka zamani...
Anaishi maisha ya kawaida,ni rahisi kumuona kuliko mengi mfano......
Biashara zake ni kubwa sana,nyingi ya biashara amefungua kutokana na kuwa
zina relate na biashara za mwanzo
mfano chapati,inatokana na biashara ya ngano ambayo yeye ndo supplier
mkubwa africa........
Nyanya inatokana na yeye kununua matunda ya juice za box so
akinunua na nyanya,anaipack na kuiuza.....
But pamoja na yote hayo...
Biashara zake zipo kizamani bado....
Akifa yeye leo kampuni yake itayumba saana.....
Na kuwa na biashara nyingi kuna punguza ufanisi kwenye biashara kuu
kimsingi bakhresa ni tajiri wa kizamani

Mkuu, unaweza kunitajia matajiri watatu wa Tanzania?Hiyo assertion haina ukweli, ifute.

Una maana gani ni nadra kwa nchi kuwa na tajiri mkubwa kama Bakhresa, duniani Bakhressa tajiri?

usiongee kwa chuki..

Bakhressa ni tajiri wa viwango vya kimataifa
the boss, sidhani kama uko sahihi umem'underestimate' kwa kiwango kikubwa sana. Biashara za bakhressa ziko mpaka rwanda na burundi na ameweza kupanua biashara zake pole pole.
Ni biashara ya kifamilia. Inawezekana yeye hakusoma sana lakini watoto wake wamesoma tena wengine wana masters za business administration na ndiyo wanaoendesha hizo biashara.
Au lazima ajisifie na kujisifia kwenye matelevision ndiyo mumuone ni mfanya biashara mkubwa?
Na wewe mr/ms not found, ingekuwa mzungu hapa kaanzisha kiwanda ndiyo mungechekelea lakini kwa kuwa wa hapa hapa roho inawauma, eti hupendi. Matunda yalikuwa yanaoza wakulima wanapiga kelele leo yeye ameanzisha kiwanda hapa hapa nchini imekuwa nongwa. Mbona hamueleweki?
Kwani wewe au mwengine alikatazwa na nani kuanzisha hizo business na kuchukuwa mikopo huko benki?

nami naamini ana pesa nyingi, ila siamini kama huyu mwana jf kaongea kwa chuki, maana katika list za akina alhaj aliko dangote huyu bakhressa hayupo. Ama kwa kuwa ana pesa kidogo ukilinganisha na matajiri wengine wakubwa afrika au kwa sababu anaficha utajiri wake. Huu usiri wa mali za matajiri wetu unasababisha hata wakwepe kodi.
lakini pia tuangalie hili lina athari gani kwa uchumi wa raia wa nchi.
Kama ni mfuatiliaji utakuwa unakumbuka kuwa kuna wakati microsoft walikuwa
wanataku ku produce computer zao, ambazo zitakuwa shipped pamoja na o.s yao
(japo isingezuia matumizi ya brand nyingine kama dell, hp n.k)
lakini alipigwa stop kwa sababu alionekana yeye ndo ametawala soko la operating systems duniani, na watengenezaji
wengine kama dell, hp, ibm etc wanategemea microsoft operating systems kwa asilimia kubwa.