'Who created God' is an Illogical Question!

Pia tufanye kuwa Mungu ameumbwa, kwa hiyo logic ni kuwa aliyemuumba naye anatakiwa awe ameumbwa, na kuendelea. Hivyo ni wazi kuwa kutakuwa na miungu infinity kitu ambacho ni Illogical.
.
  • Kwa nini unafikiri scenario Ya infinite regress ni illogical?
  • Kwani mstari wa namba unakwenda mpaka wapi?
  • Kasome “God? A Debate Between a Christian and an Atheist” by Sinnot-Armstrong vs Willian Lane Craig Debate (attached) kwa uelewa zaidi kuhusu kosa lako.
 

Attachments

Kwanza hujajibu nilichokuuliza kuwa kama huna tatizo na imani kwanini unasema huipi nafasi sana imani?

Hebu thibitisha kitu unacho kiamini.
 
Imani kwa Mungu ni ya mashaka kwa maana haitanguliwi na uelewa,hakuna anayemfahamu na kumwelewa Mungu.Hakuna uelewa juu ya Mungu kwa sababu hakuna ushahidi kama yupo.Kama Mungu yupo kwa nini tuwe na imani juu yake?......Mbona hujajibu maswali ya post uliyoquote?
 
Kwahiyo unakubali kuwa mwanzo ulikosea uliposema kuwa hutaki kuamini bali unataka kuelewa? kwa sababu haya mambo ya imani potofu unayaleta sasa ila mwanzo ulisema tu hutaki kuamini.

Mfano wako wa jinsia kuufanya ni sehemu ya imani na swali lako la kwanini tuwe na imani na uwepo wa mungu ikiwa kweli mungu yupo inaonesha wazi hukubaliani na suala la imani.
 
Hapana sikukosea, hata sasa hivi nasema tena ''Kwa nini tuamini na siyo kuelewa?''

Mbona umekwepa maswali niliyokuuliza?
 

Asante kwa mada na michango. Shukran sana.

Lakini naomba tuepuke kuwa kama watu wengine ambao huwa wanaanzaga kupinga ideas kwa kuangalia weaknesses za wahusika na kuacha knowledge yao.

I strongly Agree with you kuwa hata nao wana weaknesses pia. Kama alisema 300 mil years (well hiyo sifahamu nakumbuka niliwahi kusoma dissertation za Origin of Species ya Charles na Kazi iliyokuwa translated ya Lyell katika uniformity. Lakini kama nilivyosema hapo mwanzo. Lyell anakumbukwa kwa kupinga kuwa dunia imeumbwa mwaka 4004 kutoka kwa idea za kanisa kupitia Archbishop Usher. Ilikuwa ni era ya upinzani katika historia.

Zamani wataalam wengi hawakuwa wataalam kwa kusomea mpaka levels za phd. Zamani ilikuwa mtu anakuwa associated katika discipline na kujifunza na kuwa mtaalam. Kama ilivyokuwa kwa wengine. Na walikuwa wanaeshimika pia.

Leo hii mtu huwezi kusema Lyell hastahili kuwa father of geology, it will sounds insane. And why it sounds insane, its because mtu anayetazama hivyo ni yule ambaye hajaisoma kazi yake yote na kufahamu historical background za debate zilizokwepo. He is still a well respect man in geology. I think he deserves it. I know he got errors kwa kuwa specific kudate lakinj kwa kipindi kile hakukuwa na relative datings na aliweka angalau kukadiria.

Let me share Lyells works alivyochange elimu:

Alisema dunia haipo static, Church ilisema kuwa milima iliyopo ipo tangu uumbaji, Lyell akasema dunia ipo katika uniformity, it changes gradually, landscape ya sasa sio kama ya zamani. At that time no one believed him na kuna papers zilikuwa published under church kupinga kwa sababu they thought he lied.

Alianzisha relative dating, alipotoa law of sediments kuwa the bottom is older than the top before kila mtu alijua land ipo deposited kwa pamoja kutokana na idea za creationists.

Ameweza kuhamasisha evolution theory sio kwa sababu anahusika na theory of evolution, Lyell hausiki na theory of evolution directly lakini Darwin na wengine walipojua kama dunia ya sasa haipo sawa na kale then probably hata species hazikuwa kama zilivyo sasa. Contribution yake ilipelekea theiry ya evolution kuwa na support.

Pia Lyell ndie wa kwanza kupinga haswa kuwa dunia sio older to 4000 kama walivyokuwa wanaamini Europe kipindi cha Dar Ages.


So lets stop kuhusiana na Lyell na Darwin.

