Who created God? Who made him? Where did he come from?

mkuu sijawah kuona sehemu ulipotoa hili jibu ila kama una nia ya kunisaidia please naomba unielekeze sehemu ulipopost ili nielimike mkuu

Ok nakujibu kwa ufupi,
Katika historia,inaonesha watu wa ukanda wa mashariki ya kati na maeneo kama misri,Jordan,kwenda mpaka Ugiriki,Walikuwa watu wa kwanza kuvumbua maandishi na mambo ya kalenda na hata hesabu.

walikuwa na utaalam wa kusoma nyota na unajimu hata vipindi na majira mbalimbali pia.Waliweza pia kutunza kumbukumbu kwa maandishi ambayo pia wao ndo waliyavumbua.Hii ilikuw miaka mingi iliyopita.

kwa hiyo matukio na mambo mbalimbali yaliyofanyika katika jamii zao yaliweza kuandikwa na kuwekwa kama kumbukumbu.masimulizi kutoka kizazi hadi kizazi pia.
Kutokana na kuwepo kwa kumbukumbu sahihi ya maisha ya mababu zao,taifa la izrael linakuwa na kurithi misingi ama maonyo ama mafundisho ya kizazi kilichopita.

Izrael ilikaa utumwani misri miaka kama mia 400,lakini kwa sababu ya kutunzavkumbukumbu,walijua kwamba sio asili ya pale misri.Na katika harakati za kujikomboa na UTUMWA,ndipo watu mbalimbali maarufu na wanamapinduz kama akina MUSA,JOSHUA,ARON na wengine wanawakumbusha waizrael kwamba asili yao sio pale na inabidi warudi nchi ya mababu zao.Katika hili zinatungwa falsafa nyingi kama ilivo kwa marevolutionarist wengine waliopita.,Kwa nchi YA AHADI,NCHI YA MABABU ZETU,NCHI YA ARDHI TAKATIFU,INAYOTIRIRIKA ASALI NA MAZIWA,TAIFA TEULE n.k.Yaan ni kama akina kinjekitile kwamba motto ni ,,,MAJI,,,Ama BACK TO AFRICA MOVEMENT.(hapa watanielewa wale walio na free ideas tu,wengine mtaona nakufuru).

Baada ya muda mrefu musa anafanikiwa kuwarudisha wana wa Izrael katika ardhi ya mababu zao japo yeye hakufika kuyokana na umauti ulomfika wakiwa njiani.,Baada ya wao kufika mambo yanaendelea kamabkawaida lakini kumbuka taifa hili limejengwa kayikabmisingi ya Imani ya kuambiwa nabkusimuliwa.

Idea ya mungu MMOJA inajitokeza pia baada ya kuonekana watu wanatengeneza vinyago nakuviabudu.Viongozi wakaona tuseme kuna mungu mmojabambaye haonekani ili kusiwe na ULINGANIFU KATIKA MIUNGU,MAANA KULIKUWA NA MIUNGU WA SHABA,DHAHABU,ALMASI n.k,na kila mmoja alikuwa anaonekana muhimu hasa kutokana na jinsi alivotengenezwa.So ile kusema kuna mungu. mmoja ilikuwa ni Defensive mechanism ili kuwafanya watu waogope kwa kuwa mungu haonekani.

Katika kuendeleza Imani yao,walizaliwa watu mbalimbali waliokuta jamii ya Izrael inaendelea na utamadun wa kuabudu na kiimani,na kutokama na maandiko ya kiimani na kihistoria na mfumo wa maisha kwa ujumla,mtoto yoyote alitakiwa kujua mafundisho haya na ndicho kilikuwa kinafundishwa mashulen na katika masinagogi.,

Ahadi ya kuzaliwa mkomboz ni inabaki kuwa fumbo tangu enzi za nabii Elias ,Mkomboz anatabiliw akutokna na mateso ya waizrael misri na utumwani kwa ujumla.Laini mkombozi YESU(kama n kwel),anakuja kuzaliwa tayar wakiwa kwao na anazaliwa katika hali wasiyoitarajia.Yesu akasema katoka kwa mungu wakamuua.
kwa hiyo hapa point ni kwamba mitume na manabii walitoka Mashatiki yabkati kutokana na kuw ana kumbukumbu za ahadi walizojiwekewa wenyewe kujifariji kutokana na maisha magumu. na ile kutawaliwa,so kila mtu akawa anakuja na falsafa yake.

Kutokana na kumbukumbu pia Anazaliwa Mohamed ambaye nae anadai ametumwa na Allah kuja kueneza habar njema.Hii pia ni kutokana na historia kwamba wao kama wao(waarabu) ambao kumbukumb zao zinaonesha nivkizazi cha Ismael ama labda ESAU nao wanajikakamua baada ya miaka 600 ya kufa yesu.Mwaka 632,AD,anazaliwa Mohamed kisha baadae anasema Ametokewa na Allah wakati akiwa bonden(pango) na mkewe.Basi anaandika misingi ya maisha nabkupata wafuasi ambao ndo waislam wa leo.Lakini hii yote ni kutaka kuonesha kwamba na sisi tunaweza,ama kwa nn wao tu ama ccje?,ama kutimiza historia amavkujipa moyo maana zamani hakukuwa na kingine cha muhimu sana tofauti na Mambo ya imani na kusoma sheria za vitabu vya mababu kama musa,Ibrahim n.k.Na waliweza kufanikiwa kutokana na ujinga wa watu wa enzi hizo waliokubali ya kuambiwa"",Eti mungu kanitokea nikiwa pangoni kanambia mimi ndo ameniteua niwe mtume wake"",afu pangoni aliwa yeye na hadija mkewe,ushahidi uko wapi??.miaka hii pia kuna wanao sema hayo lakini wanapuuzwa kwa sabau si zama z aujinga na upumbavu hiz.Watu watataka evidences zilizoshiba.Ulishawahi kujiuliza kwa nn mungu hawashukii watu tena siku hizi?.ulishawahi kujiuliz akwa nn Manabii na mitume hawaji tena?.tafakar

Turudi katika historia,Marekani imetawaliwa karibu miaka 400,sawa na Israel,lakini unajua kwa nn marekan hawakuwa na wakombozi ama mitume ama manabii?.sababu ni hizi..
Marekani haikuwa ,ama haikutunza kumbukumbu za mababu zao vizazi vingi vilivopita kama izrael.Marekani ilikuwa tangu mwanzo mchanganyiko wa makabila na mataifa mbalimbali,kwa hiyo hakukuwa na itambaduni wa jumla katika jammii,mtakumbuka red Indians,Marekani hakukuvumbuliwa maandishi mapema kama ilivokuwa Misri,Izrael na ukanda ule kwenda mpaka Greece.Hakukuw ana cctim yabkuamini amavkuabudu kma mashariki ya kati.Hizo ni baadhi tu ya sababu japo zipo kibao.

hakika nakwambia Ikiwa akina SHAKHA ZULU,V.I LENIN,MAHTIMA GHANDI,ISACC NEWTON,ALBERT STEIN na wengine kma hao,wangesema wametoka kwa mungu ama yale wayafanyayo ni kaz ya MUNGU leo tungekuwa na newtonism,steinism n.k.na iwapo wapigania uhuru wengine sehem zingine wangeandikwa kwenye vitabu enzi hizo bas hata akina musa tusingewasikia sana kama leo hii .naona niishie hapo kwa sasa kama kuna swali uliza ..
 
sasa hapa wakristo wamekukosea nini? si uwaache na ubabaishaji wao?

wapo pia wanaoamini mungu ameumbwa na binadamu na wapo pia wanaoamini uislamu ni dini ya shetani, sasa kwa nini wewe ujione bora unachoamini kuliko wengine?

na usisahamu wapo wanaoamini kwamba dini ni uongo na ulaghai unaoelekea kupitwa na wakati.

akili za kiccm zimeharibu ubongo wako hadi umeoza.

kwa niaba ya Gang Chomba napenda kukupa LIKE...
 
Mkuu Allah hakuumbwa wala hakujiumba....pia elewa kwamba akili zetu ni viungo vya hisia kama yalivyo macho, masikio nk...Ni wazi ukienda baharini utaweza kungalia mpaka utaona Mbingu imeungana na Bahari...pale ndo ukomo ya macho yetu...kadhalika sauti..hatuwezi kumsikia mtu anaetuita hata kwa umbali ya kilo meter 1....bila ya visaidizi....kwa bahati mbaya hakuna visaidizi vya akili...na hakuna mwenye akili ya kuweza Kumpekua Mungu kwa kiwango unachokita...kwa hiyo ushauri wangu usiwaulize watu vitu ambavyo unajua hawawezi kuvijubu......katika uislamu Suali kama hili tutakujibu ifuatavyo;

Say(oh Ye Muhammad), "He is Allah , [who is] One,
Swahili
Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.

Allah , the Eternal Refuge. Swahili
Mwenyezi Mungu Mkusudiwa

He neither begets nor is born, Swahili
Hakuzaa wala hakuzaliwa

Nor is there to Him any equivalent."
Swahili
Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.
 
binadamu bana .......

Nje ya dini hakuna anaejua binadamu katokea wapi halafu wanakimbilia kutaka kumjua mungu
hii itawezekanaje?

Halafu haya mawazo ya aina hii ni yale ambayo wenye nayo wanajiogopa na kuogopa yale ambayo watakuja kuwajibika nayo,wanaamua kukataa tu wakidhani kukataa ni ushahidi wa wanachokikana

ama kweli mpumb.vu husema mungu hayupo!

i agree
 
Mkuu Allah hakuumbwa wala hakujiumba....pia elewa kwamba akili zetu ni viungo vya hisia kama yalivyo macho, masikio nk...Ni wazi ukienda baharini utaweza kungalia mpaka utaona Mbingu imeungana na Bahari...pale ndo ukomo ya macho yetu...kadhalika sauti..hatuwezi kumsikia mtu anaetuita hata kwa umbali ya kilo meter 1....bila ya visaidizi....kwa bahati mbaya hakuna visaidizi vya akili...na hakuna mwenye akili ya kuweza Kumpekua Mungu kwa kiwango unachokita...kwa hiyo ushauri wangu usiwaulize watu vitu ambavyo unajua hawawezi kuvijubu......katika uislamu Suali kama hili tutakujibu ifuatavyo;

Say(oh Ye Muhammad), "He is Allah , [who is] One,
Swahili
Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.

Allah , the Eternal Refuge. Swahili
Mwenyezi Mungu Mkusudiwa

He neither begets nor is born, Swahili
Hakuzaa wala hakuzaliwa

Nor is there to Him any equivalent."
Swahili
Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.

mwanadamu mimi nina akili kuliko Mungu wenu,upekee wake uko kwa boko haram?roma?israel?morogoro?bagamoyo?mwambie waumini wake wanaongoza kwa umasikini,na awatofautishe na wengine
 
kama maelezo kuhusu Mungu yanatokana na akili ya binadamu ni lazima yatie shaka na yatahojiwa lakini kama ni kutoka kwa mungu basi hapatakuwa na shaka. watu wengi hu- percive Mungu kama vile ni binadadamu kwa kumpa sifa na matendo a kibinadamu
 
You don't get to decide what is the argument.

Anybody can conceptualize god.

Faith is not an argument.

If you can't prove he exists, you can't prove that that book is even his.

You are reduced to belief.

Which even a dog has.
God is always in the minds of people. Since people's minds have always been different then God has never been the same to all people. therefore, the question about who created God is wrong in itself. it would rather be "who crated your god"
 
Jiulize,Hivi mungu(kama yupo),ni kwel anahitaji kusifiwa??,ili iweje na kwa faida gani.je sifa znamuongezea nn??,.Je nikisema Mungu(kama yupo) ni mbinafsi,mchoyo,anawivu,anahasira,ananung,unika ntakuwa nimekosea,??.
 
Hamna Tabu mkuu kwa vile wewe una akili kuliko Mwenyezi Mungu....Insha-Allah tumia akili yako ulioitengeneza mwenyewe ili ikusaidie...Najua sasa unavuta pumzi bila ya matatizo kwa hio ni haki yako kusema unavyosema....kwa vile una akili kuliko Allah jaribu kutengeneza mechanism 3 ndani ya Mwili wako ili uishi kwa amani zaidi...Tengeneza mechanism ya kuzuia njaa, Kukojoa na kwenda haja kubwa.....mechanism ya kutaka kugegeda unaweza kuiwacha kwa sababu hii inakupa raha....
 
Kwa hiyo kwako wewe mechanism tu ndo inakufanya uamini uwepo wake?
 
Hamna mkuu umenielewa vibaya...sio sababu ya mechanism...ni sababu ya ukomo wa akili yangu kua ndogo..kwa sababu kama mtu huewzi kwenda Jangwani ukaikuta Macediz Benz imejitengeneza wenyewe...akili yangu ndogo inashindwa kukubali kua dunia na vilivyomo viwe ni vitu vilivyojitengeneza wenye....pia sasa nna mtoto mmoja...akili yangu ndogo inashindwa kukubali kua miezi 9 aliokaa mtoto tumboni...na ile sehemu aliotoka mtoto wangu ni vitu vilivyojiendesha wenyewe... nilidhani baada kuzaliwa itakua pana kiasi kwamba ile Raha sitoipata tena...ila utamu upo pale pale mkuu...wala haipwayi mkuu
 
Ukomo wa akili ya Mtu na uoga ndo chanzo cha kumuumba mungu.Mungu ni uoga na udhaifu wa watu.
 
Hujakosea mkuu uko juu ya mstari..Waislam tuko woga sana mkuu!..vitu kama hona Dengue....cancer,ebola sukari kaswende, ukimwi...Tonado, Tsunami, matetemeko ya Ardhi..milipuko ya Volcano..mafuriko......maukame..hizi vitu mkuu ni balaa mkuu....si unakumbuka siku ambayo tetemeko lilitokea watu wakiwa bungeni mkuu?...waliendelea na Bunge au walivunja? Tukumbushe mkuu akili yako najua ni kubwa...lazima utakua na kumbukumbu na hili..ila mimi nakupongeza kwa kutokua mtu Moga....Waswahili husema "Kwa moha huenda kicheko kwa shujaa huenda kilio"
 
God is always in the minds of people. Since people's minds have always been different then God has never been the same to all people. therefore, the question about who created God is wrong in itself. it would rather be "who crated your god"

And.to.those of us who do not have a god, the uestion would be presumptive and wrong altogether.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom