always am a Winner
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 230
- 193
- Thread starter
-
- #521
Accept or reject, evolution is a FAITH!Yes it is a continous process.. Actually hata wewe hapo ulipo ni tokeo la evolution (microevolution) jiulize hivi ni kwann wewe unafanana na watu wa familia yako na sio watu wa familia yangu ? Na kwanini Mimi na wewe hatufanani na wazungu wala watu wa race nyingine ?! Kama unaweza kuishi miaka zaidi ya milioni Mona then at least tena ni at least ndo ungeweza kupata kuona mabadiliko.. !
Na naomba kitu kimoja... Watanzania wengi tuna misconceptions nyingi sana kuhusu evolution ! No actually hizi misconceptions zipo kwa watu wengi tu dunia nzima... ! Naomba msome na sio mnaropoka mambo ambayo hamyafahamu ! Hii sio dini ambayo ili kuelewa lazima uvae miwani ya faith..! Science haiitaji faith kwa wewe kuijua you just need to reach out and study it !
Baadhi ya Ushahidi:
1. Mbingu ambazo hazina nguzo to support them
2. Usiku na mchana
3. Ardhi na vilivyo ndani yake
Study how you was developed in your mother's womb then tell me how can that be explained by Godless/un-intelligent events.Mungu hayupo, angekuwepo asingejificha hivi.
Ajifiche kwani yeye mwali?
Ubishi huu ni mrefu kwa sababu tunabishania kitu ambacho hakipo.
Kwa sababu kitu kilichopo ni rahisi sana kuthibitisha kipo.
Kitu ambacho hakipo huwezi kuthibitisha kwamba kipo au hakipo kirahisi.
Ukweli kwamba kuthibitisha kwamba Mungu yupo au hayupo ni kitu kigumu unaonesha Mungu hayupo.
Angekuwepo ingekuwa rahisi sana kuthibitisha yupo bila ubishi.
Na kwa jinsi anavyopenda sifa kama mlivyomuandika kwenye vitabu vyenu, angepanga nyota ziandike angani kwamba Mungu yupo hivyo binadamu wote aminini Mungu yupo.
The fact kwamba hakufanya hivyo na anapenda sifa sana ni contradiction inayoonesha hayupo.
Mwishowe utasema " To have everything means to have everything including bad heart! So, God is not perfect because he don't have everything!"If you desire things to operate by plan B, while they are operating by plan A, you do not have everything.
You do not have the satisfaction of seeing things going the way you want.
That is why you will desire to see things going by plan B.
Desire shows a shortcoming. A goal not reached. Something not attained. A wish.
If you say God has a desire you are saying God is not perfect. A perfect being cannot have a desire. Desire shows a shortcoming. A wish. A goal not attained, a preference - to use your own word- not realized.
A perfect being cannot have desire. In fact, in Buddhist teachings, in order to become a Buddha, one thing a person has to overcome and eliminate is desire.
So desire shows imperfection. Desire shows room for improvement.
You cannot have room for improvement in a perfect being.
That is why I am telling you that your godhead who has desires is a man made idea.
By the way, you have not resolved the contradictions in the bible.
So, umeamua kuamini evolution?Watu wanahangaika sana kutaka kumjua Mungu wasijue Mungu ni outdated Idea.Mungu ni fantasy na hallucination za watu wa kale kama kina Abraham walizojianzishia ili kujipa sababu ya mambo yaliyokuwa yakiwatokea ambayo hawakuyaelewa.....Lakini hivi sasa sayansi inajitahidi sana kuelezea mambo ambayo hayakueleweka kwa mababu zetu.
Even a 0.000000000001% of unknown facts can change a whole systems of THEORIES, when they come to be known.Fahamu pia kwenye science hakuna 100% certainty..!
Habari zenu wana JF. Leo nataka niwaletee ukweli ambao wapinga mungu kama Kiranga huwa hawauelewi. Swali hilo ni hili.
Swali: Je, kama Mungu yupo, nani alimuumba Mungu? (Au ametokea wapi?)
Jibu: Mungu ana sifa ya kutokuwa na mwanzo wala mwisho, hivyo hilo swali halina mantiki. Pia tufanye kuwa Mungu ameumbwa, kwa hiyo logic ni kuwa aliyemuumba naye anatakiwa awe ameumbwa, na kuendelea. Hivyo ni wazi kuwa kutakuwa na miungu infinity kitu ambacho ni Illogical. Hivyo namaliza kwa kusema kuwa, Swali la Who Created God is an illogical question.
We endelea kumtetea tu huyo Mungu...wakati yale ni makosa ya wazi kabisa.Makosa kayatenda Mungu kwa mtazamo wako. Si kwa mtazamo wa kiungu.
Evolution ni imani?So, umeamua kuamini evolution?
Another theory!Ujue zamani kulikua na vita sana kati ya makabila.
Sasa ili kuwaunganisha watu wa kabila moja ili wapigane kama kitu kimoja, ilibidi wazee watunge story iliyo kubwa kuliko kabila lao.
Ni kama Kinjekitile Ngwale alivyowaambia watu wapigane na Mjerumani, na wakipigana risasi zitageuka Maji.
Kama tungeshinda vita na tungekuwa watu wa kuandika, baada ya miaka elfu kadhaa ya kutia chumvi tungekuwa na dini yetu na Kinjekitile angekuwa mtume.
Hizi habari za vita vya kikabila zimechangia sana kuendeleza propaganda kwa jina la Mungu.
Ajabu ni kwamba leo tumeelimika lakini bado tunashikilia uongo huu wawazi kabisa.
Yeah. Coz can not be tested and be found reliable without doubt.Evolution ni imani?
Evolution can never create DNAHakuna mtu aliyewahi kusema evolution ni sheria, bali ni nadharia.Lakini kuna watu mnasema uumbaji ni sheria hivyo tuipokee, tuiabudu na kuiheshimu kwa Maana imetoka kwa Mungu.
Pindi evolution inapopambanishwa na Creation, evolution inatoa shahidi zenye mantiki kuliko creation...So you know what?, Better half truth theory than a complete wrong principle.
Evolution siyo imani.Yeah. Coz can not be tested and be found reliable without doubt.
What is Evolution?Evolution can never create DNA
Someone who don't believe in God has a volume of things to explain and illustrate than someone who is believing in God. This makes a believer in advantageous position than atheist.How do you know God is real and is not just a hallucination of your tiny brain?
You believe in logic, but you explain illogical things.wanasema Mungu ana uwezo wa kufanya kila kitu ila ukiwauliza je Mungu ana uwezo wa kuumba kiumbe kikubwa kuliko yeye mwenyewe watakujibu haiwezekani kwa hiyo ni wazi kuna vitu hawezi kuvifanya
You can test something 100% and found that it is defective.Evolution siyo imani.
Evolution can be tested 100%
Evolution is having reliance of less than 100%.
What if God knew all that but let that happen for the reasons we cant currently know?If Gods book has any contradiction however minimal, what does that say about that God?
Why and how did God allow any contradiction to get into his book?
Was this God taking a break and sleeping while the contradictions creeped into the texts?
Or is it that this God does not exist at all, and the error are because the books were written by people and this God is a human fabrication?
You know what you may be you are right, maybe we are his entertainment cause anajua angetuumba perfect angeboreka.What if God knew all that but let that happen for the reasons we cant currently know?