Who created God? Who made him? Where did he come from?

Lets wait may be some one is aware of this
Please let me know when you get the answer
 

Kama wanapinga, basi watumie kitabu kimoja.

Eidha Bible au Quran.
 
Tujitahidi kutenda yaliyo mema tukifika mbinguni tutapata majibu. We are simply human, uwezo wetu Wa kufikiri upo kibinadamu hivyo tusitake kufikiri kama malaika. Tufike kwanza..
 
In the everywhere there's everything caused by nothing. But not has a cause; which is itself.
 
Nitag mkuu niweze kuingia...huko
 
Who created God is a wrong question [emoji782] to ask about God. God is uncreated being.

Where does God come from is a wrong question because God is always existing.

Wrong questions are unanswerable.
 
God is typically understood as the supreme being or ultimate reality in many belief systems, including monotheistic religions such as Christianity, Islam, and Judaism. In these religions, God is often depicted as a creator, sustainer, and ruler of the universe, possessing qualities like omniscience, omnipotence, and omnibenevolence.

The term "gods" usually refers to divine or supernatural beings, worshipped or recognized in polytheistic belief systems like ancient Greek, Roman, Egyptian, or Norse mythology. These gods are often associated with specific domains or aspects of nature, such as love, war, or fertility. They are believed to possess powers and control over their respective domains and may have various hierarchies or pantheons.
 
Je kama vitu/viumbe vina muda wa kuwepo,je Mungu ni KITU,KIUMBE,NAFSI,DHAHANIA,FIKRA,WAZO,NGUVU ama lah,tuanzie hapo kwanza.Na kumbuka ukisema kila kitu kina mwanzo,basi lazima mungu wako pia awe na mwanzo.
God is typically understood as the supreme being or ultimate reality in many belief systems, including monotheistic religions such as Christianity, Islam, and Judaism. In these religions, God is often depicted as a creator, sustainer, and ruler of the universe, possessing qualities like omniscience, omnipotence, and omnibenevolence.

The term "gods" usually refers to divine or supernatural beings, worshipped or recognized in polytheistic belief systems like ancient Greek, Roman, Egyptian, or Norse mythology. These gods are often associated with specific domains or aspects of nature, such as love, war, or fertility. They are believed to possess powers and control over their respective domains and may have various hierarchies or pantheons.
 
Did God CREATE man OR Man CREATED God?!
Nani hasa aliumba mwingine?

Kwenye mada ya Abiogenesis (Chanzo cha uhai), pamoja na mambo mengi inajaribu 'ku-prove wrong' (refute) wale watu wanaoamini kwamba uhai uliumbwa au umetokana na mtu anayeitwa Mungu!
'Tuna-refute' ili baadaye tuje na udhibitisho wa Chanzo halisi cha uhai.

Hii ni kwa sababu kwa mujibu wa Historia, binadamu ni MKONGWE ZAIDI, ana umri mrefu zaidi KULIKO Mungu!
Tunaposema Mungu tunamaanisha dini, kwa sababu bila dini kitu kinachoitwa Mungu kisingekuwa kinajulikana wala kutajwa hata sasa!

Ukweli usioweza kupingwa na mtu awaye yote ni huu; Dini zote ni zao la binadamu!
Kila dini ina mwanzilishi wake na waenezaji wake.

Hakuna Mungu aliyewahi kuanzisha dini yake na kuieneza mwenyewe, isipokuwa wanadamu.
Hiyo ni hoja namba moja.

Mwenye hoja kinzani anakaribishwa kwa upendo kwa ajili ya 'ku-refute'.
Aidha, inakadiriwa kwamba binadamu ameanza 'ku- exist' yaani kuwepo duniani zaidi ya miaka 2,000,000 iliyopita; wakati nadharia zote zinazozungumzia uwepo wa Mungu (na Miungu) ni za miaka ya hivi karibuni tu!

Mathalani, Wayahudi ambao wanadai Mungu wao YEHOVA, ndiye mkongwe zaidi, hata hivyo hajafikisha hata miaka 11,000 tangu "aumbe mbingu na nchi".

Theologians wanadai huyu Mungu ambaye kimsingi ndiye anadaiwa kuwa Muumbaji wa kila kitu, alimuumba Adam ambaye wanadai ndiye binadamu wa kwanza kuumbwa, miaka karibu elfu kumi iliyopita!
Kwamba kutoka kuumbwa kwa Adam mpaka 'kipindi cha gharika', ni miaka 2,000.
Kutoka kipindi cha gharika mpaka Ibrahim ni miaka 2,000.
Ibrahim mpaka Musa, miaka 2000. Musa mpaka wakati wa kuzaliwa Kristo, miaka 2000,Ukijumlisha unapata miaka 8,000.

