Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,698
Mungu yupo katika dimension nyingine ndio maana inaitajika belief kutambua uwepo wake..na kumbuka kiranga hii multiverse ni infity lakini binaadam ana finity though hivyo yaitajika imani tuu kutokana na ishara zionekanazo katika dimension tuliopo sasa.. Ila usihofu life span ya watanzania ni 45 year utakufa na utaingia dimension hiyo ili uone mengi zaidi na uwepo wa mungu.. Tunaambiwa mtu akifa jicho lake lawa kali it means anaingia katika mirror dimension na kuona mengi ya kwake na yadunia kwa upana but litokealo huko haliathili real word yaani phisical world tunayoish sasa... Hivyo usihofu Ukifa tutakutana huko na tutajua kweli mungu yupo au laaa.. ILA KIRANGA BANA WE WAJUA MUNGU YUPO ILA WATAKA TUU KUTU CHALENGE AUUU??Ubishi huu ni mrefu kwa sababu tunabishania kitu ambacho hakipo.
Kwa sababu kitu kilichopo ni rahisi sana kuthibitisha kipo.
Kitu ambacho hakipo huwezi kuthibitisha kwamba kipo au hakipo kirahisi.
Ukweli kwamba kuthibitisha kwamba Mungu yupo au hayupo ni kitu kigumu unaonesha Mungu hayupo.
Angekuwepo ingekuwa rahisi sana kuthibitisha yupo bila ubishi.
Na kwa jinsi anavyopenda sifa kama mlivyomuandika kwenye vitabu vyenu, angepanga nyota ziandike angani kwamba Mungu yupo hivyo binadamu wote aminini Mungu yupo.
The fact kwamba hakufanya hivyo na anapenda sifa sana ni contradiction inayoonesha hayupo.
AlmightBefore discussing the notion of Who Created God,
We better first come to a conclusion of an important concept of,
Who Created Man.
This is a good starting point, on my point of view.
Because those who believe that, Man is a creature who exist just by chance,
they have to stay away from this discussion,
here i mean, i am worried that, they will come with a simple answer that, even God doesn't exist, or He may be existed by chance too.
We need great think tanks here, who have an idea of the source of Man,
Who therefore, may continue finding out about the root of The Allmighty God.
I Love Kiswahili.
Well Done BroWe all know that God was never made nor created he is Almighty Alpha and Omega as said earlier.... Who created man? That's where the question comes... Non of us believe that the source of man came from Apes and man was never made by chance, he was made for a purpose and the purpose was to rule over everything that God created
at the end of the day hakuna proof, just tusadiki tu cuz hatuwezi kuwa na majibu ya kuturidhisha, next baada ya hapo huwa yanaanza maswali ya kina nani wako sahihi wakristo waislamu au wahindu katika kumfikia Mungu.Well Done Bro
Can u prove your existenceCan you prove God exists?
How do we reach out to the so called god and appeal to him for the knowledge that will ultimately help us understand his power?Some of the answers you will never get because you are not GOD. However naweza nikasema kuwa Mungu hufanya vitu logically ingawa hafungwi na logical. Yeye ndiye muasisi wa logic ambayo tunaijua sisi. ( Mungu ni yeye yule Jana, Leo na hata milele).
(Ikumbukwe kuwa kila kitu katika ulimwengu ni logical, we just see some of them illogical because we can't comprehend them using our normal brains).
I knw you will start to ask me questions like 'Can God create pembetatu duara'? I will answer as follow;
Out of our normal logic, its impossible, but, as God is not limited with logic, then we may conclude that God can do anything even things we can not imagine .
You may also ask this question, "Can God create a triangle for which sum of angles are greater than 180°? Then I answer as follows;
1. Degrees is a human invention. Therefore, if a man wanted the triangle to have 1000°, they would do it.
2. In more than two dimensions, (I.e. for example in three dimensions) triangles may have more than 180° logically.
To sum up, our God exist outside our known dimensions and knowledge and therefore, we can not clearly describe his power, authority, and capability. We have to accept him, honour him, worship him, believe him, glorify him, and trust him.
Moreover, we have to ask him to give us the knowledge of him.
To sum up, nataka watu kama Kiranga wa confess kwanza kuwa suala ya Who Created God is illogical question, kwa hiyo sitarajii mtu kuuliza maswali kama ya ' Nani kamuumba Mungu? Au Mungu katoka wapi? Hiyo ni kwa sababu Mungu hajatoka popote. Yupo milele, hana MWANZO, hana MWISHO!
Hakuna kitabu kinachosema binadamu ametokana na apes.... bali ni binadamu na apes originated from a common ancestor....We all know that God was never made nor created he is Almighty Alpha and Omega as said earlier.... Who created man? That's where the question comes... Non of us believe that the source of man came from Apes and man was never made by chance, he was made for a purpose and the purpose was to rule over everything that God created
Can you prove God exists?
Is logic the absolute truth?Is god logical?
Alijaribu mtu mmoja anaitwa Manoa, alimuuliza Malaika wa Mungu aliyekuja kuwaletea ujumbe kuwa watamzaa mtoto Samson mnadhiri wa Mungu, kuwa jina lake nani, walikuwa shambani wakiwa na mke wake. Malaika kabla hajamjibu, alimuuliza swali Manoa , NIV Bible inaandika hivi: "WHY DO YOU WANT TO KNOW MY NAME? IT'S BEYOND UNDERSTANDING". Kawaida, baadhi ya watu huwa wanaingia humu jukwaani wakiwa wameshiba sawasawa, so they can post anythingSome of the answers you will never get because you are not GOD. However naweza nikasema kuwa Mungu hufanya vitu logically ingawa hafungwi na logical. Yeye ndiye muasisi wa logic ambayo tunaijua sisi. ( Mungu ni yeye yule Jana, Leo na hata milele).
(Ikumbukwe kuwa kila kitu katika ulimwengu ni logical, we just see some of them illogical because we can't comprehend them using our normal brains).
I knw you will start to ask me questions like 'Can God create pembetatu duara'? I will answer as follow;
Out of our normal logic, its impossible, but, as God is not limited with logic, then we may conclude that God can do anything even things we can not imagine .
You may also ask this question, "Can God create a triangle for which sum of angles are greater than 180°? Then I answer as follows;
1. Degrees is a human invention. Therefore, if a man wanted the triangle to have 1000°, they would do it.
2. In more than two dimensions, (I.e. for example in three dimensions) triangles may have more than 180° logically.
To sum up, our God exist outside our known dimensions and knowledge and therefore, we can not clearly describe his power, authority, and capability. We have to accept him, honour him, worship him, believe him, glorify him, and trust him.
Moreover, we have to ask him to give us the knowledge of him.
To sum up, nataka watu kama Kiranga wa confess kwanza kuwa suala ya Who Created God is illogical question, kwa hiyo sitarajii mtu kuuliza maswali kama ya ' Nani kamuumba Mungu? Au Mungu katoka wapi? Hiyo ni kwa sababu Mungu hajatoka popote. Yupo milele, hana MWANZO, hana MWISHO!
Mkuu,Kwa hio kwa sababu swali ni illogical basi halina Jibu ama?Umetumia neno UKWELI kwamba usemacho ni ukweli je ni kwa misingi gani?Je hilo nalo ni logical.Habari zenu wana JF. Leo nataka niwaletee ukweli ambao wapinga mungu kama Kiranga huwa hawauelewi. Swali hilo ni hili.
Swali: Je, kama Mungu yupo, nani alimuumba Mungu? (Au ametokea wapi?)
Jibu: Mungu ana sifa ya kutokuwa na mwanzo wala mwisho, hivyo hilo swali halina mantiki. Pia tufanye kuwa Mungu ameumbwa, kwa hiyo logic ni kuwa aliyemuumba naye anatakiwa awe ameumbwa, na kuendelea. Hivyo ni wazi kuwa kutakuwa na miungu infinity kitu ambacho ni Illogical. Hivyo namaliza kwa kusema kuwa, Swali la Who Created God is an illogical question.
The entire concept of "absolute" is an illusion.Is logic the absolute truth?
You are a human being with two legs and not an animal, isn't it? Is this fact also an illusion?The entire concept of "absolute" is an illusion.
And that is another reason God does not exist.