Which cup get filled first

Namba 7 ndo itakayojaa mapema Chunguzeni kwa makini muone
 
Jibu ni 4..asa usituache na sintofahamu ulete hill jibu lako pia usijekuwa mwenyewe hujui
 
Haya jibu la mwisho ni namba 3 ndo itajaa mapema kuliko zingine
 
Reactions: ywf
Namba 4 hauoni sehemu ya kuingizia maji imezibwa yatatokea wapi..???
Nimekurubuka, ndio maana nae kasema 99% wata fail, hii imeonesha wengi wetu hatupo makini maana ukiangalia vizuri namba 4 na 6 zimezibwa maji hayaingii, namba saba imetoboka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…