Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 733
Huyo wa kulia nadhani anafanana na huyu mheshimiwa mbunge wa viti maalumu au nimekosea????????
Huyo wa kulia nadhani anafanana na huyu mheshimiwa mbunge wa viti maalumu au nimekosea????????
Huyo wa kulia nadhani anafanana na huyu mheshimiwa mbunge wa viti maalumu au nimekosea????????
Kwa kweli weekend yangu ileenda swaaafi sana baada ya kuona hii picha VO nimekupa thanksMkuu Valid_Options asante sana kwa pichi nzuri ya mheshimiwa Vick Kamata, nakupa 'big up' , hivi bado anaimba???
tuletee na nyingine na za wengine pia
Mambo ya ulimwengu wa digital ban c mchezo.ahhhhh toto la kisukuma hilo ah