which one is the way foward???

which one is the way foward???

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,629
Reaction score
33,499
Hello JF,

Nimewaza nikaona labda kuundwe chama kipya cha upinzani,

New party,new faces,

Waangalie sehemu ambapo upinzani ilifanya vizuri,chaguzi zilizopita.

Then watumie the same strategies kushawishi sehemu nyingine.

I just don't think kuhama chama na kuhamia CCM,kuta affect upinzani in general

mpaka 2020,there is still time,kuanzisha chama kikakua na kikapambana vizuri tu na CCM

Akina Nyalandu,Lowasa,etc,wange sit back na kuacha new faces zi -emerge.

Kisha baadae ,wajiunge tena na hiki chama kipya,

Their knowledge/skills/experiences bado zinahitajika katika Upinzani,😛

what do you think?
 
Lengo na madhumuni ya hiko chama kipya ni yapi ambayo unaona vyama pinzani vilivyopo vimeshindwa kukidhi?
 
why wananchi wanaivote CCM,ni kwa vile hakuna strong opposition leader,sasa tusikae na the same people,the same strategies,halafu tutegemee matokeo tofauti,

kama umenielewa hicho chama kipya watajiunga baadae wakipenda,lakini baada ya hicho chama kikijistablish vizuri.....watakuwepo wakitoa ujuzi wao....
 
Nani alikudanganya upinzani huu uliopo hauna nguvu ya kupambana na ccm?! Ccm kwa sasa kama ikitoka kwenye kwapa za jeshi la Polisi+Tume ya uchafuzi+Mahakama nakuhakikishia uchaguzi wowote ule inapigwa bao saa 4 asubuhi, na ndicho kitu wanakiogopa sana kuweka uwanja sawa wa kisiasa kati yake na vyama pinzani maana anajua kabisa kufanya hivyo ni kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe
 
powa mkuu.i just think uko kwenye denial,yaani unaamini kabisa CHADEMA ukiitwa uchaguzi leo,watashinda?? anyway ni ushauri tu nilikua natoa..............huoni zikija new faces zita revitalize upinzani??? na pengine wanaweza kuja na ideas za kushinda hizo factors mnazoona zinawafanya mmfeli....besides mbona kama DARESLAAM uchaguzi uliopita upinzani walifanya vizuri??? au huko kuna tume huru???njoeni na njia mpya za kukabiliana na CCM na sio kila siku kujificha kwenye mwamvuli wa kutokua na tume huru.
 
Maeneo yote ambapo upinzani ulitangazwa kushinda ni kwa sababu ya nguvu ya umma ilitumika, labda kama chaguzi huwa huzifuatilii sana! Halafu anayekudanganya kuwa ccm huwa inashinda kwa njia zilizo halali ni nani? Ebu jaribu kuondoa ushabiki ili uuone ukweli na kuweza kufanya tafakuri juu ya mambo haya;

1. JPM kazuia shughuli za vyama pinzani kinyume kabisa na katiba na Sheria za nchi.
2. Tumeona wakurugenzi wa halmashauri wakiteuliwa makada wa ccm kinyume kabisa na sheria za utumishi wa umma, kwa mazingira haya nani atathubutu kumtangaza mpinzani ikiwa bado nafasi yake anaitaka?
3. JPM alishawahi kuwashangaa wakurugenzi kumtangaza mpinzani ikiwa posho, gari na mshahara alipwa na yeye, kwa mazingira haya nani atathubutu kumtangaza mpinzani ikiwa bado nafasi yake anaitaka?!
4. Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vikosi haramu vya ulinzi vya ccm vimekata kata watu mapanga sana kwenye uchaguzi mdogo wa marejeo wa madiwani, ikiwa na pamoja kuwaondoa mawakala wa vyama pinzani kwenye vituo vya kupigia kura, kwa mazingira haya mpinzani gani atashinda?!

Kwa mazingira haya ya kumfunga mikono mpinzani wako halafu unaanza kumbonda mangumi unategemea kushindwa kweli?!

