Who Is Leading the 5G Patent Race?

Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
6,467
2,000
Wakati sisi huku tunaogopa 5G kutokana na ujinga usio na sababu, wenzetu dunia inaendelea
20095.jpeg
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,010
2,000
Huawei bado anaongoza!!!???
Hakuna Reliable data Nani anaongoza kila kampuni ina watu wake wanaipigia Chapuo. Kuna data zinaonesha Nokia anaongoza, kuna data zinaonesha Samsung anaongoza kuna data zinaonesha Ericson anaongoza etc.

Ila kifupi ni kwamba wachache sana wana Licence 5g toka Huawei. Nokia, Ericson na Qualcomm hao watatu wanakula karibia 90% ya Keki ya 5G.

Kuelewa Zaidi kuna Analyst mmoja alitoa mfano wa ndege, kwenye Ndege kuna Engine na tray za kusogezea juice na Chakula, mtu anaweza kuwa na patents 1000 za tray za kusogezea juice na Chakula na patent 10 za Engine, akajisifu Ana patents 1010 za ndege.

Mwengine anaweza kuwa na patents 500, za engine ya ndege.

Vyombo vya habari vitamsifu mwenye patents 1010 kwamba kamzidi mara 2 wa parents 500, ila kwenye reality mwenye patents 500 amemzidi mara 50 wa patents 1010.

Unless u naziona patents zenyewe hapa tunapigana kamba tu.
 
Muuza viatu

JF-Expert Member
May 14, 2020
1,947

Sawa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom