Asante kwa kuleta thread hii..ombi tu kwa wale ambao wanaweza wakaanza kupinga kumjadili huyu MARTINE SHIGELLA; nafikiri ni utamaduni mzuri wa kuwa tunawachimba vizuri vijana hawa wanaoibuka katika siasa za nchi yetu..hii itatusaidia kuwafahamu walikotoka na walipo..na hivyo kutupatia mwangaza juu ya wapi wanaweza wakaipeleka nchi yetu..tunapaswa kutofanya makosa ya kuwashabikia watu tu bila kujua walikotoka halafu baadae tunaanza kujuta (hapo tayari wakiwa marais,mawaziri n.k)...huyu kijana ni nani hasa?
Niliwahi kuambiwa na mtu fulani kuwa jamaa amepaa tu ghafla akafikia hapo alipo, lakini jamaa ni kati ya 'ma-bogus' vijana ambao huyo mtu alinambia anashangaa wamefikia hapo walipo...
Ninachojua jamaa huyu (Shigella) asili yake ni Shinyanga..anatoka jimbo moja na alikokuwa Mpendazoe-Kishapu, huko kwao wanasema ni kijana wa majivuno sana, na ndio sababu ilikuwa ngumu sana kwa yeye kwenda kugombea ubunge kama rafiki yake January Makamba..hivyo badala yake akamwachia yule Nchambi's, Msukuma-mwarabu anaemiliki mabasi kaadhaa kanda ya ziwa...
Pamoja na hayo, inasemekana pia kwasababu ya kuwa karibu na viongozi wakubwa, Shigella alikuwa akiwahadaa baadhi ya watu kuwa yeye ni usalama wa taifa...
All in all..kama walivyo vijana wengi walio viongozi wa UVCCM, Shigella nae 'haeleweki eleweki-kimaslahi zaidi, suala la 'kwa ajili ya nchi' linatatanisha, ...kwa wanaomfahamu zaidi..who is this boy?!