Who is CCM's Architect?

Who is CCM's Architect?

Kwani TISS wameacha kuripoti kwa Slaa..???
nani asiyejua kuwa viongozi wa vyombo vya dola kama police, jeshini, tiss wakistaafu wakataka siasa wanakwenda kagombea chama gani kama si ccm? wakuu wa mkoa na wilaya ni wanajesh wastaafu so jiulize uanachama wamepata lini walikuwa na kadi za chama mfukoni na crown kichwani

mkuu tumezungumzia who is genus behind the success ya ccm nikasema wanatumia tiss vizuri kwani kuna Mikakati gani ya kutisha walioifanya ccm ya kitaaram? kama ni Mikakati ya kimafia kutumia vyombo vya dola kama katika wizi wa kula na kutisha watu hapo kweli wapo juu bt Mikakati ya siasa safi na kupata ushindi bila vigisu vigisu ccm wanapata 10 % kwa vile watanzania tunaenda na matukio ndo maana hata system imeshajua udhaifu wetu ndo maana ikitokea scandals kulizima wanaanzisha kitu kingine kinakuwa hot hata kwenye media kile kingine wanakisahau

ccm kwa sasa ndo wapo kwenye main steam ndo maana shishangai jibu la ukawa kuisifia ccm kwa sasa
 
There are people who moves other peoples minds, nnakumbuka inshu ya Loliondo na hot discussion ya umeme.
 
Back
Top Bottom