Tukiwa kama wataalamu na wenye hekima tuangalie mitazamo iliyopo katika kuelezea origin ya viumbe kuwa kama vilivyo hivi sasa.

Je is evolution a lie? Then kama "no" I wont ask anything.

Kama its a lie then whats the best way inayoelezea mageuzi ya viumbe vilivyopo?

Thats where ninapopenda tu concentrate zaidi.
 
Hapana sikukosea, hata sasa hivi nasema tena ''Kwa nini tuamini na siyo kuelewa?''

Mbona umekwepa maswali niliyokuuliza?
Kwani tofauti ya kuamini na kuelewa ni ipi?

Na maswali yako yapi ambayo sijayajibu?
 
Jamani hizi mada zenu za kumdhihaki Mungu mi zinaniudhi sana, hebu mwacheni Mungu wetu kwa nini mnamsakama kila wakati..
hebu zitajeni neema zake alizowabariki, acheni kumdhihaki Mungu, Mungu ni MKUU, ASIFIWAYE NA ANATUKUZWA KILA SIKU
Akitukuzwa na kisifiwa anapata faida gani?

Au kapungukiwa na nini mpaka ahitaji hayo?
 
mkuu rudi ukasome biology ya form four.. !
Nina A ya biology na nilikuwa miongoni mwa wanafunzi wenye passion sana na somo la biology.

Kwa bahati mbaya hujui kuwa hilo swali halina jibu siyo tu, katika biology ya O level, bali mpaka katika biology ya PHD.

Toa jibu kama unalo, acha siasa.
 
We are discussing about God! Not bible contradictions, its better you start a thread about that. Currently let's discuss a God who is above the bible, who is above religion, who is God of all mankind. God of Jews, Muslims, Christians, other religions and pagans!

 
Nina A ya biology na nilikuwa miongoni mwa wanafunzi wenye passion sana na somo la biology.

Kwa bahati mbaya hujui kuwa hilo swali halina jibu siyo tu, katika biology ya O level, bali mpaka katika biology ya PHD.

Toa jibu kama unalo, acha siasa.

Naamini huna uhakika na unachokisema. Kama unasema hakuna ushahidi utakuwa unadanganya na ninajua kusema uongo its a wrongdoing.

Pia kwa level ya Juu ya elimu Ya juu, discipline zinazodeal nayo ni Archaeology, Physical Anthropology na Paleontology.
 
Mnaosema evolution is a LIE tumewaomba shahidi za uelewa wenu.

Why mnapoteza muda kuangalia Evolution? Tupeni logics na evidences zenu nasi tujifunze zaidi.

Msikimbie swali langu.
 
Nina A ya biology na nilikuwa miongoni mwa wanafunzi wenye passion sana na somo la biology.

Kwa bahati mbaya hujui kuwa hilo swali halina jibu siyo tu, katika biology ya O level, bali mpaka katika biology ya PHD.

Toa jibu kama unalo, acha siasa.

Nenda kasome evolution ya Homo sapiens... Utakutana na clear changes, na kwa taarifa yako ni kuwa kuna mpaka evolutionary tree yetu.. !

Nenda pia kaangalia evolution ya ndege toka kwa dinosaurs to archaeoptery mpaka morden birds... !
Shida ni kuwa watu ambao mnajifanya kuijua evolution hamuijui hata chembe.. ! Wengi mmeishia kusoma juujuu kama wewe ili mfaulu basi... ! Wenzio biology ndo hobby !
Na kuhusu kutokuwepo kwa viumbe kama nusu binadamu nusu sokwe kama unavyotaka... Nakujibu kama ifuatavyo.. ! Mkuu swali hili ni la kipuuzi sana.. Kiasi kwamba napata shida kama ni kweli ulipata hiyo A kama unavyojinasibisha hapa...! Kwa mtu anayesema kuwa yupo passionate na biology ni lazima ufahamu issue kama hii ! Maana ndo moja ya msingi wa biology.. !

By the way pitia hapa upate mwanga na uone baadhi ya hayo maswali yenu yakijibiwa.. !

Why are we the only human species still alive?
 
Baadhi ya Ushahidi:
1. Mbingu ambazo hazina nguzo to support them
2. Usiku na mchana
3. Ardhi na vilivyo ndani yake
 
Mkuu niliwahi kuanzisha mada hapa nikieleza [HASHTAG]#Makosa10[/HASHTAG] aliyotenda Mungu.....kuishi mafichoni ni kosa kubwa sana, ndio maana huu ubishi hauhishi.....Sasa kama alishadanja, sisi tutajuaje?
Makosa kayatenda Mungu kwa mtazamo wako. Si kwa mtazamo wa kiungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…