Mwenye CV ya aliekuwa mgombea mwenza wa Slaa jamani atuletee ilu tulinganishe na ya mwema...
My take:
Kuwa na hekima sio kuwa na elimu kama hivyo basi mababu zetu wasingekuwa na hekima. Na Mwema ni msikivu hapo awali alisifiwa sana hapa JF ila kwa yaliyotekea Arusha nasisitiza hakuna wa kuyafurahia ila yana ushawishi wa kisiasa zaidi. Katiba ndio suluhisho ya yote haya IGP hawezi kwenda kinyume na matakwa ya aliemteua! Au hii pia mnataka kuwa na degree kuijua?