Ccm inashimda ushinda wa aibu sana kwa watu wenye akili timamu.
 
vitu vyote ulivyoandika ni sheria imepindishwa...???sasa nyie CHADEMA kwa nini hamuwa challenge serikali through the court???????????????mnabaki kulalama tu?
 
powa mkuu.i just think uko kwenye denial,yaani unaamini kabisa CHADEMA ukiitwa uchaguzi leo,watashinda?? anyway ni ushauri tu nilikua natoa..............huoni zikija new faces zita revitalize upinzani??? na pengine wanaweza kuja na ideas za kushinda hizo factors mnazoona zinawafanya mmfeli....besides mbona kama DARESLAAM uchaguzi uliopita upinzani walifanya vizuri??? au huko kuna tume huru???njoeni na njia mpya za kukabiliana na CCM na sio kila siku kujificha kwenye mwamvuli wa kutokua na tume huru.
Njia gani ambazo wapinzani watakuja nazo za kuweza kupambana na risasi za jeshi la Polisi?!

Kwa sababu ccm haina uwezo wa kihoja kupambana na vyama vya upinzani, hivyo imebaki kutegemea nguvu ya dola
 
Njia gani ambazo wapinzani watakuja nazo za kuweza kupambana na risasi za jeshi la Polisi?!

Kwa sababu ccm haina uwezo wa kihoja kupambana na vyama vya upinzani tofauti, hivyo imebaki kutegemea nguvu ya dola

hao wapya watakuja na strategies za kushinda katika mazingira hayo hayo nyie watangulizi mliyoshindwa.

hizo hama mlizokuwa nazo mwaka huu,kwa rate hii,something must be done,msije kuwa embarrassed in the end.
 
vitu vyote ulivyoandika ni sheria imepindishwa...???sasa nyie CHADEMA kwa nini hamuwa challenge serikali through the court???????????????mnabaki kulalama tu?
Wewe hujui kama zuio la rais kuhusu mikutano ya vyama vya siasa ni kinyume kabisa na katiba na sheria za nchi?

Wakurugenzi wa halmashauri kuwa makada wa vyama vya siasa hujui kama ni kinyume kabisa cha sheria ya utumishi wa umma?!

Dadake, mifumo yetu ya mihimili ya dola haiko huru kiasi kwamba unaweza kuchallange maagizo ya rais mahakamani, unaikumbuka kauli ya rais kuwa kuna mhimili uliojichimbia ndani zaidi ya mingine?!
 
hao wapya watakuja na strategies za kushinda katika mazingira hayo hayo nyie watangulizi mliyoshindwa.

hizo hama mlizokuwa nazo mwaka huu,kwa rate hii,something must be done,msije kuwa embarrassed in the end.
Labda mbinu za jino kwa jino ambazo huleta maafa kwenye jamii, jambo ambalo sidhani kwa chama makini kinaweza kumwaga damu za wasio na hatia kisa madaraka! Labda ccm maana wao damu za raia si kitu kwao, kwao kitu ni madaraka.

Hizo hama hama zisikupe shida sana maana ni hama hama zisizo na impact sana kwa upinzani, sababu wanahamu wao peke yao bila wafuasi nyuma yao.
 
Wewe hujui kama zuio la rais kuhusu mikutano ya vyama vya siasa ni kinyume kabisa na katiba na sheria za nchi?

Wakurugenzi wa halmashauri kuwa makada wa vyama vya siasa hujui kama ni kinyume kabisa cha sheria ya utumishi wa umma?!

Dadake, mifumo yetu ya mihimili ya dola haiko huru kiasi kwamba unaweza kuchallange maagizo ya rais mahakamani, unaikumbuka kauli ya rais kuwa kuna mhimili uliojichimbia ndani zaidi ya mingine?!

kama mmeshindwa au hamjajaribu kuchallenge serikali iliyopo ,then nyie sio wapinzani,upinzani ni kujitoa,kusacrifice,,sasa kama hamjafanya lolote kisa mnaogopa risasi then nyie sio wapinzani........mmekaa kimya badala ya kuwatrain viongozi wenu wavae bullet proof clothes ,wawe active,😀😀😀.
 
Hadi hapa naona umekiri kimya kimya kuwa kinachofanyika hivi sasa ni udikteta wa kuvunja katiba waziwazi ili kuua mfumo wa vyama vingi!
 
Na mawazo yako kama haya ya kufumbia kiini cha tatizo na lawama kuamua kwa makusudi kuzihamishia mahala pengine ndicho kinafanya Mwafrika aonekana nusu mtu mbele ya mzungu
 
Labda mbinu za jino kwa jino ambazo huleta maafa kwenye jamii, jambo ambalo sidhani kwa chama makini kinaweza kumwaga damu za wasio na hatia kisa madaraka! Labda ccm maana wao damu za raia si kitu kwao, kwao kitu ni madaraka.

Hizo hama hama zisikupe shida sana maana ni hama hama zisizo na impact sana kwa upinzani, sababu wanahamu wao peke yao bila wafuasi nyuma yao.

Mkuu na wewe naona uko kwenye denial,hio hama hama haina impact kwa upinzani??? mapenzi kwa chama chako,yasikufanye kuwa blind,hii rate ikiwa hivi mpaka 2020 mtakua hamna watu...........

hio niliyowapa ni tactic tu,ya kupambana,unaweka wapya mbele halafu wale wengine wazoefu nyuma,upinzani bado unawahitaji akina Lissu lakini kuwaweka mbele ni risky kwa chama,
 
Hadi hapa naona umekiri kimya kimya kuwa kinachofanyika hivi sasa ni udikteta wa kuvunja katiba waziwazi ili kuua mfumo wa vyama vingi!

hapana,nilikua nakuonyeshe msijibweteke kutoa kila siku excuse ooh police,ooh tume,wekeni watu makini wapya,watakuja na njia za kukabiliana na serikali,hamtaki then sio wapinzani,bora tujue hampo,tuna chama kimoja kuliko kuwa na upinzani usio active.
 
Mkuu na wewe naona uko kwenye denial,hio hama hama haina impact kwa upinzani??? mapenzi kwa chama chako,yasikufanye kuwa blind,hii rate ikiwa hivi mpaka 2020 mtakua hamna watu...........

hio niliyowapa ni tactic tu,ya kupambana,unaweka wapya mbele halafu wale wengine wazoefu nyuma,upinzani bado unawahitaji akina Lissu lakini kuwaweka mbele ni risky kwa chama,
Maeneo yote palipo na viongozi madikteta upinzani husurvive kwa shida sana, sababu nguvu zote za dola huamua kupambana na wakosoaji wa serikali.

Mimi sina chama ni mtu huru kabisa ambaye huangalia mambo kwa jicho lisilo na ushabiki ndani yake
 
hapana,nilikua nakuonyeshe msijibweteke kutoa kila siku excuse ooh police,ooh tume,wekeni watu makini wapya,watakuja na njia za kukabiliana na serikali,hamtaki then sio wapinzani,bora tujue hampo,tuna chama kimoja kuliko kuwa na upinzani usio active.
Hapa unataka kusema kuwa rais kuzuia shughuli ya vyama vya siasa ni sawa?!

Jeshi la Polisi kupambana na upinzani badala ya ccm kwenye majukwaa ya kisiasa ni sawa?!

Kwanini unajenga hoja kishabiki zaidi badala ya kujenga hoja katika uhalisia wake kuwa kuna mbinu ambazo zinatumiwa na ccm+Polisi+Tume ya uchaguzi ili kuhujumu upinzani?
 
Mkuu jifunze kuwa flexible,hapa ushabiki wana JF watasema nani mshabiki kati yangu mimi na wewe....😀😛,ukweli sikumbuki lini ,nadhani vyama vingi vilianzishwa mwaka 1991 au 1992,sasa miaka yote hio,ni tume isiyo huru,sijui police ndio sababu mmeshindwa kuwa kidedea????miaka yote hii Barack? mkishauriwa mkae chini mfikirie mbinu Zaidi za kupambana mnakua wakali na ku play victim card,mnnhh
 
Rebecca, uhuru wa tume ambayo hata yule ambaye amepata kura 10 dhidi ya mwenye kura 1000 akitangazwa mshindi ni sawa tu kwa sababu hakuna mamlaka yoyote ya kuhoji maamuzi hayo unatoka wapi? Je kwako hili huoni kama ni tatizo kwa mfumo huu wa vyama vingi na ukizingatia kuwa mwenyekiti wa chama tawala ambaye naye ni sehemu ya wagombea ni bosi wake?
 
Back
Top Bottom