Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,613
- 17,638
Mnamkosea heshima tu bure Marehemu Whitney bado hakuna wa kufanana naye
Hakuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnamkosea heshima tu bure Marehemu Whitney bado hakuna wa kufanana naye
Hakuna
Sent using Jamii Forums mobile app






Apumzike kwa Amani lakini Dions moto mwinginee... Haji kutokea kama Dions mileleMkuu uko sahihi kabisa yaan whitney alikuwa na kipaji cha ajabu sauti yake sasa hatariHumtendei haki marehemu Whitney Houston kumlinganisha na Celine Dion. Whitney hakuna wa kumlinganisha nae kwenye kizazi chake. Mariah Carey aliwahi kusema, "Mimi naimba, na kuna wanamuziki wengi wa kike wanaimba, lakini Whitney sio levo zetu kabisa, ile ni mashine nyingine." Celine mlinganishe na Mcanada mwenzake Shania Twain.
hakuna kabisa aiseeMnamkosea heshima tu bure Marehemu Whitney bado hakuna wa kufanana naye
Hakuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Flat kama my heart will go on..Celine Dion anaimba flat, usimfananishe na Queen wa vocals. I'm telling you the truth, not opinion, hata Beyonce anaimba high notes ambazo Celine hawezi kupita.







kalalee mzeeUsibishane nae huyu ni shabiki wa mziki sii mfatiliaji wa mzikirikiboy jaribu kufuatilia nyimbo za whitney ni tamu balaa
Loved me back to lifeMy heart will go on
Power of love
Because u loved me
Thats the way it is
A new day has come..
Im Alive
Think twice...
Ebuuu achana na celine dions aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app