Which is gonna be your next smartphone?

Which is gonna be your next smartphone?

Nasubiri iPhone 8s.......huwa naenda na namba shufwa.....na nilianza na 4s.......
 
Ndugu hiyo vietell imekaaje weka specification zake kina mkwawa waidafavue plz
kuna jamaa aliniletea niiset up

-8gb internal free kama 4gb
-cortex a7 1.3ghz quadcore mediatek ndio cpu yake
-1gb ram
-kioo around 4.5 inch 480x800

bei around 190,000 hadi 210,000 itategemea utaikuta vipi na promoshen ipi.

ila kwangu mimi still simu za sd 410 ni nzuri kwa price range hio hasa huawei y550 ambayo inapatikana kwa bei hizo
 
Manake ndo kwanza nimeiona Leo kiukweli ilinistua kidogo
 
Nadhani specification zilisha onyeshwa hapo ila pia inatunza chaji ni balaa nimeinstall many apps napia natumia internet bila kufel inasupport format za aina nyingi bila hata kutumia vlc mrdia player
 
kuna jamaa aliniletea niiset up

-8gb internal free kama 4gb
-cortex a7 1.3ghz quadcore mediatek ndio cpu yake
-1gb ram
-kioo around 4.5 inch 480x800

bei around 190,000 hadi 210,000 itategemea utaikuta vipi na promoshen ipi.

ila kwangu mimi still simu za sd 410 ni nzuri kwa price range hio hasa huawei y550 ambayo inapatikana kwa bei hizo
Mkuu nimenunua Lumia 630 kwa 170k vp unaionaje?
 
sio mbaya kama unaweza kuishi na limitation zake. ram 512mb japo kwenye wp sio big issue, pamoja na. uzuri wa hii simu ina miracast ukipata right tv uta enjoy
Thanks Mkuu, ni limitation zipi hizo kama sitapata windows 10 kwangu haina ishu maana kikubwa kwangu ni SECURITY hivyo nitabaki hapa hapa 8.1,maana nasikia kwenye win 10 security wamepunguza
 
1. camera ya mbele
2. ram 512mb

hizi ndio limitation kubwa ya hio simu sema sio big issue sana kama hupigi hizo video call na kucheza games kubwa.

hio win 10 mpaka sasa haijajulikana itakuwa vipi maana naona kama jitihada za mwanzo zilishindikana.

mwanzo waliitengeneza iwe rahisi kuport apps za android na ios kwenye wp lakini code za android wakaja kuziondoa baadae.

sasa hivi wanaport apps za ios tu kuja wp hivyo huwenda still ikawa secure.

subiria itoke na usome feedback za watu then utapata mwanga wa kitu cha kufanya
 
3.Haina Sensor ukipiga simu na kuiweka sikioni kioo hakizimi mpaka nibonyeze power botton,lakini siyo ishu kwangu
 
inayo sensor inaitwa sensorcore kutest piga hata 100 then eka kiganja cha mkono kwenye kioo kizibe utaona mwanga unazima nao.
 
Wakuu kesho kuna hii device naenda kumnunulia dogo vipi ni nzuri kwa waliotumia..
Nokia Lumia 820
Cc Chief-Mkwawa
 
The best smartphone for me is this one, just because i like to hop my ROM and Optioning, don't worry it's just depends on user preference.

phpt57cy6.png

N:B Iphone suck
Mkuu hii kwa hapa dar inapatikana wapi?Na bei zake zikoje?
 
Back
Top Bottom