Hv ccm hawajayakataa matokeo ya utafiti huu wa REDET, kama ambavyo walipinga zile tafiti na polls zinginezo?ni personal friend wa kikwete na ndiye mshauri wake mkubwa wa kisiasa
Hii picha inamaanisha nini? ni mgojwa au usafiri wa kawaidaBenson Bana, ni aina ya wasomi rojorojo wa Taifa hili, aliesoma na asiesoma mpaka wa tofauti zao huwezi kuziona.
Bana amelala usingizi wa pono, anaota ndoto zake mwenyewe, kuwa Kikwete 71% atashinda, nasema Kikwete hawezi kupata 60% ya kura zoote , hawezi , wee endelea na Usingizi wako, Tukifika tutakuamsha.
Benson Bana, ni aina ya wasomi rojorojo wa Taifa hili, aliesoma na asiesoma mpaka wa tofauti zao huwezi kuziona.
Bana amelala usingizi wa pono, anaota ndoto zake mwenyewe, kuwa Kikwete 71% atashinda, nasema Kikwete hawezi kupata 60% ya kura zoote , hawezi , wee endelea na Usingizi wako, Tukifika tutakuamsha.
utafiti ule umefanywa kwa watu 2500 tu kwa hiyo siyo sample nzuri bana hajui statistics, na data compilation inabidi akasome jinsi ya kuandaa mean{harmonic,weighted,geometric na average mean} then ndio arudi na REDET yake
Mawaziri wake walimwangusha, watendaji wake wa karibu wamemdanganya mara kadhaa, katibu wke naye pia kwa matamshi yake, na hata Bana atammalizia sasa....!ni personal friend wa kikwete na ndiye mshauri wake mkubwa wa kisiasa
Benson Bana, ni aina ya wasomi rojorojo wa Taifa hili, aliesoma na asiesoma mpaka wa tofauti zao huwezi kuziona.
Bana amelala usingizi wa pono, anaota ndoto zake mwenyewe, kuwa Kikwete 71% atashinda, nasema Kikwete hawezi kupata 60% ya kura zoote , hawezi , wee endelea na Usingizi wako, Tukifika tutakuamsha.
Heshima kwako Nguvumali.
Mkuu naomba kutofautiana na wewe kwamba Kikwete hawezi kupata 60%,hii si kweli mkuu wangu Kikwete anaweza kupata 40% hambazo haziwezi kumfanya aendelee kukaa Magogoni.Mwaka 2005 alipata 80% kwasababu wapiga kura wengi hawakujua uwezo wake mwaka 2010 wapiga kura wengi wameshajua uwezo wake.
Kwa nje namuona kama kinara mpya wa wahadhiri vibaraka Tanzania...
Anayetafuta vyeo kwa kuidhalilisha taaluma yake...
Anayewatii mabwana zake kwa kudhalilisha tasnia nzima ya utafiti Tanzania...
Msomi bandia, anayedhililisha demokrasia Tanzania...
Kwa wale wanaomfahamu zaidi tabia na Historia yake, naomba wamuelezee "Dk." Benson Bana...