Who is next?

Who is next?

mtandasa

Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
89
Reaction score
66
IMG_20180221_201715.jpg
 
Taifa limejaa wauwaji hili ajabu toka nizaliwe sijawahi kusikia mkuu wa mkoa kaishi milele duniani wote ni chakula cha funza saluti na misafara ni mapambo ya dunia adhabu ipo kaburini.

Mungu atusuru na udhalimu huu wa ulevi wa madaraka mwanadamu kutaka kusujudiwa.
 
Beni Saanane kapotea akiwa kijana mdogo sana hivi ingekuwaje kama ni mwanae Sizonje kapotezwa hivyo?
 
"Ukiishi kwa upanga na utakufa kwa upanga, Mungu ndio anapanga kila kitu kwa kila MTU"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom