Which is gonna be your next smartphone?

Which is gonna be your next smartphone?

Wakuu kesho kuna hii device naenda kumnunulia dogo vipi ni nzuri kwa waliotumia..
Nokia Lumia 820
Cc Chief-Mkwawa

windows phone kwake haisumbui? na unainunua kwa sh ngapi?

weakness kubwa ya lumia 820 ni battery ndogo na kioo chenye resolution ndogo. ila ni simu moja nzuri sana kwa geeks sababu

1. ina soc yenye nguvu snapdragon s4 kwa hio resolution hii soc ni very powerfull

2.ina 4g inakubali kwa Tigo na TTCl

3. ram 1gb na internal 8gb na sd card kadri utakavyoweza na wp inainstall almost kila kitu kwa sd card

4. cover zake ni za kuchomoka kirahisi na zinakubali wireless charging hivyo ukibahatika kuipata charger ya wireless unaweza enjoy new experience

5. itapata windows 10 update.

hardware wise pengine ni simu nzuri kuliko zote utakayopata kwa budget yake ila software hakikisha kama ataipenda ila kama ni mtoto mdogo ambae unamchunga windows phone ni perfect.
 
Samahani mkuu, natumia wp 620 ila sasa kinachonisumbua ni screen ndogo. Ni ipi windows phone ambayo ina kioo kikubwa cha size inayo support 4g na itakayopokea windows 10?
 
kioo kikubwa sana zaidi ya inch 5.5 kuna lumia 1320, 1520, 640xl

vioo vikubwa kawaida lumia 830, 730, 640, 540, 535, 930, 625,

vikubwa kidogo kuna lumia 820, 920, 1020, 720, 925,
 
Asante mkuu. Ngoja nizicheki youtube nizione
 
Kitu cha Samsung Galaxy S7 edge hicho kinakuja😀😀
images
 
kioo kikubwa sana zaidi ya inch 5.5 kuna lumia 1320, 1520, 640xl

vioo vikubwa kawaida lumia 830, 730, 640, 540, 535, 930, 625,

vikubwa kidogo kuna lumia 820, 920, 1020, 720, 925,
bei ya huyo giant lumia 1520 kwa sasa yaweza kuwa sh ngapi? vipi kuhusu upatikanaji wake. asante
 
Vipi specification za huawei ascend mate 8, pamoja na bei yake
 
Huawei ascend mate 8 bei yake ni sh ngapi, nisaidien wakuu nashida nasimu serious
 
Vipi specification za huawei ascend mate 8, pamoja na bei yake

bei za flagship zote zinafanana andaa kuanzia 1.5m kupanda

hii simu haina
-camera nzuri compare na wenzake wa bei moja
-gpu yake ni ndogo sana inafanana na note 4 (simu ya 2014) flagship wenzake wa sd 820 gpu zao zina nguvu hadi mara 3 zaidi.

uzuri wake
-inakaa sana na chaji kuliko wenzake wa bei moja
-perfomance nzuri utapata sababu cpu ya kirin ni nzuri unaweza icompare na wenzake wa bei moja
 
Back
Top Bottom