Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,611
- 5,167
Yes kanisani kwake manzese, ingia YouTube ucheki interview yake leo....Kanisani kwake..!!
Kama kaonja kawine hivi, asee sijui kama ana ndoa yule
Full kuchange mazima, storee zake mara wolpa, wema a hamisa eti anataka kwa nguvu urafiki nao, watu wamempa makavu sijui atayasoma

