Hata wewe mjinga umeanza kujitambuaKumekuwepo na habari au taarifa nyingi zinazoambatana na Jina hili hasa hasa unapoongelea bomoa bomoa jijini Dar!
Mimi nilikuwa ni pro-bomoa bomoa hii iliyosimamiwa na huyu bwana na kumchukulia kama mzalendo aliyepewa fursa ya kusimamia sheria..
Kwa bahati mbaya ama nzuri ni hivi majuzi tu huyu bwana pamoja na wengine wamesimamishwa kazi kwa utendaji mbovu na mheshimiwa Makamba.
Sasa tujiulize huyu bwana ni nani?
Ana elimu ipi?
Ana mali gani?
Kwa nini Makamba amemtosa deapite utendaji aliouonesha hivi majuzi?
Usisahau anamiliki pia ipp, petrol stations na samaki samakiMmiliki wa Shoppers Plaza na Southern Sun. Pia anamiliki mabasi ya Shabiby.
Tehe tehe...aiseee nilisahau kuorodhesha hizo Mali zake mkuu!Usisahau anamiliki pia ipp, petrol stations na samaki samaki
Huyo anayejulikana ni bosheni tu mkuu.....mmiliki mwenyewe BRELA wanaemtambua ni Bwana SUGUTA. 😀Mabasi ya Shabiby yale ya dodoma?
Mbona mmiliki wake anajulikana?
Hapo naona kutakuwa na mkanganyiko mkubwa...kumbuka SUGUTA anatuhumiwa kuwa ni UKAWA hapo hapo Mabasi ya Shabiby ni mshirika mkuu wa CCM hasa kunapokuwa na matukio makubwa.Huyo anayejulikana ni bosheni tu mkuu.....mmiliki mwenyewe BRELA wanaemtambua ni Bwana SUGUTA. 😀
Teh tehe...mi nilifikiri ni mbunge wa Tarime!!!!... Teh tehe...Tehe tehe...aiseee nilisahau kuorodhesha hizo Mali zake mkuu!
Point yangu ndio ilikuwa hiyo mkuu na nashukuru at least ulipata uelewa kidogo. Niliyoyaandika kuhusu Bwana SUGUTA hayana ukweli hata kidogo. Lakini nilifanya hivyo ili ku-prove a point. Huyu kijana amekumbwa na mkasa baada ya kugusa "Interest" za wahujumu UCHUMI. Ndio akatengenezewa Hilo zengwe linalomtafuna sasa hivi. Kwa utendaji kazi mimi binafsi namkubali Huyo Kijana. Ila tusubiri uamuzi wa vyombo ya sheria ndio tunaweza kuongea mengi.Hapo naona kutakuwa na mkanganyiko mkubwa...kumbuka SUGUTA anatuhumiwa kuwa ni UKAWA hapo hapo Mabasi ya Shabiby ni mshirika mkuu wa CCM hasa kunapokuwa na matukio makubwa.
Unataka kulisemea vipi hili?
Ndio tulikuwa tunamuandaa Mkuu lakini KURA hazikutosha....Tehe Tehe.Teh tehe...mi nilifikiri ni mbunge wa Tarime!!!!... Teh tehe...
Ndo kusema safisha safisha wanalengwa team ukawaHapo naona kutakuwa na mkanganyiko mkubwa...kumbuka SUGUTA anatuhumiwa kuwa ni UKAWA hapo hapo Mabasi ya Shabiby ni mshirika mkuu wa CCM hasa kunapokuwa na matukio makubwa.
Unataka kulisemea vipi hili?
Hahahahaaa umenichekesha sana mkuu, kwahiyo unataka kusema jina lake linaendana na uwezo wake wa kufikiri? Na ukichanganya na rangi rangi zinazoonekana kwenye photo id yake ni majanga.Ha ha ha! Naona Jinga-lao anawaamini kabisa kwa data mnazompa.