Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,717
- 2,594
Ni Mwenyekiti kaka, hakuna haja ya kupepesa kama mabaya anabeba basi na mazuri anayabeba pia
Habari.
Napenda kujua ni nani ambaye ni think tank/ master mind wa ccm?
Maana kwadri siku zinavyokwenda ccm inazidi kuimarika, tofauti na kipindi cha senior Makamba, ccm was datoriating every day.
Who is behind ccm success nowadays?