Kimsingi hamna m2 mwenye chuki na ZZK ndan ya CDM bali hisia mbaya juu yake zinakuja kw sababu kwa hili la mafuta na gesi na mengine mengi hayasimamii nyuma ya CHADEMA bali kama ZZK nahaneshi nia ya dhati katika kuuondoa mfumo mbovu ulio2fikisha hapa ambao ni wa CCM kazi ya mwanachama au kiongozi wa chama chochote cha upinzan ambacho malengo yake ni kukamata dola ni kuzipinga wazi wazi sera mbovu zilizoshindwa za chama kilichopo madarakani hapa ni lazima ujiulize ni ZZK VS MUHONGO AU NI CHADEMA VS CCM BADO KUNA MASWALI MENGI JUU YA ZZK NDAN YA CHADEMAMkuu Kitila Mkumbo, thanks for this!.
Humu jf baadhi yetu wametengeneza haki miliki ya they way they think, you have to think like them and have drawn a line of where one has to belong, you are either "with us" or "against us", if you don't sail the same boat then you are an enemy!.
Mimi binafsi nilishajipambanua kumkubali ZZK ila kwa vile mgombea wangu ni EL, then nimeitwa kila majina and in actual fact sijali sana kwa sababu nasimama na kile ninacho amini!.
Ila pia pamoja na tofauti zote za mawazo, ZZK should not keep at distance with the rest, he has not only be together but also seen to be together vinginevyo "maneno huumba", uwongo ukisemwa sana repeatdly kamwe haugeuki kuwa ukweli bali huonekana kama ndio ukweli wenyewe!.
Pamoja sana.
Pasco.
Hapa kuna harufu ya "vita vya ubinafsi wa wanasiasa",ni umimi umimi tu,hilo ndo tatizo kubwa,ubinafsi.Lakini bado hawaoni.Kwakuwa mimi nilifanya kile,basi mwingine asikifanye,bila kujali outcomes kama zina manufaa kwa taifa.Kwani ikiwa reviwed utakachokosa ni nini?Si na wewe uliwahi kufanya review?Ama anaogopa kuna ambavyo vitaoneka kuwa alishiriki?Mambo mengine bana,siasa tu.There is nothing wrong for someone to have his own views different from other people but one has to be consistent in his views on similar issues!! Tukumbuke kuwa zitto was in the forefront kutaka mikataba ya madini iwe reviewed and he was rewarded by Kikwete when he was included in the Bomani committee which recommended the changes in those mining contracts; now when Prof. Muhongo advocates the review of the gas and oil exprolation contracts the same Zitto comes out crying that it was not in the best interests of our country to review those gas and oil contracts!!! Zitto's stance on this issue smacks of hypocrisy and incosistency in his arguements!!
Mkuu Kitila Mkumbo, thanks for this!.
Humu jf baadhi yetu wametengeneza haki miliki ya they way they think, you have to think like them and have drawn a line of where one has to belong, you are either "with us" or "against us", if you don't sail the same boat then you are an enemy!.
Mimi binafsi nilishajipambanua kumkubali ZZK ila kwa vile mgombea wangu ni EL, then nimeitwa kila majina and in actual fact sijali sana kwa sababu nasimama na kile ninacho amini!.
Ila pia pamoja na tofauti zote za mawazo, ZZK should not keep at distance with the rest, he has not only be together but also seen to be together vinginevyo "maneno huumba", uwongo ukisemwa sana repeatdly kamwe haugeuki kuwa ukweli bali huonekana kama ndio ukweli wenyewe!.
Pamoja sana.
Pasco.
ASANTE SANA KWA UJUMBE MURUA, hakika endeleeni kumtia moyo aendelee kufikiri , maana kiongozi asiye fikiri hugeuka poyoyo na msaliti wa taifa lake"Kosa" lake ni kwamba ameamua kuacha kufanya mambo kwa mazoea na ameamua kuhangaika kufikiri kitofautitofauti. Zitto analaaniwa kwa kudiriki kwake kuhangaika kufikiri na kuachana na mazoea.
Hapa kuna harufu ya "vita vya ubinafsi wa wanasiasa",ni umimi umimi tu,hilo ndo tatizo kubwa,ubinafsi.Lakini bado hawaoni.Kwakuwa mimi nilifanya kile,basi mwingine asikifanye,bila kujali outcomes kama zina manufaa kwa taifa.Kwani ikiwa reviwed utakachokosa ni nini?Si na wewe uliwahi kufanya review?Ama anaogopa kuna ambavyo vitaoneka kuwa alishiriki?Mambo mengine bana,siasa tu.
Ndiyo maana nikasema ni ubinafsi,mbona yeye alikuwepo kwenye kamati ya Bomani ya reviewing?Tena walilipwa pesa nyingi sana tu?Ni ubinafasi tu ukiangalia kwa makini.Yote hayo ni kwa gharama ya taifa ili tu yeye kama individual aonekane ndo yuko makini.Kuna wengine wanasema kwa vile Prof. Muhongo amebadilisha msimamo kuwa sasa mikataba ya gesi na mafuta haitaangaliwa upya hivyo mawazo ya Zitto yaungwe mkono hiyo nadhani sio sahihi.
Tulivyoirejea mikataba ya madini kamati ya Bomani iligundua mapungufu mengi yalyotokana na watu wetu kutokuwa na uzoefu wa kutosha katika contract negotiations; hivyo hivyo mikataba mingi ya oil and gas exploration iliingiwa na watu wetu ambao hawakuwa na ujuzi wa kutosha ukilinganisha na hayo makampuni ya kizungu, hivyo basi ni sahihi kureview hizi contracts ili kurekebisha mapungufu kabla hatujapata hasara kama tuliyopata kwenye mikataba ya madini!! Katika mikataba ya madini kwa mfano hakukuwa na kipengele cha contract RENEGOTIATION and REVIEW after a certain period, hicho ni kipengele muhimu kuwa kwenye hii mikataba ya gesi na mafuta!!