santos mtn
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 348
- 369
mda wote unawaza siasa tuuUkawa na wapinzani wa serikali wataikataa taarifa hii sababu ya wanayoyawaza wao.. Ila taarifa ya Mwele ingekua imesema hakuna Zika, alafu wakaja, who wakasema ipo ukawa wangeunga mkono hii ya who.. Wanapenda kusikia taarifa mbaya tu katika Taifa