MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,820
- 5,822
Kama unapinga uwepo wa Mungu, maana yake unakuwa disqualified kutumia kazi zake au uwepo wake kujustfy kutokuwepo kwake. Tafuta njia nyingine ya kuprove kutokuwepo kwake bila kumuhusisha yeye kwenye inputs zako.Hayo ni maelezo niliyokupa baada ya wewe kutetea hoja yako ya kwa nini Mungu alimuumba shetani.Nami nikasema kama Mungu alimuumba shetani huenda akawa hana upendo(asingemuumba mwaribifu wa wanadamu) au hana ujuzi wa kujua jambo kabla halijatokea(hakujua kama Shetani atakuja kuasi na kuleta madhara makubwa).
Sasa hapo ukubali tu kuwa Mungu hana sifa za kiungu(upendo wote & ujuzi wote) na kwa maana hiyo hakuna Mungu mwenye sifa hizo zaidi ya hii Miungu uchwara kama miti, miamba, miungu mtu, n.k.
Wewe mwenyewe ni Uthibitisho wa Uwepo wa Mungu.Fact:
Hakuna aliyethibitisha kwamba Mungu yupo mpaka sasa.
Kwa ambaye hajaliona ziwa Victoria,atauliza uwepo wake,hata kama lipo lakini hajaliona.Ikiwa umeona unyao wa simba,japo hujamuona huyo simba,utajuwa eneo hili lina simba.Mwanzo kabisa nilisema kwanini tunajiuliza kama Mungu yupo?
Kwanini hatujiulizi kama Ziwa Victoria lipo?......jibu ni kwasababu Ziwa Victoria lipo na Mungu ni nadharia tu, siyo kweli.
Kwa hyo kuwepo kwa mouvu ni sababu moja wapo ya kusema mungu hayupo..??Mungu hayupo. Huyu Mungu mjuzi wa yote mwenye upendo wote na nguvu zote hayupo.
Angekuwepo dunia isingekuwa na maovu. Angeumba dunia ambayo maovu hayawezekani kuwepo.
Kama umeuona unyayo wa simba utasema ni sima kwa kuwa unamjua na nyayo zake unazijuaKwa ambaye hajaliona ziwa Victoria,atauliza uwepo wake,hata kama lipo lakini hajaliona.Ikiwa umeona unyao wa simba,japo hujamuona huyo simba,utajuwa eneo hili lina simba.
Unapoona dunia na vilivyomo,ni kwa mwenye uelewa mdogo tu,ndio anayeshindwa kuelewa kama lazima atakuwako aliyeyafanya hayo,na hakuna aliyefanya hayo ila Mungu tu.
Uwepo wa Mungu,hautaji darubini,uko ndani ya mwili wa mwandamu,jinsi ulivyoumbwa na mwili unavyofanyakazi.Ambapo wanasayansi wanakiri,usagaji wa chakula,kwenye mwili wa mwanadamu,kama wangeweza kutengeza mashine,kama mwili unavyosaga chakula,machine hiyo ingechukuwa dunia nzima kwa ukubwa wake.
Hakika ni mwenye uelewa mdogo tu,ndio anayesema hakuna Mungu.
Hivi mkuu ngoja nikuulizeKama unapinga uwepo wa Mungu, maana yake unakuwa disqualified kutumia kazi zake au uwepo wake kujustfy kutokuwepo kwake. Tafuta njia nyingine ya kuprove kutokuwepo kwake bila kumuhusisha yeye kwenye inputs zako.
Unaweza kuthibitisha hivyo hivyo kwamba Mungu yupo?Hujathibitisha kwa ithibati,isiokinzana kwa pande zote mbili za hadhira,zinazokinzana kama Mungu hayupo.
Lete uthibitisho,kama mabaya yanaletwa na Mungu.Unaweza kuthibitisha hivyo hivyo kwamba Mungu yupo?
"Kuthibitisha kwa ithibati" ndiyo maana yake nini kama si kurudia neno moja mara mbili kwa namna tofauti?
Idea ya Mungu wenu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ambaye kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kufanyika wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauwezekani kuwa na mabaya haileti kujipinga yenyewe kwa yenyewe.
Nakuelewa lakini naomba kutofautiana na wewe kuhusu vitabu.Sasa mkuu nduo uzuri wa sayansi kuwa kitu kina semwa kwa calculations na kinakuja kugundulika kuwa ni kweli. Uwepo wa Mungu umesemwa miaka zaid ya 1000 hata trace zake tuu hazipatikani.
Na suala la vitabu vya Mungu ndii tatizo kabisa, vitabu hivo ni vya watu kama wewe walikaa wakafikiria waka viandika so hata wewe unakuwa decived mkuu, kufikiria Mungu alikuwa ana ongea na mfanyabishara mmoja huko saudi Arabia, au mzee mmoja huko Israel.
Nimesema itafika muda ambao itajulikana au kuthibitika kuwepo au kutokuwepo kwa mungu,na ndiyo maana huwa kuna msemo wa bora uamini halafu usimkute kuliko kutokuamini na ukamkuta.Unajuaje hilo?
Kila wanaosema Mungu hayupo wakitoa ushahidi mpya, wanaosema Mungu yupo wanaweza kukanusha kwa kuweka "Deus ex Machina".
Mfano, kuna watu walisema radi ni ushahidi kwamba Mungu yupo, ni hasira ya Mungu. Wanasayansi walipokuja na kuonesha kwamba radi ni umeme tu, wanaoamini Mungu wakasema umeme huo unatokana na Mungu.
Kwa njia hii, hususan kwa sababu wanaosema Mungu yupo wanasema haonekani wala kupimika, tutafikiaje muafaka?
Kuamini Mungu yupo si kama kuamini jua litatoka kesho.
Jua lina track record ya kuonekana kila siki likichomoza, Mungu hana track record ya kuonekana kwa njia ambayo inaweza kuthibitishwa hata siku moja.
Jua halina contradiction. Nikisema "jua litachomoza kesho" kauli hiyo haileti contradiction, haijiping yenyewe. Nikisema "Kuna Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ambaye alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani, lakini akaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana" kauli hiyo ina contradiction.
Utafananishaje kuamini kitu ambacho hakina contradiction na kuamini kitu chenye contradiction?
Kwa hyo na wewe huamini uwepo wa mungu.??Mkuu mi hata nikikukuta kwenye chumba cha upasuaji na ikawa we ndo oparetor mwenyewe sitakubali unihudumie especially kwa ujinga uliouonyesha hapa... ! Hivi hata historia ya medicine unaifahamu kweli ?! Unajua tumetoka wapi kweli ?! Unafahamu for just 500 years kuna maendeleo mengi sana yamefanyika katika field nzima ya medicine kuliko dini ?! Na kama wanasayansi wangetegemea kila kitu kutoka kwa mungu unadhani tungekuwa hapa leo? Its a shame.. !
Issue siyo watu hawataki kumwamini Mungu, bali wanataka ushahidi wa uwepo wa Mungu.Wasioamini Mungu ili hoja zao,ziwe na nguvu,lazima wamtegemee Mungu.Hawana pa kushika,kwa vile hoja zao wanakinzana. Wasioamini Mungu wako makundi 17,wkiwa katika set 7,zinazokinzana,kwa kupingana,mikwamo isio na kikomo,yenye kujikwamisha yenyewe.
Theists ni wahuni sana, wanatumia facts za science kudai eti ni kazi za Mungu.Mkuu mi hata nikikukuta kwenye chumba cha upasuaji na ikawa we ndo oparetor mwenyewe sitakubali unihudumie especially kwa ujinga uliouonyesha hapa... ! Hivi hata historia ya medicine unaifahamu kweli ?! Unajua tumetoka wapi kweli ?! Unafahamu for just 500 years kuna maendeleo mengi sana yamefanyika katika field nzima ya medicine kuliko dini ?! Na kama wanasayansi wangetegemea kila kitu kutoka kwa mungu unadhani tungekuwa hapa leo? Its a shame.. !
Usiwaze sana, hawa ni wale waliofaulu kwa njia ya political standardization.Wanafikiri Evolution ni rahisi na haraka kama kusonga ugali.[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] mkuu rudi ukasome biology ya form four.. !
Hayo maelezo yako umeyatoa wapi? ni kwa mujibu wa nani? unajua kuwa ninichokitaka ni uthibitisho wa uwepo wa Mungu?Kama unapinga uwepo wa Mungu, maana yake unakuwa disqualified kutumia kazi zake au uwepo wake kujustfy kutokuwepo kwake. Tafuta njia nyingine ya kuprove kutokuwepo kwake bila kumuhusisha yeye kwenye inputs zako.
Utajuaje kwamba kitu kitatokea muda ujao ikiwa hata kuondoa contradiction iliyooneshwa katika kitu hicho leo huwezi?Nimesema itafika muda ambao itajulikana au kuthibitika kuwepo au kutokuwepo kwa mungu,na ndiyo maana huwa kuna msemo wa bora uamini halafu usimkute kuliko kutokuamini na ukamkuta.
Ina maana kinachoendelea hapa kati ni sababu na dalili zenye kufanya kuamini uwepo wa mungu. Ndiyo maana nikasema sawa na kuamini kuchomoza kwa jua kesho na ukasubiri ifike hiyo kesho ili ndiyo ijulikane ukweli wa kuchomoza ama kutochomoza kwa jus.
Sasa sijajua tatizo lako lipo wapi hapo? unaposema watu hawawezi kuthibitisha huwa una maanisha nini?
Kuna ushahidi gani kwamba Mungu ndiye aliyeumba dunia?Kwa ambaye hajaliona ziwa Victoria,atauliza uwepo wake,hata kama lipo lakini hajaliona.Ikiwa umeona unyao wa simba,japo hujamuona huyo simba,utajuwa eneo hili lina simba.
Unapoona dunia na vilivyomo,ni kwa mwenye uelewa mdogo tu,ndio anayeshindwa kuelewa kama lazima atakuwako aliyeyafanya hayo,na hakuna aliyefanya hayo ila Mungu tu.
Uwepo wa Mungu,hautaji darubini,uko ndani ya mwili wa mwandamu,jinsi ulivyoumbwa na mwili unavyofanyakazi.Ambapo wanasayansi wanakiri,usagaji wa chakula,kwenye mwili wa mwanadamu,kama wangeweza kutengeza mashine,kama mwili unavyosaga chakula,machine hiyo ingechukuwa dunia nzima kwa ukubwa wake.
Hakika ni mwenye uelewa mdogo tu,ndio anayesema hakuna Mungu.
Dini zinasema kuwa binadamu aliumbwa kwa udongo, je ni material yepi yaliyotumika kuumba wanyama wengine?Hivi kwanini wanyama kuuliwa na kufanywa kitoweo huwa ni jambo la kawaida tofauti na akiuliwa binaadamu?
Nani aliyeweka mfumo wa aina hii kuwa binaadamu ana haki ya kuishi kuliko mnyama?