Who is Mary Chitanda?

 
Mary Chitanda ni Mbunge wa kuteuliwa kupitia mkoa Tanga na sidiwani wa kuteuliwa kupitia Arusha, hivyo basi kwasababu Mbunge anaruhusiwa kuhudhuria vikao vya madiwani basi ni sawa, lakini Chitanda alitakiwa ahudhurie vikao vya Tanga alikoteuliwa na sio Arusha
 
Mary chitanda anasali kanisa gani?
 

"Tarehe 10.12.2010 CHADEMA wenyewe walimwandikia barua Mwanasheria Mkuu wa serikali kuomba ufafanuzi wa kisheria kuhusu wajumbe wa halmashauri kisheria na katika majibu yake kupitia barua yenye kumbukumbu na. JC-A.130-74 ya 16.12.2010 aliwapa ufafanuzi kuwa ni maamuzi ya chama husika kuamua mbunge wake wa viti maalumu atawajibika halmashauri ipi.

"Na hii waliuliza baada ya wao CHADEMA kuamua wabunge wake wawili, Bi. Grace Kiwelu na Bi. Lucy Owenya wawakilishe Halmashauri ya Hai na Mkurugenzi wa Wilaya hiyo kuwakatalia, lakini baada ya ufafanuzi huo wale wabunge waliruhusiwa,

Alisema kwa mujibu wa sura ya 287 ya kifungu cha 35 1 D wabunge wa viti maalumu wanatokana na idadi ya kura za chama husika, lakini ni wapi wafanye kazi zao ni uamuzi wa mamlaka husika ya chama kilichowateua na kutoa mfano kuwa kwa upande wa CHADEMA kazi hiyo hufanywa na Kamati Kuu.

Fuatilia hilo then tunaweza endelea jadili.
 
 
 
 

kwa hiyo unachotaka kusema ni kwamba kuwa KIBURUDISHO haichangii kabisa kwenye kutema pumba? kwa sababu ile kitu ina effect kisaikolojia. hata kama una elimu, ila kama ulitoa KIBURUDISHO kupata kitu fulani lazima unabakiwa na effect fulani. na saa nyingine unajisahau nakuanza kutema pumba.

so, ndio anaweza kuwa na elimu, experience na kadhalika...lakinia ni muhimu kujua kama ni kiburudisho au la, ina effect kubwa kuliko unavyodhani.
 
Ni mpagani mwenye jina la kikristo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ok imekaa vizuri
 
Wacha CCM ipige, iue na kuwa na kiburi ndio itakuwa chanzo cha kifo chao 2015. Nina hakika hata mashabiki wa CCM wanaona kinyaa kutokana na vituko vyao! KANU na UNIP (Zambia) walikuwa kama CCM. Wako wapi. Sikio la kufa halisikii dawa.
 

Michelle Plse do not loose your temper! Nimeipenda sana ile post yako ya kwanza ila baada ya watu kuanza kukukosoa kwa kutumia maneno yasiyo na staha na ww pia umeanza kuwajibu kwa kutumia maneno kama yao. So naomba usivutike upande wao.
 
Michelle Plse do not loose your temper! Nimeipenda sana ile post yako ya kwanza ila baada ya watu kuanza kukukosoa kwa kutumia maneno yasiyo na staha na ww pia umeanza kuwajibu kwa kutumia maneno kama yao. So naomba usivutike upande wao.

Asante Paulo,nimesema samahani kwa kuwa nimeelewa nimekosea.naomba tuendelee kujadili.
 

Huyu atakuwa amepewa Kimemo cha "Talking point" toka kwa baba yake Yusuf Makamba. Na yeye bila kufikiria anasoma tu upuuzi alioandikiwa na Makamba(Sidhani kama anamwabudu mungu huyu mzee) bila kujali kuwa yeye ni binadamu ambaye pia anahitaji huduma za kiroho. Haya ndiyo matatizo ya kufanya kazi kama kichwa cha mwendawazimu. Makamba anaiendesha CCM Kijeshi zaidi kwa kufuata chain of command. Jeshini hata kama amri ikija unaambiwa ule kinyesi hupaswi kuuliza kwa nini bali ni kutekeleza kwanza na maelezo baadae.
 
Hao ndio wanaoingiza udini kama kinga yao,sasa wanasema wakristo hawampendi kikwete
 


This women is just a crap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…