Toka kuzaliwa Kristo mpaka leo, miaka 2000 na ushee!
Kwa hiyo, huyu Mungu mkongwe zaidi kuliko miungu yote inayojulikana hadi sasa, kama wasemavyo Theologians wengi, ana miaka takribani elfu kumi tu; wakati fuvu la mtu wa kale (Zinjanthropus) lililopatikana mwaka 1959 kwenye bonde la Ngorongoro, maarufu Olduvai Gorge, lililovumbuliwa na watafiti wa masuala ya kale Dr. Leakey na Mary mkewe, linakadiriwa kuwa na zaidi ya miaka 1.75 milioni!
Kwa mantiki hiyo, ni wazi watu wa zamani sana, hawakuwa na kitu kinachoitwa 'Mungu'!
Mambo ya miungu ni ya kuanzia miaka hii ya hivi karibuni, ya akina Adam (10,000 years ago)
Watetezi wa Mungu na dini wanasema hizo zilikuwa zamani za ujinga, kwamba Mungu alijifanya kama hazioni, ndio maana hakuwahi kujifunua!

Aliona muda sahihi wa kujifunua kwa wanadamu ni wakati wa Ibrahim (kulingana na mafundisho ya Abrahamic religions)Kumbuka, dunia yetu hii ina miaka zaidi ya 4,000,000,000 tangu iwepo!
Sasa eti unaumba dunia, kisha unaumba watu na kuwaweka kila pembe ya dunia, kisha unawaacha mamilioni ya miaka wakijiendea hovyo hovyo, baadaye unashtuka na kusema ngoja niende kujitambulisha, huku ukijua kwenye kipindi chote hicho kuna mabilioni kwa mabilioni ya watu wamezaliwa na kufa bila kusikia habari zako na bado unadai wataadhibiwa kwa kosa la 'kutomwabudu Mungu'!
Hiyo ni hekima kweli?.

Kama hiyo haitoshi, unachagua mataifa mawili tu, unayaita ya 'wateule wako' na mataifa yenyewe ni ya eneo moja tu la Mashariki ya Kati mwa dunia.

Alafu hao unawapatia mitume na manabii, watangaze habari zako kwa watu wao, wengine unatelekeza, wakafie mbele huko!
Are you serious???

Hawa wengine, hususani wenye ngozi nyeusi, unaachana nao mpaka miaka ya 1900 na kitu, hapa juzi juzi tu, ndipo unawakumbuka na unajipitisha kwa majambazi, wahalifu, wauaji wasio na huruma, wezi wa raslimali za mtu mweusi ambao tunawatambua wazi kama wakoloni, wewe unajipitisha kwa hila kwa watu hawa na unawapatia jina 'zuri' la Wamishenari (Missionaries)!
Wewe unakuwa serious kweli?

Wakati huo huo, unajipitisha kwenye ghuba ya Afrika Mashariki, ukijifanya mfanyabiashara, unawateka watu weusi na kuwalazimisha kusilimu (kukugeukia wewe) bila hiari yao; kweli tukuamini, tukupende, tukuheshimu na kukuabudu?!!!

Anyway, ngoja nisiendelee zaidi, lakini nataka kila mmoja wetu atafakari kwa kina na ajue kuwa Mungu au Nadharia ya masuala ya Mungu na dini kwa ujumla (mambo ya imani) yamekuta binadamu wanaendelea na maisha yao huku duniani kama kawaida.

Kila jamii ilikuwa na maisha yake na mbinu zake za kiroho za kuishi.Hapakuwepo na mtu (Mungu) aliyedaiwa kuumba mbingu na dunia na vyote vilivyomo,Kwamba kuna Mtu (SomeBody) anaitwa Mungu, ndiye aliyekaa akabuni hiki kiwe hivi na kile kiwe hivi.

Ukweli usiopendwa na wengi ni huu 'Mungu ni zao la binadamu'
(Man created God).

Kwa sababu kati ya Mungu na binadamu, binadamu ni wa zamani zaidi.
Kama una hoja tofauti, unakaribishwa.

Somo litaendelea . . .
Dr. Rwakiunge DP Rugambwa (PhD),
Mtafiti na Mkufunzi wa masuala ya kiroho.
 


Safi
 
Wakristo na waislamu hupatwa na kigugumizi kikubwa pindi waulizwapo swali hili na watu wasio amini kuhusu uwepo wa Mungu.

Kuanzia leo, haupaswi tena kuwa na kigugumizi pindi uulizwapo swali hili, kwani majibu ya kisayansi ya swali hili yanapatikana.
Transcending time
 
Wakristo na waislamu hupatwa na kigugumizi kikubwa pindi waulizwapo swali hili na watu wasio amini kuhusu uwepo wa Mungu.

Kuanzia leo, haupaswi tena kuwa na kigugumizi pindi uulizwapo swali hili, kwani majibu ya kisayansi ya swali hili yanapatikana.
Kitu chochote duniani ambacho hupaswi kuhoji kina utapeli ,uhuni na ukasusu,biblia na quran vina mauza uza mengi sanaaaaa,mfano ukisoma biblia Genesis inasema hapo mwanzo palikuwa na neno na huyo neno alikuwa ktk vilindi vya maji na hapakuwa na chochote isipokuwa yeye neno,sasa swali hivi vilindi vya maji sio kitu?,nani aliumba,?tukihoji tunatishiwa moto ulao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…