keki ya harusi
JF-Expert Member
- Jul 23, 2017
- 271
- 432
Kuna jamaa amemalza internship ni pharmacist anatafuta ajira kweli amekosa siamini hebu tujuzane kumbe kitaa kigumu kias hiki
Izo elimu za shulen ni tofauti na mtaani....mtaani ni sehemu nyingine kabisa mkuu ...hata unadegree mtaani patakunyoosha tu usipo jiongezaaaKuna jamaa amemalza internship ni pharmacist anatafuta ajira kweli amekosa siamini hebu tujuzane kumbe kitaa kigumu kias hiki
St John's dodomaKamaliza wapi...!??????
Aaha okSt John's dodoma
Kuna jamaa amemalza internship ni pharmacist anatafuta ajira kweli amekosa siamini hebu tujuzane kumbe kitaa kigumu kias hiki
Hayo ndio matatizo ya kubebwa bebwa mwisho wa siku unamaliza chuo unaingia kitaa hujui pa kuanzia,Kuna jamaa amemalza internship ni pharmacist anatafuta ajira kweli amekosa siamini hebu tujuzane kumbe kitaa kigumu kias hiki