Which is gonna be your next smartphone?

Which is gonna be your next smartphone?

LG G5 primarily for the removable battery.
kuwa tu makini kuna uhuni lg amefanya kwenye g5 kuna simu zitaship na sd 650 badala ya 820.

sd 650 ni midrange processor inapatikana hadi simu za dola 150 usije ukatoa hela ya maana kununua simu dhaifu
 
Good looking out. Nita verify.

Mara nyingine wana accommodate different markets, sasa wanaouziwa ndio wanakosa transparency na honesty.
 
Back
Top Bottom