Who created God? Who made him? Where did he come from?

Lets wait may be some one is aware of this
Please let me know when you get the answer
 
Mnazunguka sana,jibu hili hapa:

Jibu: Binadamu ndiye aliyeumba mungu.

Nathibitisha:
Nitazungumzia dini mbili tu ambazo ni uislamu na ukristo ili kufupisha maelezo:

1.Waislamu na wakristo wote wanasema na wanajua kwamba mungu ni mmoja tu.

2.Mungu wa wakristo ana nafsi tatu,baba,mwana(yesu) na roho mtakatifu.Hamna mkristo anayepinga hili.

3.Mungu wa waislamu ana nafsi moja tu,hajagawanyika,na waislamu wanasema na wanajua kwamba yesu sio mungu.Hamna muislamu anayepinga hili.

4.Maelezo namba 2 na 3 yanathibitisha kwamba mungu wa wakristo ni tofauti na yule wa waislamu,hivyo maelezo namba 1 yanapingwa moja kwa moja na namba 2 na 3.Hivyo basi,mungu si mmoja,ni zaidi ya mmoja.

5.Hapo mwenye akili timamu ataelewa kwamba binadamu ndiye aliyeumba mungu

Tumia akili kusoma ili uelewe ninachomaanisha ili usije kuniuliza swali bovu.

Kama wanapinga, basi watumie kitabu kimoja.

Eidha Bible au Quran.
 
Tujitahidi kutenda yaliyo mema tukifika mbinguni tutapata majibu. We are simply human, uwezo wetu Wa kufikiri upo kibinadamu hivyo tusitake kufikiri kama malaika. Tufike kwanza..
 
Usiniambie kwamba leo ndio mara yako ya kwanza kusikia kuhusu swali hili, anyways, mimi nipo hapa kwa ajili ya kutoa majibu ya kisayansi la swali hilo ambalo mara nyingi huulizwa na maatheists, tafadhali, tembelea : ULIMWENGU USIONEKANA , usome makala yote uelewe nilicho kiandika.
Nitag mkuu niweze kuingia...huko
 
Who created God is a wrong question to ask about God. God is uncreated being.

Where does God come from is a wrong question because God is always existing.

Wrong questions are unanswerable.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom