Who is CCM's Architect?

Who is CCM's Architect?

who else....!Kinana,umeckia macfa aliyo mwagiwa na kikwete.
 
Habari.

Napenda kujua ni nani ambaye ni think tank/ master mind wa ccm?

Maana kwadri siku zinavyokwenda ccm inazidi kuimarika, tofauti na kipindi cha senior Makamba, ccm was datoriating every day.

Who is behind ccm success nowadays?
Hawa jamaa msingi wao umeegemea kwa PHD holders wa Political Intelligence wako watatu. Hao wadau kwa mara nyingine tena wameiokoa ccm ktk gumu la uchaguzi ndani ya chama.
 
Wakati Kikwete anaingia madarakani, Mangula alitolewa katika nafasi ya ukatibu mkuu, na alipojaribu kugombea uenyekiti wa ccm mkoa Iringa, alipigwa chini, akarudi kwao kulima viazi.
siyo viazi ni nyanya
 
Habari.

Napenda kujua ni nani ambaye ni think tank/ master mind wa ccm?

Maana kwadri siku zinavyokwenda ccm inazidi kuimarika, tofauti na kipindi cha senior Makamba, ccm was datoriating every day.

Who is behind ccm success nowadays?

Wapinzani a.k.a UKAWA ndio Think Tank a.k.a Master Mind wa CCM

Why? Bcoz wao Upinzani ndio walioifanya CCM icheze hiyo michezo yote kwa kuibua Ufisadi ndani na nje ya Bunge. Kuibana Serikali ya CCM kiutendaji,

Kwa hiyo ngoma wanayoicheza CCM ni matokeo ya Ustadi wa Wapinzani kuibana CCM, hasa kuibua Ufisadi.

Upinzani ndio think tank a.k.a Master Mind ya Nchi hii. Hivyo tuwape kura UKAWA
 
Ukawa wanafanya kwaajili ya ukawa........hata siku moja huwezi ukampa credit adui, never.
 
habari.

Napenda kujua ni nani ambaye ni think tank/ master mind wa ccm?

Maana kwadri siku zinavyokwenda ccm inazidi kuimarika, tofauti na kipindi cha senior makamba, ccm was datoriating every day.

Who is behind ccm success nowadays?

abdirahman omar kinana
 
Asante mkuu kwa kunisahihisha.
Hakwenda kulima Nyanya bali alikuwa analima viazi. Uliyemshukuru kwa kukusahihisha ndiye aliyekopotosha!! Zao la kibiashara kwa Mangula lilikuwa ni Viazi na siyo Nyanya.
 
Hakwenda kulima Nyanya bali alikuwa analima viazi. Uliyemshukuru kwa kukusahihisha ndiye aliyekopotosha!! Zao la kibiashara kwa Mangula lilikuwa ni Viazi na siyo Nyanya.

Political answer and reality.
Alirudi kijijini kwao kulima.
Alilima kabichi, nyanya, viazi, maharage, parachichi, apples,chainizi, kahawa.
 
DZUDZUKU kama umesoma vizuri Jibu langu ni kuwa Viazi ndivyo vilikuwa zao lake kuu la kibiashara. Mimi sikuhadithiwa bali nimefika pale nyumbani na kukaa kwa zaidi ya masaa manne! NAPAJUA. Hayo mazao mengine kayalima lakini ni kama fundi seremala anavyoweza pia kuwa anauza biringanya!
 
Last edited by a moderator:
Wapinzani wamewasaidia sana CCM kupata wengi,Wapinzani walipiga sana kelele wakisema kuwa Lowasa na Membe hawafai.Finnaly akachaguliwa Magufuli
 
Back
Top Bottom