The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
fanya kazi acha porojoYou know nothing about comic movies
fanya kazi acha porojoYou know nothing about comic movies
YES i know nothing kabisa.You know nothing about comic movies
Wengi wetu tumeshacheki muvi nyingi za kampuni ya marvel...kama avengers,captain america, n.k sasa ukiambiwa uchague,utachagua mask gani unayoikubali hapo ?View attachment 858677
Exactly.Hii misinema ya watu wanavaa hii midude kichwani mi ndo huwa siielewi kabisaaaa, jana nilikuwa naangalia antman nikaona upuuzi nikaachana nayo, yaani ma muvi ya wavaa maski naona ni ya watoto zaidi.