Who created God? Who made him? Where did he come from?

Who created God? Who made him? Where did he come from?

Swali hili halina umuhimu kwa sababu linaacha kujadili mada, linanijadili mimi.

Mimi si mada.

Zaidi, mimi mwanamme. Mwanamme hazai.

Jadili hoja, usimjadili mtu.
Madai yako wewe hukushirikishwa na wazazi wako katika kuzaliwa kwako na kwamba Mungu hakukuuliza au wazazi wako hawakukuuliza kama unataka kuzaliwa au hapana. Kwa namna gani hilo halihusishwi na wewe?
 
Kwenye maelezo hayo kuhusu uthibitisho ni nini. Kuna neno 'mantiki', ambalo umeeleza haliwezi kukubalika isipokuwa jambo lenyewe liwe ni la kweli. Kwa sababu hiyo mantiki yenyewe peke yake si muhimu kama jambo si la ukweli. Muhimu mantiki ni ukweli. Jambo ni la kweli? Hapo ndipo kuna mantiki.

Sasa, mantiki maana yake ni nini? Na je, mantiki ni uthibitisho?
Mantiki ni njia ya kuthibitisha kanuni za kujenga hoja zenye mashiko zinafuatwa.

Mantiki si lazima iwe uthibitisho. Hata kutothibitisha kuna mantiki ya kutothibitisha. Ambayo tunaweza kusema inathibitisha kutothibitisha, au hata kutothibitisha kutothibitisha. Ila uthibitisho ni lazima ufuate mantiki ya kuthibitisha.

Thibitisha Mungu yupo, acha kuulizauliza tu kuepuka kazi ya kuthibitisha Mungu yupo.
 
Madai yako wewe hukushirikishwa na wazazi wako katika kuzaliwa kwako na kwamba Mungu hakukuuliza au wazazi wako hawakukuuliza kama unataka kuzaliwa au hapana. Kwa namna gani hilo halihusishwi na wewe?
Hilo lipi?

Mimi sikushirikishwa katika uamuzi wa kama nizaliwe au nisizaliwe, kwa sababu sikuwepo.

Sijaulizwa nizaliwe au nisizaliwe.

Nimejikuta tu nishazaliwa.

Huelewi nini hapo?
 
Mantiki si lazima iwe uthibitisho. Hata kutothibitisha kuna mantiki ya kutothibitisha. Ambayo tunaweza kusema inathibitisha kutoathibitisha, au hata kutothibitisha kutothibitisha. Ila uthibitisho ni lazima ufuate mantiki ya kuthibitisha.
Hii inamaanisha kuna sababu kwa nini jambo fulani limethibitika kweli na jambo fulani halijathibitika kweli.

Kwa sababu uelewa wetu popote unatokana na unavyofikiri ni wazi mantiki pia inalingana na uwezo wako wa kufikiri.

Kama jambo fulani halina mantiki ni kwa sababu ya mantiki yanyewe.

Hapa yafaa tufahamu kuwa msingi wa mantiki ni kufikiri (reasoning). Nje ya kufikiri hakuna mantiki kuna ukweli.

Sasa nakuuliza swali: kufikiri ni nini?
 
Unarudia irrelevant questions.

Jibu lolote la kufikiri halijathibitisha kuwa Mungu yupi wala mimi nimeulizwa nizaliwe au nisizaliwe.

Hizo ndiyo hoja zangu mbili hizo falsafa za kufikiri ni nini mimi sizioni interesting, wala sioni kwa nini unazileta hapa zaidi ya kukwepa kujibu maswali ya msingi tu.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Hilo lipi?

Mimi sikushirikishwa katika uamuzi wa kama nizaliwe au nisizaliwe, kwa sababu sikuwepo.

Sijaulizwa nizaliwe au nisizaliwe.
Wewe umesema hajaulizwa uzaliwe au usizaliwe. Na mimi nakuuliza kwa namna gani kutokuulizwa au kuulizwa kwako kunakuondoa kwenye hii mada?
 
Unarudia irrelevant questions.

Jibu lolote la kufikiri halijathibitisha kuwa Mungu yupi wala mimi nimeulizwa nizaliwe au nisizaliwe.

Hizo ndiyo hoja zangu mbili hizo falsafa za kufikiri ni nini mimi sizioni interesting, wala sioni kwa nini unazileta hapa zaidi ya kukwepa kujibu maswali ya msingi tu.

Thibitisha Mungu yupo.
Wewe ni alama ya mambo gani?

Wewe unathibitisha nini?
 
Wewe umesema hajaulizwa uzaliwe au usizaliwe. Na mimi nakuuliza kwa namna gani kutokuulizwa au kuulizwa kwako kunakuondoa kwenye hii mada?
Unaelewa hiyo hoja imekujaje, imetokea wapi? Au umerukia treni kwa mbele tu?

Una uwezo wa kufuatilia uzi na hoja zilivyofuatiliana?

Au wewe ni ngumbaru hujui kusoma kwa ufahamu?
 
Wewe ni alama ya mambo gani?

Wewe unathibitisha nini?
Your questions are so broad and vague that they are meaningless.

Kwa nini mimi ni lazima niwe alama ya jambo lolote?

Kwa nini mimi nithibitishe lolote?

Thibitisha Mungu yupo.
 
Angalia post yako, 1138
Niangalie nini?

Wewe unaelewa hoja dhahania ni nini?

Siwezi kujadiliana nawe kwa sababu inaonekana huelewi hata hoja dhahania ni nini.

Mambo ya hoja dhahania huwezi kijadili bila kuniuliza maswali personal.

We are on two different levels.
 
Your questions are so broad and vague that they are meaningless.

Kwa nini mimi ni lazima niwe alama ya jambo lolote?

Kwa nini mimi nithibitishe lolote?

Thibitisha Mungu yupo.
Kwa nini uthibitisho wa Mungu na wewe si alama wala uthibitisho wa chochote?
 
Penda akili usipende maoni/mawazo

Hujathibitisha Mungu yupo.

You are just boring me.

I am close to sending you to my ignore list.

Naona hatupo level moja hata hatuelewani pa kuanzia.

Yani hata huelewi kuwa huna haki ya kunipangia nipende nini.

You are that ignorant.
 
am close to sending you to my ignore list.

Naona hatupo level moja hata hatuelewani pa kuanzia.

Yani hata huelewi kuwa huna haki ya kunipangia nipende nini.

You are that ignorant.
Do you have any published paper on this field so that I can go and read your findings?
 
Do you have any published paper on this field so that I can go and read your findings?
Why?

You want me to expose my identity?

Do you use reason or just blabber here?

Why do you need a published paper while I am here?

My finding is that you cannot prove God exists.

Prove otherwise.

You don't need a published paper to find that finding of mine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom