MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,820
- 5,822
mfano. mwajiri wako kakupa gari mpya kabisa v8 landcruser,wewe ukaisababishia ajali na kupasuka vioo na hata rangi kutoka. Kisha uanze kuuliza maswali, kwa nini ulinipa v8 yenye vioo vilivypsk . kwa sababu huyo mfanyakazi unamuelewaje.Kama Mungu ni mkamilifu mbona kaumba vitu visivyo kamilifu?
Ina maana hakuna Mungu mkamilifu anayeweza kuumba vitu kwa ukamilifu.
Kitendo cha wewe kuuliza hili swali ni kutokuwepo kwa ukamilifu.Kwa nini ni vibaya vitu kutokuwa vikamilifu?
Kipimo chako cha ukamilifu ni nini?
1. Kama ni akili yako Je yenyewe ni kamilifu?
2. Kama ni maandiko ya/watu wengine, je wao ni wakamilifu?
Ukamilifu ukoje? na unaupimaje?
Kwa mfano wako huo uumbaji ni gari, boss ni Mungu na dereva ni Mtu, si ndiyo?mfano. mwajiri wako kakupa gari mpya kabisa v8 landcruser,wewe ukaisababishia ajali na kupasuka vioo na hata rangi kutoka. Kisha uanze kuuliza maswali, kwa nini ulinipa v8 yenye vioo vilivypsk . kwa sababu huyo mfanyakazi unamuelewaje.
genesis1 God saw everthing he created was good. and handed it over to man and his wufe in its goodness. Pamoja na kukubali kwa hiyari yao kuvunja kanuni waliyopewa matokeo ni somo la milrle. lskin kwa kuwa boss anaupendo anakubali kulipia gharama ya matengenezo ili uwe na gari nzuri. this is what we cakl plan of redemtion
Utajiri wa mtu huondoka kwa kutokutoa misaada? Kwa maana mtu akisema yeye ni tajiri halafu asipotoa msaada kwa masikini maana yake huyo mtu sio tajiri?Dunia siyo well designed na ndio maana kuna majanga asilia. Kwa hiyo hakuna Intelligent designer mnayedhania yupo.
Kwenye miili ya viumbe hai kuna -ve mutation zenye kusababisha matatizo kibao, hivyo sii kweli watu waliumbwa na Intelligent designer mnayedai yupo.
Nikuache tu. Inawezekana nikawa naongea na mtoto wa darasa la saba ndio anasoma vipimo vya metric.Kitendo cha wewe kuuliza hili swali ni kutokuwepo kwa ukamilifu.
Kama ukamilifu ungekuwepo usingeuliza kwa maana pasingekuwepo na mikanganyiko juu ya ukamilifu.
Kuwepo kwa huu mjadala tayari ni kutokuwepo kwa ukamilifu wa uelewa juu ya uwepo wa Mungu.
Kama ukamilifu ungekuwepo, pasingekuwepo na maovu wala majanga asilia.
Umeelewa ulichopost kweli?Utajiri wa mtu huondoka kwa kutokutoa misaada? Kwa maana mtu akisema yeye ni tajiri halafu asipotoa msaada kwa masikini maana yake huyo mtu sio tajiri?
Mkuu vp mbona umepotea tena?[emoji23] [emoji23] [emoji23]!
Baada ya kutafakari sana umekosa jibu?Nikuache tu. Inawezekana nikawa naongea na mtoto wa darasa la saba ndio anasoma vipimo vya metric.
Maana jibu halina uhusiano na swali.
Ukimaliza urudi kwa ID yako tuliyoizoea.Baada ya kutafakari sana umekosa jibu?
Aya sina shida na wewe, kujoa ukalale?
Naelewa vizuri nilicho post.Umeelewa ulichopost kweli?
Post yako haiendani na post uliyoquote.
Umekubali kuwa dunia na vitu vilivyomo havina ukamilifu?
Hahahahaaaaa.......Hahahahaaaaaaa......Hahahahaaaaa.....Aisee hii ni knockout victory umeamua kunipa.Ukimaliza urudi kwa ID yako tuliyoizoea.
Unaulizwa kipimo cha ukamilifu unaleta abracadabra.
Kama tajiri hasaidii masikini ina maana yeye ni mchoyo na asiyejali taabu za watu wengine.Atabaki kuwa tajiri lakini asiye na upendo.Naelewa vizuri nilicho post.
We unadai kuwa huu ulimwengu una makosa na mungu anasema yeye ni mkamilifu,hivyo unasema mungu mkamilifu hayupo kwa sababu asingeumba dunia yenye makosa.
Ndiyo nimekuuliza kwani tajiri asipotoa msaada kwa masikini ndiyo kunafanya kuwa yeye sio tajiri?
Au bado hujanipata vizuri?
Kumbe unataka kushinda tu? haya umeshinda kwa asilimia mia.Hahahahaaaaa.......Hahahahaaaaaaa......Hahahahaaaaa.....Aisee hii ni knockout victory umeamua kunipa.
Ujumbe umefika hakuna haja ya mbwembwe!Kwa hiyo unadhani hii ni ID mpya ya mtu unayemuhisi?
Unaongelea kutokuwepo kwa ukamilifu na wakati swali ni NINI KIPIMO CHA UKAMILIFU? Na kuna Swali lingine nikakuuliza UKAMILIFU NI NINI?Kuuliza kitu ni kutaka kupata clear picture ya hicho kitu, kwa hiyo kutaka clear picture ya kitu ni uwepo wa mkanganyiko juu ya hicho kitu.Je huoni kuuliza ni kuprove uwepo wa confusion ambayo ni kiashiria cha kutokuwepo kwa ukamilifu?
Sihitaji ushindi kwenye huu mjala, nahitaji uthibitisho juu ya uwepo wa Mungu.Kumbe unataka kushinda tu? haya umeshinda kwa asilimia mia.
Ujumbe umefika hakuna haja ya mbwembwe!
Unaongelea kutokuwepo kwa ukamilifu na wakati swali ni NINI KIPIMO CHA UKAMILIFU? Na kuna Swali lingine nikakuuliza UKAMILIFU NI NINI?
Ukiwa umeshashinda, basi tupe majibu ya maswali haya. Kinyume chake huna cha kujibu kwa sababu unajua wazi majibu yake yatakupeleka wapi!
Chief umejuaje ukamilifu haupo ilhali hata tafsiri ya ukamilifu wenyewe umeshindwa kuitoa?Kitendo cha wewe kuuliza NINI KIPIMO CHA UKAMILIFU tayari ni kutokuwepo kwa ukamilifu.Kama pangekuwepo na ukamilifu basi usingekuwa na mkanganyiko juu ya ukamilifu.
Umetumia kipimo gani kujua Dunia ni kamilifu au la? Unapoongelea uwepo wa majanga unatumia kipimo gani kujua kuwa Dunia kamilifu haikupaswa kuwa na majanga? Kama umeshindwa kutafsiri neno ukamilifu unadhani nini kinakupa kiburi kudhani unaweza kusema kama dunia ni kamilifu au la?Je kama dunia ni kamilifu, mbona kuna majanga asilia? hicho siyo kipimo cha kutokuwepo kwa ukamilifu?
Una ushahidi gani Mungu ndiye aliyetuumba?Chief umejuaje ukamilifu haupo ilhali hata tafsiri ya ukamilifu wenyewe umeshindwa kuitoa?
Kama haujui ukamilifu ni nini na unapimwaje then huwezi kujua kama upo au haupo wala kujua kama kuna mkanganyiko kuhusu ukamilifu au la. Kifupi ni kuwa huwezi kuongelea kitu ambacho hukijui.
Mtu mwenye fikra ataona kuwa umejichanganya tu hamna ulichosema hata kimoja hapo.
Umetumia kipimo gani kujua Dunia ni kamilifu au la? Unapoongelea uwepo wa majanga unatumia kipimo gani kujua kuwa Dunia kamilifu haikupaswa kuwa na majanga? Kama umeshindwa kutafsiri neno ukamilifu unadhani nini kinakupa kiburi kudhani unaweza kusema kama dunia ni kamilifu au la?
Kiufupi ni kuwa Mungu ndiyo mkamilifu na ametuambia ukamilifu ukoje. Mfano tunajua Dunia sio kamilifu kwa sababu ametuambia Dunia Kamilifu aliyoiumba ilikuwaje na nini kilitokea mpaka tuko tulivyo. In short ukikataa kuwa huamini Biblia hutaweza kujibu swali lolote kati ya hayo zaidi ya kurukaruka tu na word plays.
Alamsiki!
Kabla ya kuja kuzungumzia hayo ya upendo,tumekubaliana kuwa hii dunia kuwa hii ilivyo haifanyi kuwa mungu si mkamilifu?Kama tajiri hasaidii masikini ina maana yeye ni mchoyo na asiyejali taabu za watu wengine.Atabaki kuwa tajiri lakini asiye na upendo.
Huu mfano wako unamwondolea Mungu ile sifa ya ''Mwenye upendo wote'' umeelewa?
Usihame mada! kubali kwanza kuwa tajiri wa namna ile hana upendo.Kabla ya kuja kuzungumzia hayo ya upendo,tumekubaliana kuwa hii dunia kuwa hii ilivyo haifanyi kuwa mungu si mkamilifu?