Who is CCM's Architect?

Who is CCM's Architect?

Ni Prof. Eginald Mihanjo..., kama utakumbuka huyo ndo aliyeileta ile dhana ya CCM kujivua gamba.., na hii ndo iliwazaa akina Kinana na Nape na zile safari zao za kukifufua chama.... !
Habari za huyo kada asiyejulikana sana, ziliandikwa sana kipindi kile

Chukua like mkuu,wachache wanatambua yaliyojificha nchi hii.
My profesa Mihanjo has been their think tank tangu kitambooo.
Wanaposema ccm INA wwnyewe wanamaanisha haswa.
Mihanjo yuko na strategies za hatareeee zenye mashiko.
 
Nazani wamesoma alama za nyakati na wao wote kwa pamoja wakaamua kusimama pamoja
 
Absalom Kibanda aliwahi kuonya upinzani kuhusu um uakini wa kinana lakini watu hawakumuelewa
 
I think ni Comrade Abdulrahman Kinana...huyu mzee ni strategist mzuri sana
 
Daaah ccm hapa wamenicha mdomo wazi, his exlenc, doct, prof muoneni2 anachekacheka ila anaakili na hapa kacheza kama pele.
 
lowasa%20na%20kikwete1995.jpg

HAWAJAKUTANA BARABARANI HAWA!!
 
Tukubali tukatae,Jk kwny Hili kacheza zaidi ya wengi wanavofikiria

Nani anabisha kuwa DEAL ya kupata candidate aliye mtaka MKULU imekufa bila kutegemewa?
MKULU hakutegemea kuwa baadhi ya wanakamati wa CC watatoka nje na kueleza kutofuatwa kwa taratibu za kuwapata 5 bora. Ilikuwa ni kama imetoka kwa Mwenyezi Mungu yaani hao (DR. Nchimbi, Mhs Sofia Simba na Mhs Adam …..) WALIKUWA MALAIKA WAKE!

WANA JF hatuna budi kuwashukuru hawa jamaa hata kama walikuwa wako kwenye kambi ya EL. Maana bila hivyo huyo jamaa wa KUSINI alisha tayarishwa! Imekula kote yaani kwa MUKULU pamaoja na EL.
 
Chukua like mkuu,wachache wanatambua yaliyojificha nchi hii.
My profesa Mihanjo has been their think tank tangu kitambooo.
Wanaposema ccm INA wwnyewe wanamaanisha haswa.
Mihanjo yuko na strategies za hatareeee zenye mashiko.
well said....!
 
Nani anabisha kuwa DEAL ya kupata candidate aliye mtaka MKULU imekufa bila kutegemewa?
MKULU hakutegemea kuwa baadhi ya wanakamati wa CC watatoka nje na kueleza kutofuatwa kwa taratibu za kuwapata 5 bora. Ilikuwa ni kama imetoka kwa Mwenyezi Mungu yaani hao (DR. Nchimbi, Mhs Sofia Simba na Mhs Adam …..) WALIKUWA MALAIKA WAKE!

WANA JF hatuna budi kuwashukuru hawa jamaa hata kama walikuwa wako kwenye kambi ya EL. Maana bila hivyo huyo jamaa wa KUSINI alisha tayarishwa! Imekula kote yaani kwa MUKULU pamaoja na EL.

unatumia nguvu sana kusambaza huu ujumbe wako kwenye kila thread....Magufuli ndie chaguo la Kikwete na jamaa yenu Amekatwa
 
Daaah ccm hapa wamenicha mdomo wazi, his exlenc, doct, prof muoneni2 anachekacheka ila anaakili na hapa kacheza kama pele.
Cc are the beast, ckutegemea S. Suluhu atakuwa pale alipo.
 
Tukubali tukatae,Jk kwny Hili kacheza zaidi ya wengi wanavofikiria

Rafiki, HAKUCHEZA bali ALICHEZESHWA. Kwanza lile baraza la ushauri, hasa Mkapa walimkataa mtu wale (Membe). Aliwalazimisha anachotaka. Mzee Mkapa hakumruhusu. Alimwambia "CCM inakufia mikononi, sisi tumekukabidhi ikwa nzima". Hakuelewa, Ule moto wa Ukumbini siku ya Jumamosi ulimtisha. Akasalimu amri! Kwenye hili HAKUNA lolote JMK alilocheza!
 
Nahisi kama umemquote sivyo

Hakusema Kinana ndio alianzisha Vua gamba.
 
Sio kwamba nadharau maoni yako mleta mada, bali nashangaa kidogo kuona jinsi ulivyotekwa kirahisi na sarakasi za juzi Dodoma.
Naomba kujifunza CCM imeimarika vipi na wapi? Ni nini hasa kiliisababisha ikadhoofu kiasi kwamba kwa sarakasi za juzi ghafla kila kitu kimeimarika? Yaania waharibu na kushindwa kwa miaka 10 (ya JK tu) kisha kwa siku mbili tu wamefuta kila kosa na sasa "wanastahili" kupewa tena jaribio la KUSHINDWA?

Tusiotumia huo "mvinyo" na tunaobaki kwenye objective issues tunaona kuwa HAKUNA mgombea yeyote atakayetoka CCM ataweza kufanya chochote cha maana zaidi ya alivyofanya Kikwete kwenye hii miaka yake 10 ya kushindwa.

Hivyo ni budi Wananchi wa Tanzania tuwe na misimamo na kumbukumbu zenye afya ili tutoke hapa kwenye tope la CCM ilipotokwamisha kwa miaka yote 50 ya uhuru.
 
Haya tumekusikia kuwa CCM ni tope, tuambie basi hiyo ALMASI iko wapi, CHADEMA..???

Bora ungetumia huo mvinyo, lakini GONGO uliyoamka nayo ni HATARI ZAIDI kwa afya ya AKILI yako..

BY THE WAY, ni ushauri wangu tu kwako...
 
Back
Top Bottom