Who is Christina Shusho historically?

Napenda sana nyimbo zake, uvaaji wake, uchezaji wake ki ukweli vyote vinamtukuza MUNGU. Si vibaya pia kusema she is beautiful!
 
Hayo manywele ya bandia angeyatoa angependeza zaidi. Mwanangu alikuwa akiyaita makuku ya mama mpaka mama yake akaamua kuacha kuyavaa. Alikuwa akivaa tu mtoto anamkomalia mama umevaa makuku kwa sauti hata kama kuna wageni. Ila nampa big up bi Shusho kwa nyimbo zake zilizotulia.
 
Wanajamvi,

Naomba mwenye taarifa hizi kama kweli zilitokea tufahamishane. Eti ni kweli kuwa huyu mwimbaji mzuri wa sura, umbo na kipaji kikubwa aliwahi kuchepuka nje ya ndoa yake?

Nimezisikia hizi taarifa mitaani zimezagaa sana, tena kwa mtu mmoja mmoja, zikidai eti alitoka na kigogo mzito wa serikali ya awamu ya nne na alitangulizwa nje ya nchi na baadae kigogo huyo akafuata na kisha wakawa wamevunja amri ya sita ya Mungu wetu.

Huu ni mwezi wa pili sasa nasikia tetesi hizi zikisemwa chini kwa chini. Kama mjuavyo lisemwalo lipo,na kama halipo basi linakuja,na hakuna siri chini ya jua. Karibuni wadau mchangie tubaini ukweli uhalisi.
 
Ni ukweli mtupu ila hii skendo ilizimwa chini chini baada ya kusuluishwa na wachungaji.
Msameheni ili mradi alikubali na akatubu.wanadamu.tumeumbiwa udhaifu
 
Ni ukweli mtupu ila hii skendo ilizimwa chini chini baada ya kusuluishwa na wachungaji.
Msameheni ili mradi alikubali na akatubu.wanadamu.tumeumbiwa udhaifu

Ulikuwepo kwenye hicho kikao cha usuluhishi!? au ndo mambo ya 'hearsay!'
 
Hizo ndo zake tena alinunuliwa na gari ana michepuko mingi tena vigogo wa hatari sema kipaji cha kuimba anacho.
 
Mara ya kwanza hiyo scandal nilisikia 2010 kuwa alihusishwa yeye na mzee wa kuombwa agombee urais sasa kama ni scandal hiyo hiyo au hii ni mpya tena......lakini all in all shusho anajua kuimba bhana hata afanyaje kazi zake ntazisikiliza na sitokubaliana na matendo yake binafsi
 
Back
Top Bottom