Wanabatizwa upya kwa moto
Swali gumu lkn kwa hali ilivyo sasa na kupotezwa, kupigwa risasi, kubambikiwa kesi, kuulizwa uraia, wote wanaweza wakajitokeza!
Ufipa imewatachi na kuwaum sana...vipi kina kubenea kuomba msamaha mbona mlisema hao ndio vidume wametambua makosa yao na kuomba msamaha?