Neno Mzungu (Mizungu) , lilikuwa likitumika kwa kumaanisha watu wa ajabu au waovu, Mizuka au mashetani...! Walipokuja watu kutoka uropa (Europe), walikuja na vitu ambavyo Waafrika walikuwa hawavijui, hususani Bunduki na baruti....! Na Matendo mengi ambayo Waafrika awakupendezwa nayo, ikapelekea watu hawa Weupe kutoka uropa kupewa jina ili la Mzungu... Wakimaanisha watu wa ajabu au Mizuka. Lakini baada ya kuzoeleka, linaonekana kama jina la kawaida, wakimaanisha watu Weupe kutoka Europe!Naomba kusaidiwa hili;
MZUNGU NI NANI?
Neno Mzungu (Mizungu) , lilikuwa likitumika kwa kumaanisha watu wa ajabu au waovu, Mizuka au mashetani...! Walipokuja watu kutoka uropa (Europe), walikuja na vitu ambavyo Waafrika walikuwa hawavijui, hususani Bunduki na baruti....! Na Matendo mengi ambayo Waafrika awakupendezwa nayo, ikapelekea watu hawa Weupe kutoka uropa kupewa jina ili la Mzungu... Wakimaanisha watu wa ajabu au Mizuka. Lakini baada ya kuzoeleka, linaonekana kama jina la kawaida, wakimaanisha watu Weupe kutoka Europe!
Hawa si wazungu japo kimazoea watu wanaita pia wazungu kwa vile ni weupe. Lakini kiuhalisia hao si wazungu. Wanaitwa kwa majina ya utaifa wao tu, mf. wamarekani, wakanada, wajapani, wakorea, nk.kwa hiyo mmarekani au kaburu wa south africa si mzungu.au tuseme mtu kama jing sung park(wa man U) naye ni mzungu?
Hawa si wazungu japo kimazoea watu wanaita pia wazungu kwa vile ni weupe. Lakini kiuhalisia hao si wazungu. Wanaitwa kwa majina ya utaifa wao tu, mf. wamarekani, wakanada, wajapani, wakorea, nk.
Hao ndo wazungu sasa!! Si ndo watu wa uropa (ulaya). Kumbe mbali na majina yao ya utaifa wana jina common ambalo ni uzungu.unasemaje kuhusu waingereza,wajerumani, wareno n.k hawana haki ya kuitwa wazungu?
Hao ndo wazungu sasa!! Si ndo watu wa uropa (ulaya). Kumbe mbali na majina yao ya utaifa wana jina common ambalo ni uzungu.
Mwarabu ni mweupe? Mzee mwarabu si mweupe kama unavyofikiri. Mwarabu wazungu (weupe wa uropa) wanamwita coloured, yaani mtu mwenye rangi. Siyo mweupe huyo. Kwetu sisi weusi ndo tunamwona mwarabu ni mweupe, lakini wazungu hawamwoni mweupe (white), bali wanamweka kati ya watu weusi au tuseme coloured.kuwa wazi babu, kama uzungu ni kuwa mtu wa bara uropa au kuwa mweupe bila kujali unakotoka.hivi kwa nini the so called 'mwarabu' aliyezaliwa bara uropa haitwi mzungu?
Kuhusu asili ya neno mimi nimesikia yafuatayo (lakini siwezi kuyathebitisha):
Wazungu wa Kwanza Afrika ya Mashariki walikuwa Wareno lakini hawakuitwa "wazungu".
Neno hili limetokana na hao wapelelezi wa Afrika na tabia yao ya kuzunguka kote bila kukaa mahali pamoja. Yaani watu hao kama Livingstone, Burton, Speke na wengine.
Labda pia wa sababu kutokana na kuzunguka kwao walionekana kama watu wenye hali ya kizunguzungu?
Hebu tujiulize kidogo. Hivi kuna watu wenye rangi nyeupe? Manaake kwa uzoefu wangu wa uchoraji rangi nyeupe ni kama maziwa, sukari au chokaa. Sasa hawa tunaowaita weupe niaje? Ngozi ya mzungu siyo nyeupe bana. Wamejipa nasi tunakubali, na mbaya zaidi wengi wetu tunaitukuza kutokana na kasumba nzito!Mtu mweupe wa ngozi...